"Ukimchukua mpenzi wangu utanirudishia baada ya siku tatu"

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,349
11,114
Nina rafiki ingawa si kiviile sana, juzi tulikuwa tunapiga story za hapa na pale kuhusu maisha.
Ghafla tukaingia kwenye story za mahusiano ambazo zimenifanya niandike uzi huu.

Anasema aliambiwa na dada yake kwamba alipokuwa akipiga story na wifi (mchumba wa rafiki yangu) alimwambia
"Mimi sina wasiwasi kabisa na mchumba wangu nina hakika yeyote atakayemchukua atanirudishie baada ya siku tatu"!!!

Nikamuuliza kwa nini g/f wako anasema hivyo, akajibu ah inawezekana hasira zangu zipo mlangoni!!
 
jamaa ana kipisi nini, anashindwa kuuzamia mboli boli mtoto akapata raha. anatemea njenje.....loh
 
Nina rafiki ingawa si kiviile sana, juzi tulikuwa tunapiga story za hapa na pale kuhusu maisha.
Ghafla tukaingia kwenye story za mahusiano ambazo zimenifanya niandike uzi huu.

Anasema aliambiwa na dada yake kwamba alipokuwa akipiga story na wifi (mchumba wa rafiki yangu) alimwambia
"Mimi sina wasiwasi kabisa na mchumba wangu nina hakika yeyote atakayemchukua atanirudishie baada ya siku tatu"!!!

Nikamuuliza kwa nini g/f wako anasema hivyo, akajibu ah inawezekana hasira zangu zipo mlangoni!!

''mimi sina wasiwasi kabisa na mchumba wangu nina hakika yeyote atakayemchukua atamrudisha baada ya siku tatu tena huku analia''
 
Itafika mahali kabla ya kupokonya mwenza wa mtu ukaombe reference kwa mwenza wake. Like cacico, nataka kutoka na Asprin, hebu niambie tabia zake.
Unaweza kuokota kimeo cha mtu ukajuuuta!
Nakubaliana na wewe Da King'asti kuna wapenzi wengine wana vituko balaa nyie waoneni hivi hivi watu wanavumilia mengi. Naomba nisiseme sana maana ............................
Mbarikiwe sana wapendwa.
 
Last edited by a moderator:
Ingawa pia kwa upande mwingine uangalie kabla ya kutoa hicho kiapo maana kuna wapenzi wengine kama ni vituko basi wafanyiwa wewe tu kwa sababu zao wazijuazo, akifika huko alikochukuliwa anabadilika na kuwa malaika so anaweza asirudishwe kabisa!.
 
Mkuu story mbona too short kabla sijaunganisha dots...imeisha

Hujaelewa? mpenzi wako anamwambia dada yako kwamba hana wasiwasi juu yako, anajua hata ukichukuliwa na mtu mwingine huyo mwizi atamrudisha tu baada ya siku tatu!
 
Itafika mahali kabla ya kupokonya mwenza wa mtu ukaombe reference kwa mwenza wake. Like cacico, nataka kutoka na Asprin, hebu niambie tabia zake.
Unaweza kuokota kimeo cha mtu ukajuuuta!

Ndio maana yake!! kimsingi mhusika amepitia mengi na mpenzi wake ..........anamjua vilivyo udhaifu wake mkubwa na kama sio busara zake uzi ungekuwa umeshakatika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom