Ukimwi ni Noma

Ebaana..tulio wazima tuendelee kuwa makini.(mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyewe) hakuna cha baby niamini,eti mi nimetulia
Vox populi,vox dei
 
kama kuna ambae ukimwi haujamgusa kwa njia yoyote ile ainue kidole juu........
 
marekan wametishia kututelekeza watanzania kisa meli za irani.

nyie hamueleweki bana,kikwete akija huko mnagombania kwenda kumsalia,hivi unaweza kukaa marekani na kumpapatikia kikwete??ndo maana wle baharia karudi hapa haeleweki mpango wake
 
huko Botwasana ni ndop naskia ni ruksa ku lala na mke wa jirani yako ? inabidi na bongoland pesa zisaidie madai ya madaktari kuliko kusaidia ARV's
 
Dah mkuu nakupa like 100%
bora wasitoe kudadek watu wanazini kama mbuziiiiiii siku hizi isitoshe watu wameongezeka bora wapungue kwa ngoma,,,,katoto ka standard 5 kanauza mwili wanaume wanatindua EHEEEE MUNGU FUNGULIA MAGOJWA MENGI YA ZINAAA IKIBIDI YAUWE WATU KAMA KIDERI CHA KUKU asubuhi ukikoowa usiku unazima
 
Tatizo ni kwamba hizo dawa zinaweza kushuka bei
ikiwa USA itakubali tutengeneze ARV genetics.
Kwa sasa only certain factories can produce them
and the bulk of the cost is inttelectual property and shipping
Ila ikiwa tutaruhusiwa kuzitengeneza nchini basi tutapona.

Njia nyingine ni kuongea na viongozi wa dini huku kwetu
Kama mnavo jua spirituality na udini in general (dini zote)
ni sehem kubwa ya maisha ya waafrica. viongozi wa dini ni viongozi
na baadhi ya dini zetu zina pinga kinga num 1 ya HIV: condom
So long as hatujikingi ugonjwa unazidi kusambaa (geometric progression)
Ay, did u mean Generic?
 
Heshima mbele wakuu
kuna habari mbaya kabisa hapa Botswana,serikali ya nchii hii imeamua kusimamisha kutoa ARV bure kwa raia zake,yaani inasikitisha mno kwa sababu serikali imesema wazi imezidiwa na gharama kubwa za ku provide ARV ambayo cost yake ni pula 1000 ambayo ni sawa na shilingi laki mbili kwa mwezi kwa mgojwa mmoja!nimeshtuka sana niliposikia hiyo gharama kubwa ya ARV kwa kweli waafrica tuna future mbaya sana ambayo haieleweki!sijui kwa nchi zingine itakuwaje kama Botswana inashindwa,kumbe gharama ya ARV ni kubwa kiasi hiki sielewi kama wanaotumia dawa wataweza kununua hizo dawa kila siku! sielewi!
Aisee Doctor heri yako wewe uliwa Botswana na kazi ukapata sisi huku ndo tuko kwenye mgomo na tumeshaambiwa LIWALO NA LIWE sasa ukipata chansi nyingine huko si hata unitumie msg jamaa angu.
NI MIMI DOCTOR MWENZAKO .
 
kwa kuwa maisha ni bahati huja mara moja katika umri wako,ni wewe mwenye maamuzi,ima kinuke kwa uzinzi wako,au unyanyuke na familia yako na taifa lako kwa ujumla,kwa kujiepusha na ngono isiyo halali!
kama hela ya kubandua au kubanduliwa wakati si muathirika na muathirika ulikuwa nazo,vipi sasa kujigharamikia katika tiba ya gonjwa lako ukose laki mbili kwa mwezi!
bia tu kwa siku====25000
mwanamke kwa usiku=35000
gharama guest======30000
kwa siku tu =======90000/= lazma muandamane walevi na wazinzi mishahara kweli haitoshi!
 
Back
Top Bottom