Ukimwi jamani!

Many are dying, many are perishing, wherever Iam now, just for ur GRACE! Thank u my LORD.....thank u my JESUS, wherever Iam now, just for ur GRACE! Wapo walioishi kwenye ndoa zao kwa uaminifu 100% lakini wakaletewa na wenzi wao, wapo waliodungwa sindano na kuongezewa drip zenye virusi kwa ajili ya uhasama na chuki, wapo waliotumia dawa ya penzi na bado wakaambukizwa, wapo walioambukizwa na wazazi wao pindi wanazaliwa! Jitihada zetu zikiongozwa na neema ya MUNGU zitatusaidia kuyashinda ya dunia likiwemo hili janga!! MBARIKIWE SANA.
 
condom ni muhimu lakini kikubwa ni kuajikabidhi kwa Mungu na kumheshimu kwa kufuata sheria za dini na imani zaidi
 
sikumbuki vizuri ilikuwa mwaka gani, WHO walitoa takwimu katika nchi ambayo inaongoza kwa matumizi makubwa ya condom ni ETHIOPIA. Wao kwa siku hutumia condom 1,000,000 milioni moja lakini ndio nchi ambayo ilikuwa inaongoza kwa kuwa na maambukizi.
 
Wakati mwingine nguvu ya zinaa ni hatari maana kichwa kinasimama kufikiri kwa dakika na ndipo HIV inapenya.
 
Back
Top Bottom