Ukimwi ni Noma

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Heshima mbele wakuu
kuna habari mbaya kabisa hapa Botswana,serikali ya nchii hii imeamua kusimamisha kutoa ARV bure kwa raia zake,yaani inasikitisha mno kwa sababu serikali imesema wazi imezidiwa na gharama kubwa za ku provide ARV ambayo cost yake ni pula 1000 ambayo ni sawa na shilingi laki mbili kwa mwezi kwa mgojwa mmoja!nimeshtuka sana niliposikia hiyo gharama kubwa ya ARV kwa kweli waafrica tuna future mbaya sana ambayo haieleweki!sijui kwa nchi zingine itakuwaje kama Botswana inashindwa,kumbe gharama ya ARV ni kubwa kiasi hiki sielewi kama wanaotumia dawa wataweza kununua hizo dawa kila siku! sielewi!
 
hata bongo..muda si mrefu inakuja...tupunguze anasa..na kudandiana kama kuku...
 
Ukweli ni kuwa ukimwi umeondolewa kwenye magonjwa ya kipaumbele. Hivyo donars hawatoi msaada kwa nchi zinazoendelea . Mpango ulikuwa by mwaka huu nchi masikini ziweze kutengeneza dawa zenyewe, nchi chache afrika zimeweza except TZ. Soon hata TZ itashindwa.
 
Ukweli ni kwamba nchi nyingi zinasaidiwa na wahisani ambao wananunua hizo ARVs.Huwa kuna mikataba na hizo serikali.Nadhani Botswana walikuwa wananunua wenyewe.Ni ghali sana.
 
ni heri maambukizi yatapungua sana maana tutaanza kuumwa ukimwi wa zamani wa kubaki mifupa na kila mtu atakujua kuwa wewe ni muathirika wakukimbie kuliko sasa ARV zinavyonenepesha watu na mambukizi kuongezeka
 
bora wasitoe kudadek watu wanazini kama mbuziiiiiii siku hizi isitoshe watu wameongezeka bora wapungue kwa ngoma,,,,katoto ka standard 5 kanauza mwili wanaume wanatindua EHEEEE MUNGU FUNGULIA MAGOJWA MENGI YA ZINAAA IKIBIDI YAUWE WATU KAMA KIDERI CHA KUKU asubuhi ukikoowa usiku unazima
 
bora wasitoe kudadek watu wanazini kama mbuziiiiiii siku hizi isitoshe watu wameongezeka bora wapungue kwa ngoma,,,,katoto ka standard 5 kanauza mwili wanaume wanatindua eheeee mungu fungulia magojwa mengi ya zinaaa ikibidi yauwe watu kama kideri cha kuku asubuhi ukikoowa usiku unazima

omba radhi haraka sana mkuu,hayajakukuta wewe,yakikukuta haya huwezi kuongea hivyo,kumbuka kama wewe unajilinda hujui kuhusu wale wanaokuzunguka kama ndugu,wazazi,watoto,etc,,think twise guy!
 
Tatizo ni kwamba hizo dawa zinaweza kushuka bei
ikiwa USA itakubali tutengeneze ARV genetics.
Kwa sasa only certain factories can produce them
and the bulk of the cost is inttelectual property and shipping
Ila ikiwa tutaruhusiwa kuzitengeneza nchini basi tutapona.

Njia nyingine ni kuongea na viongozi wa dini huku kwetu
Kama mnavo jua spirituality na udini in general (dini zote)
ni sehem kubwa ya maisha ya waafrica. viongozi wa dini ni viongozi
na baadhi ya dini zetu zina pinga kinga num 1 ya HIV: condom
So long as hatujikingi ugonjwa unazidi kusambaa (geometric progression)
 
Ni ukweli unaouma Mkuu, hakuna haja ya kuomba radhi.

Duniani kwa sasa tumekuwa wengi sana na kama idadi itazidi kuongezeka, basi kutatokea vita sasa hivi maana kuna watu lazima wafe na ni lazima wafe wengi ili DUNIA ianze kupumua tena.

Ona tatizo la chakula limezidi kuwa kubwa. Samaki baharini na maziwani wanazidi kuisha. Ardhi imeanza kuwa tatizo hata kwa nchi kama Tanzania jambo ambalo miaka 20 iliyopita hakuna aliyetegemea. Tunakwenda wapi?

Lazima wengine weeengi wafe ili watakaobaki pamoja na viumbe wengine na mimea, waanze kupumua.

Ndiyo maana huwa nasema, usije kushangaa kuwakuta watu kama Idi Amini, Hitler nk wako peponi kwani inaweza kuwa ni mipango ya Mungu kuwapunguza Binadamu. Nafikiri haya ya kuleta Gharika na Moto kule Sodoma na Gomora bado yanaendelea ila kwa njia kidogo tofauti na wakati huo.
omba radhi haraka sana mkuu,hayajakukuta wewe,yakikukuta haya huwezi kuongea hivyo,kumbuka kama wewe unajilinda hujui kuhusu wale wanaokuzunguka kama ndugu,wazazi,watoto,etc,,think twise guy!
 
Ukimwi nauogopa sana huwa namwomba sana mungu aepushe mbali na watu wanaonihusu /familia
 
Ni ukweli unaouma Mkuu, hakuna haja ya kuomba radhi.

Duniani kwa sasa tumekuwa wengi sana na kama idadi itazidi kuongezeka, basi kutatokea vita sasa hivi maana kuna watu lazima wafe na ni lazima wafe wengi ili DUNIA ianze kupumua tena.

Ona tatizo la chakula limezidi kuwa kubwa. Samaki baharini na maziwani wanazidi kuisha. Ardhi imeanza kuwa tatizo hata kwa nchi kama Tanzania jambo ambalo miaka 20 iliyopita hakuna aliyetegemea. Tunakwenda wapi?

Lazima wengine weeengi wafe ili watakaobaki pamoja na viumbe wengine na mimea, waanze kupumua.

Ndiyo maana huwa nasema, usije kushangaa kuwakuta watu kama Idi Amini, Hitler nk wako peponi kwani inaweza kuwa ni mipango ya Mungu kuwapunguza Binadamu. Nafikiri haya ya kuleta Gharika na Moto kule Sodoma na Gomora bado yanaendelea ila kwa njia kidogo tofauti na wakati huo.

mkuu sikubaliani na wewe hata chembe,kama tumezidi na kama una imani kuwa watu wanatakiwa kupungua basi nakushauri anza wewe
kuongezeka kwa idadi ya watu got nothing to do with HIV AIDS,angalia wachina wako wangapi??wahindi??kwa nini tuone kama HIV inaweza punguza idadi ya watu while ugojwa upo kwa wingi Africa?
kama ni idadi wachina wapungue kwa sabbu hata ukijumlisha africa yote haifikii china
 
omba radhi haraka sana mkuu,hayajakukuta wewe,yakikukuta haya huwezi kuongea hivyo,kumbuka kama wewe unajilinda hujui kuhusu wale wanaokuzunguka kama ndugu,wazazi,watoto,etc,,think twise guy!
radhi ya nini mkuu wacha watu wafe kizazi cha zinaa hiki hakuna kuoneana huruma wanaume wanavyotinduana unaona poa ehee malesbian kila kona .....chek macasino yalivyo jaaaa kila kona ya miji duniani ...imefikia sehemu kufanya ngono nayo inaonekaana kama umaarufu .....MUNGU FUNGULIA UKIMWI KAMA MVUAAA ILE YA WAKATI ULE WA NUHU ,,KUMBUKA SODOMA NA GOMORA INARUDI KUZINI imekuwa fashion
 
Dunia sasa ni KIJIJI Mkuu (Glob Village)

Unapojadiliana katika maswala kama haya, unaangalia DUNIA na si BARA au NCHI.

Nategemea una akili na uwezo wa kuangalia haya katika 3D na siyo 2D (Nchi au BARA).

Siyo lazima ukubaliane na mimi. Pia usifikiri nikifiwa leo na mtu nitachekelea au mie mwenyewe wakiniambia nitakufa hivi karibuni basi nitafurahia. Ndiyo maana nikasema "NI UKWELI UNAOUMA."

Zamani kulikuwa na magonjwa yaliyouwa Mamilioni ya watu. Kulikuwa na watu kama Hitler na Stalin waliouwa Mamilioni ya watu. Sasa hivi hakuna vita na magonjwa yametibiwa mengi. Sasa lazima yaje madudu kama AIDS na mengine mengi ili TUFE. Huko India ona kumezuka ugonjwa wa watu KUKATAA watoto wa Kike na sasa matokeo yake unakuta karibu kijiji kizima kimejaa mitoto ya kiume. Umeanza USHOGA wa nguvu na idadi ya watu inaanza kushuka.

Nchi za CHINA na INDIA kwa sasa kumezuka hiki kizazi cha Dot Com na unakuta hawataki shida watoto wa kike. Hata hapa Tanzania imeanza kuwa kawaida na haswa kwa akina dada wanaofanya kazi kama Bank, TRA nk wana hela nzuri, wanajenga mahekalu yao pembezoni mwa miji, wanaendesha magari mazuri ila wanafanya kazi karibu siku nzima. Hawana muda wa MUME na WATOTO ndiyo wala usiwaambie. Hawana muda hata na ndugu zao yaani wanaishi maisha yao na mara moja moja ndiyo wanakumbuka ndugu na wazazi. Hawapiki nyumbani wala kufanya nini maana kila kitu ni MJINI.

Hao nao watapunguza sana idadi ya watu duniani. Hapo sasa angalia USHOGA unavyoongezeka. Usifikiri hao mataifa makubwa hawalioni hili la watu kuongezeka. Ila amini nakuambia, ikitokea siku moja watu wengi sana wamekufa, hata nchi kama UK wakikuona wewe SHOGA, watakuchoma moto maana watataka IDADI ya watu iongezeke.

UONGOZI WA NCHI NI KAZI Mkuu.

Back
Top Bottom