Ukimwi - Shubey K Platinums

Attachments

  • 1474877136601.png
    1474877136601.png
    1,010.6 KB · Views: 34
Shubey K. Platinum,
Usiwe mwoga tupia kitu hicho ktk Youtube uone ''ulimwengu-kama-kijiji-kimoja'' utaipokea vipi ngoma yako. Mambo ya kwenda ''Mdundo.com'' inaonesha ''bado'' hujiamini. Jiamini tupia kitu katika mtandao mkubwa kuliko wote duniani the Youtube.

Ila usisahau kufungua account yako Youtube na kuweka info unatoka Tanzania (siyo TZ), Studio gani wametayarisha kitu hicho, director/producer ni nani bila kusahau contact : insta, twit, fb n.k Jina naona linaweza kukubebe pia ''kiaina'' manake linafanana na Plat-Mwenyewe.
 
Ahsnte sana ndugu yangu kwa sasa ndio najitahd koz akaunti ninayo tayar but cjajua jinc ya kuusupport mziki wangu
 
Ahsnte sana ndugu yangu kwa sasa ndio najitahd koz akaunti ninayo tayar but cjajua jinc ya kuusupport mziki wangu

Fanya haraka kama nilivyotoa mawazo yangu hapo juu ili uweze kutambulika wewe ndiye mwenye haki-miliki ya ''mdundo'' wako, maana kuna wasanii wengine hawakujua kama ''nyimbo yao ita-''hit view'' milioni 20 ktk youtube matokeo yake msanii anakosa kupata ''royalties' toka youtube kwa kuwa kuna ''pirate'' aliyeweza ku-up-load video hiyo Youtube yenye hit ya views 20,000,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom