Ukimwi sipati ng'oooooooooo !

avatar25955_4.gif
lakini lazima wakupige mawe kwakuwa paka mweusi ni wa dawa! na hakuna anayekubali kuwangiwa kaka hivyo safari yako ni ndefu kweli




Nina imani kuwa kwa uwezo wa yule aliyeniumba nitafika tu,japokuwa safari ina vikwazo vingi lakini nitajitahidi kukabiliana navyo hadi mwisho wa safari.Lakini unaposema paka mweusi ni wa dawa hapo sikubaliani nawe,mnatuona hivyo kwa kuwa tuko wachache na ni nadra sana kutuona.Ila hatuna madhara yeyote yale.
 
Kweli ee, ukimwi unapatikana kwa nongo tu ee, haya ila usije lia umepatia wapi siku zijazo. Usimseme Mamba mpaka uvuke mto yahke..
 
Kama ukiwa huna mawasiano kati ya ubongo na sehemu nyingine za mwili, sawa. Kama sivyo, ukiupataa, kauli ya ndiyo itakayo kumaliza. Ukimwi upo na unaendelea kuua.
 
Anavunja kufuli, halafu si naweza nikachonga funguo eeh!

Mpango wa nje nikaendelea vizuri tu!!!!

Hakuna kisichowezekana.

Hiyo kufuli mbona iko pabaya? Wakati wa uvunjaji unaweza kuvunja hadi Soweto
 
Back
Top Bottom