Ukimwi jamani!

Huko mbali dada,..
mwingine utakuta anakwambia
"speaker vaa condom".....

Unauliza kijinga jinga tu,..."kwanini?...unaogopa nini kwani?"

anajibu "Naogopa mimba",....yaani wengi wanaogopa mimba kuliko hata ukimwi,...
Ila honestly,nimegundua watu wengi wanakufa kwa uoga wa kupima tu,.....

Na wengine tuna ukimwi wa "mawazo" tu na unatuua hivi hivi,....kisa?uoga wa kupima
kukwambia kuwa anaogopa mimba,si kwamba ukimwi hauogopi,anauogopa pia ila kukutamkia ni ngumu kidogo usije ukamuelewa vibaya.hata mimi ningekwambia naogopa mimba,kumbe na STD na STI naziogopa,hata tukipima condom muhimu
 
ikiwa mwenza sio mwaminifu kwako?

Nimeweka option mbili,
1.Kuwa mwaminifu kwa Mungu
2.Kuwa mwaminifu kwa mwenzako,...

kama mwenzako sio mwaminifu,Mungu ni mwaminifu
siku zote na atakuokoa na uovu wa mwenzi wako

Lakini ukiwa mwaminifu kwa mwenzi wako tu na sio kwa Mungu,basi
ikitokea mwenzi wako sio mwaminifu "utaangamia kwa kukosa maarifa"

Mimi i trust no CONDOM now,ni fake fake fakero kabisaaaaa na
malengo ya utengenezaji wa condom ni kuua watu,....
Bora kuwa mwaminifu kwa Mungu na kwa mwenzi wako BAAAAASI
 
beba plastic bag mkuu..
sahau kila kitu lakini si Condom..
(maana hii ndo njia pekee inayomaliza)

Ni kuwa mwangalifu tu na kupima
kila mwaka...

kondomu ni nusu ya shari lakini shari kamili ni kuwa hili ni gonjwa la laana angalia viongozi wwetu walivyoathirika........................hakuna kujikinga ila tu kwa kumtii Muumba na kufuata amri zake bila ya kuchagua.............ukiwa ni mtu wwa dhuluma lazima likukabe roho yako mpaka ikutoke....................hata kama umevaa mpira..........................
 
Ukiona kwani wanaweka barabarani?!Control yourself!!
<br />
<br />

Lizzy, suala hili ni zito na wengi wetu ni waongeaji wa majukwaani lakini tukienda vyumbani tunafanya ndivyo sivyo. Rais mstaafu Mwinyi aliwahi kusema bila kumung'unya kwamba 'gonjwa hili limekaa mahali pabaya'.
 
kukwambia kuwa anaogopa mimba,si kwamba ukimwi hauogopi,anauogopa pia ila kukutamkia ni ngumu kidogo usije ukamuelewa vibaya.hata mimi ningekwambia naogopa mimba,kumbe na STD na STI naziogopa,hata tukipima condom muhimu

na mabusu motomoto nayo utatafuta soksi...........................celibacy is the best way out............
 
kondomu ni nusu ya shari lakini shari kamili ni kuwa hili ni gonjwa la laana angalia viongozi wwetu walivyoathirika........................hakuna kujikinga ila tu kwa kumtii Muumba na kufuata amri zake bila ya kuchagua.............ukiwa ni mtu wwa dhuluma lazima likukabe roho yako mpaka ikutoke....................hata kama umevaa mpira..........................
<br />
<br />
Upotofu huo...
Haya sex hawaachi..
Kwa mke / mume hawatulii
Walio single ndo hivyo tena..
Ushauri wako nini hapo?
Maana naona wataka kupinga condom ..
 
Lizzy, suala hili ni zito na wengi wetu ni waongeaji wa majukwaani lakini tukienda vyumbani tunafanya ndivyo sivyo. Rais mstaafu Mwinyi aliwahi kusema bila kumung'unya kwamba 'gonjwa hili limekaa mahali pabaya'.

utashangaa nikikuuma sikio maraisi wetu wote wa nne tangia tupate uhuru ni wateja wa vvu................na wote ndiyo itawaua.......kifimbo alionyesha njia wengineo kumfuata...........hivi karibuni tu..............
 
Ni bora kansa ikiwahiwa inatibiwa tatzo letu hatuna jadi ya kupima afya ya mwili mzima ...ila ukimwi hautibiki zaidi ya kuvuta siku tu huku ukingojea wadudu wafanye 'soft killing',kingine ni unyanyapaa watu wanahofia ikijulikana wengine watakuwa wanatolea mfano kwao,"unamwona fulani?''...!!
 
Upotofu huo...
Haya sex hawaachi..
Kwa mke / mume hawatulii
Walio single ndo hivyo tena..
Ushauri wako nini hapo?
Maana naona wataka kupinga condom ..

ni kifo cha kudhalilishwa mtu mzima ndicho kinachofuata hakuna suluhu hapo.................................sikatai kondomu zinapunguza lakini ......siyo jawabu......................................haya ni magonjwa ya laana kwa hiyo maadui wa Muumba hawana namna ni kulikwaa tu hasa mafisadi wadogo kwa wakubwa....................dhambi maana yake ni kumkashifu Muumba na mshahara wake ni laana na mauti tu hakuna ujanja hapo.................tutaendelea kuzika wafu na wafu kuzikana kwa sababu ya laana tupu....hususani ya kudhulumiana
 
utashangaa nikikuuma sikio maraisi wetu wote wa nne tangia tupate uhuru ni wateja wa vvu................na wote ndiyo itawaua.......kifimbo alionyesha njia wengineo kumfuata...........hivi karibuni tu..............
Kanusha hii kauli, vinginevyo haya ni matusi ya wazi. Uliwapima wewe hao maraisi? Na hata kama uliwapima wewe, nani kakupa haki ya kutangaza matokeo yao. Moderators mko wapi hali ya hewa inachafuliwa hapa namna hii?
 
Nini?
Kwa hiyo unasema wenye dhambi tu
Ndio wanao athirika na huu ugonjwa ...
sasa nani ni mtakatifu?
Nielewavyo kila binadamu ana kasoro zake..
 
acha ngono zembe!!

jifariji tu lakini utakapoanza kuumwa kisawasawa utasema laiti ningalijua nisingalikunywa hiki kikombe maana uchungu wake hauna mfano na hauna kikomo.......................hadi mauti yatakapokunusuru na uendeko hatujui kama hayataendelea au hata kuzidi hapo.............
 
utashangaa nikikuuma sikio maraisi wetu wote wa nne tangia tupate uhuru ni wateja wa vvu................na wote ndiyo itawaua.......kifimbo alionyesha njia wengineo kumfuata...........hivi karibuni tu..............

mkuu una uhakika gani??ni hivi majuzi tumemwona kikwete na mke wake wakipima ngoma na wakaondoka na majibu safi!eeeeee mungu eeeee
 
Lizzy, suala hili ni zito na wengi wetu ni waongeaji wa majukwaani lakini tukienda vyumbani tunafanya ndivyo sivyo. Rais mstaafu Mwinyi aliwahi kusema bila kumung'unya kwamba 'gonjwa hili limekaa mahali pabaya'.

Sasa huo uongeaji inabidi tuhamishie kwenye utendaji zaidi...
 
Kanusha hii kauli, vinginevyo haya ni matusi ya wazi. Uliwapima wewe hao maraisi? Na hata kama uliwapima wewe, nani kakupa haki ya kutangaza matokeo yao. Moderators mko wapi hali ya hewa inachafuliwa hapa namna hii?

mkuu riz-one kumbe upo jamvini?karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom