Ukimwaga ugali na mimi na mwaga mboga!

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Hi!
Jamaa moja alikuwa anaishi na mkeo, mungu akawajalia mtoto ambaye anatakribani mwaka moja na miezi saba. Basi wapendwa hao walipendana sana, hata inapofika muda wa usiku mkeo akitaka kwenda haja ndogo mumeo alikua anam-escot mkeo kwenda kutna hiyo haja ndo. Siku moja mumeo alichelewa kurudi nyumban kutakana na majukumu ya kikazi hadi ilifika saa 5 usiku hakufika kwa sababu ya kikazi(police), basi mkeo wa fudedido huyo aliogopa kwenda kutoa haja hyo nje akamua kumfata mtoto wake pale anapolalaga na kumhamisha mtoto kitandani mwake na kujisaidia haja ndogo kwenye kitanda cha mtoto. Unajua kilichofata?
Basi cha kushangaza mama huyo baada ya kurudi chumbani mwake akakuta mtoto kanya kajaza kitanda...utafanya nini kama ndo wewe?
 
mkeo mana yake mke wako na mmeo manake mme wako..mkewe ni mke wake, mkuu cjakusoma.
 
Acha ***** wewe, ndio ni mke wangu, angukua wako ungefanya nin
 
Sorry nilitaka kutusi ila anaogopa bann cha kushauri fanya edit kwenye thread yako.

:->USIPO SOMA UTAKUWA CHAKULA CHA WASOMI:-"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom