Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

This is unexpected from Kaizer... Alter, hongera sana, naona he is coming right now. lol
Happy valentine days to you two...:A S-heart-2:

:A S embarassed::A S embarassed: RR...what was to be expected jamani...I am Kaizer, and I will remain just that....Happy valentine too RR....:busu
 
This is unexpected from Kaizer... Alter, hongera sana, naona he is coming right now. lol
Happy valentine days to you two...:A S-heart-2:

Alter.... frankly speaking.... I did not expect this either.... Nilifikiri mambo ya kikazi zaidi ambayo huniumizaga tumbo... enways I am so glad. I think nipokee hizo pongezi thou still holding my breath...lol... Thanks hun', valentine leo nishaona dalili; It will be Great! (Of coz hii post nimeiweka katika ignore list yake... hataweza soma)
 
Kutongoza is an art na pia hamna formula maalum. Kila mwanaume ana approach yake, na vivyo hivyo kwa wanawake kuna the way ukimuapproach lazima umpate.
Kaizer, hizo Do zako na Donts labda useme ukitaka kuwini moyo wa mwanamke na siyo simply ukimtaka mwanamke. Nasema hiv cuz kuna watu ambao hawashindi kitu, wapo radhi kutumia kila njia kuhakikisha wanampata mwanamke/msichana na kweli wanafanikiwa.

Yeah' kutongoza is an art... iwe mtongozaji ni mwanaume ama mwanamke... thou njia za utongozaji za pichana kati ya wanaume na wanawake. Na hio art depends hasa on the type of lady/man you are drawn to... tokana na sababu kua wanadamu twatofautiana... basi hata tabia na vivutio vya kila mmoja vya pishana... na ndio maana wale ambao ni true players na know all the rule of the woman world ni nadra saana kumkosa kumpata the woman anamtaka. Labda akute the lady in question ni mjanja na atambua all his ins and outs....

Good morning Rejao.... Happy Valentine dear...
 
kumtongoza mwanamke ni 'project' ya aina yake, na kama wataalam wanavyojua, kila project ni peculiar...

Cartura mbona leo wawa too brief? lol... Hebu dadafua post yako if you don't mind....
 
mmh AD, nimechombeza kidogo tu maana niko barabarani... nitarudi mida mida

Cartura moja ya kitu nachukia ni mtu kutumia simu huku ana drive... hua nakwazana na wengi kwa ajili hio... Will be expecting you later na please achana na simu while driving....
 
Alter.... frankly speaking.... I did not expect this either.... Nilifikiri mambo ya kikazi zaidi ambayo huniumizaga tumbo... enways I am so glad. I think nipokee hizo pongezi thou still holding my breath...lol... Thanks hun', valentine leo nishaona dalili; It will be Great! (Of coz hii post nimeiweka katika ignore list yake... hataweza soma)

Sweetie I have NOT seen it....mambo ya kikazi leo yapo likizo....
 
I second my hommie. Yani amepiga ikulu ndogo. Kinachonishangaza ni muda aliorusha hili bandiko. Yani wakati analirusha mi na Kongosho tulikuwa...... Oups! Ngoja niache umbea mtoto wa kiume, hommie hapendi.
 
Shem hivi ukiwa unaongea kuhusu habari zako nayo ni umbea? I wonder...
mbona sasa hapo utakua umenikaba nisiwe na brag?
Happy Valentine darling shem.
 
I second my hommie. Yani amepiga ikulu ndogo. Kinachonishangaza ni muda aliorusha hili bandiko. Yani wakati analirusha mi na Kongosho tulikuwa...... Oups! Ngoja niache umbea mtoto wa kiume, hommie hapendi.

Hommie...leo umeamkia wapi..kwa uzoefu wangu ukisecond kitu, kimepita mazima...muda usikushangaze, valentine ilikuwa imeshaanza

Hommie mfano wewe sasa hivi umempata Kongosho (Mashallah), tuseme ulitumia mbinu gani? nadhani ulifata vile vile...sema kuna mtu hapa atamtaka Kongosho, kisha atatumia mistari ya "Babu ODM ana wajukuu wengi". Ina huu? lol
 
Kutongoza is an art na pia hamna formula maalum. Kila mwanaume ana approach yake, na vivyo hivyo kwa wanawake kuna the way ukimuapproach lazima umpate.
Kaizer, hizo Do zako na Donts labda useme ukitaka kuwini moyo wa mwanamke na siyo simply ukimtaka mwanamke. Nasema hiv cuz kuna watu ambao hawashindi kitu, wapo radhi kutumia kila njia kuhakikisha wanampata mwanamke/msichana na kweli wanafanikiwa.
Well said, well written btw vipi nilikuona jana mitaa ya kati unakatiza na Smile...
 
Hommie...leo umeamkia wapi..kwa uzoefu wangu ukisecond kitu, kimepita mazima...muda usikushangaze, valentine ilikuwa imeshaanza

Hommie mfano wewe sasa hivi umempata Kongosho (Mashallah), tuseme ulitumia mbinu gani? nadhani ulifata vile vile...sema kuna mtu hapa atamtaka Kongosho, kisha atatumia mistari ya "Babu ODM ana wajukuu wengi". Ina huu? lol
Hahah ngoja nitafute kamera niipige picha hii post ili nipate picha kamili. Ila nlimtongoza kongosho kwa kuwa nlijua she is a real woman. Na alikubali baada ya kujua kuwa MI NI MWANAUME BANA. So mtu akipelekea yeye umbea kuhusu ODM, atamchekaje? Heheh 'haihuu' lol
 
Back
Top Bottom