Ukila mkeo wa mwenzio sharti na wako aliwe...

Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

si lazima, je wale ambao hawali wake za watu na wa kwao kila siku wanamegwa???

Hii ni imani tu, na kuna jamaa bingwa wa wake za watu lakini mkewe mlokole na she is very strong and respectable, yaani si kicheche!!!

Labda WoS atatusaidia kidogo
 
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

Kwa mila za kwetu za kitanzania, mke wako alipoliwa basi ni mbaya.
 
wahenga wanasema "Mkeo atakuwa ameliwa pale unapojua.kama hujui hajaliwa bado".wapenda wake za watu wakiliwa wa kwao waweza hata kuua
 
...:D:D duuuuuuuh!....
...nasikia siku hizi kuna kikundi cha kukodiwa kufanya kazi hiyo, utunda utavishwa na picha utapigwa, balaa!

:D yeah mpwa alafu wanakuvisha na shanga kabisa jamaa wanakufaidi.
 
kuna jamaa bingwa wa wake za watu lakini mkewe mlokole na she is very strong and respectable, yaani si kicheche
Huyo mama atakuwa analiwa na baba mchungaji au mzee wa usharika na itachukua muda sana kufahamu, kwa hiyo mwambie hasijisifu saaana, kwanza huyo ndie atakuwa analiwa vibaya mno
 
wahenga wanasema "Mkeo atakuwa ameliwa pale unapojua.kama hujui hajaliwa bado".wapenda wake za watu wakiliwa wa kwao waweza hata kuua
uko sahihi kabisa Mduduwashawasha
ukianza kuona roho inakukereketa kuhusu mkeo basi uje anapata mambo na ukijaribu kuchunguza jioni utakuta kageuza kufuli (chupi) kutokana na utamu aliokuwa anaupata uko kwa firauni mla wake za watu
 
Hahahaaaaaaaa hii imetulia ila siamini kama nikweli inategemea na msimamo wa mke uliyenaye na upendo wake kwako, Lakini kwanini ukamege wake za watu? Unazani utamwaga zaidi ya kwako? Kujitafutia maradhi tu. Sipo hakuna unafuu kusema eti zaidi wa rafiki zako mke wa mtu ni wa mtu tu haijalishi rafiki yako wala adui wako wote ni hatari kwako.
 
Hii ya kusema mke wa mtu ni mtamu mi hainiingii hata kidogo. Kama unaona ni mtamu kwa style, si umfundishe na mwanzako au ni mtamu wapi? Na mkeo ni mchungu wapi. Ina maana ni wake za watu tu ndio watamu au utamu unakujaje hapo? MPaka unafikia kumuoa mtu nadhani unakuwa umeshajua utamu wake ndo maana mkaoana na kwanini wewe umuone mchungu halafu mwanaume mwenzio ambaye anakusaidia ndio amuone mtamu? Inamaanisha wako kwake ni mtamu kwako mchungu, halfu wake kwako mtamu kwake mchungu. Hamna lolote uchafu mtupu. Wake za watu wamekuwa wakitoka kwa sababu huwa hamwalidhishi, au akifanya style mpya unaanza kumuuliza hii imeijuaje umeanza kwa hiyo wanakuwa wanaogopa kuwapa mavituzzzzzzzzz yaliyo tulia akienda huko nje anatoa vyote ambavyo alikuwa akikupa wewe unaona ni umalaya mapenzi ni usanii (ninamaanisha ubunifu) hivyo inabidi kila mara mtu abadilike na akibadilika unabidi ubadilike nae sio kuanza kumuuliza umeanza mambo yako.
 
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

Hii ya kusema mke wa mtu ni mtamu mi hainiingii hata kidogo. Kama unaona ni mtamu kwa style, si umfundishe na mwanzako au ni mtamu wapi? Na mkeo ni mchungu wapi. Ina maana ni wake za watu tu ndio watamu au utamu unakujaje hapo? MPaka unafikia kumuoa mtu nadhani unakuwa umeshajua utamu wake ndo maana mkaoana na kwanini wewe umuone mchungu halafu mwanaume mwenzio ambaye anakusaidia ndio amuone mtamu? Inamaanisha wako kwake ni mtamu kwako mchungu, halfu wake kwako mtamu kwake mchungu. Hamna lolote uchafu mtupu. Wake za watu wamekuwa wakitoka kwa sababu huwa hamwalidhishi, au akifanya style mpya unaanza kumuuliza hii imeijuaje umeanza kwa hiyo wanakuwa wanaogopa kuwapa mavituzzzzzzzzz yaliyo tulia akienda huko nje anatoa vyote ambavyo alikuwa akikupa wewe unaona ni umalaya mapenzi ni usanii (ninamaanisha ubunifu) hivyo inabidi kila mara mtu abadilike na akibadilika unabidi ubadilike nae sio kuanza kumuuliza umeanza mambo yako.
 
Je nawale wanaopingana (kama kwenye michezo kuona timu ipi itashinda)hata kuweka wake zao rehani, je mpango huu unatumika vilevile? Mtu atapewa mwanamke kutokana na kamari waliocheza, iweje mke wake nae aingie katika tafrani hii? Naomba nieleweshwe.
 
Hii ya kusema mke wa mtu ni mtamu mi hainiingii hata kidogo. Kama unaona ni mtamu kwa style, si umfundishe na mwanzako au ni mtamu wapi? Na mkeo ni mchungu wapi. Ina maana ni wake za watu tu ndio watamu au utamu unakujaje hapo? MPaka unafikia kumuoa mtu nadhani unakuwa umeshajua utamu wake ndo maana mkaoana na kwanini wewe umuone mchungu halafu mwanaume mwenzio ambaye anakusaidia ndio amuone mtamu? Inamaanisha wako kwake ni mtamu kwako mchungu, halfu wake kwako mtamu kwake mchungu. Hamna lolote uchafu mtupu. Wake za watu wamekuwa wakitoka kwa sababu huwa hamwalidhishi, au akifanya style mpya unaanza kumuuliza hii imeijuaje umeanza kwa hiyo wanakuwa wanaogopa kuwapa mavituzzzzzzzzz yaliyo tulia akienda huko nje anatoa vyote ambavyo alikuwa akikupa wewe unaona ni umalaya mapenzi ni usanii (ninamaanisha ubunifu) hivyo inabidi kila mara mtu abadilike na akibadilika unabidi ubadilike nae sio kuanza kumuuliza umeanza mambo yako.
kwahiyo huwa wanatoa hadi tIGO? mbona balaa
 
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

Mkuu haya mambo magumu sana......! Unaweza usile wa wenzio, lakini still wa kwako akaliwa.....
 
Last edited:
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu

Mwanamke ni mwanamke tu. Ule mkeo, wa mwenzako au hata aliye single/malaya, wote ni wale wale. Mke wa mwenzako, mkeo au malaya ni majina tu ambayo kwa pamoja yanaleta jina moja la mwanamke.

Muhimu hakikisha mnajaliana na mkeo/mmeo kuepusha kuliwa/kula nje. Ikibidi achana na tafuta mliye compartible. Biashara ya kupigana au kugombana na aliyekula mkeo au aliyeliwa na mmeo ni upuuzi number moja. Inawezekana wako kibao waliokula/kuliwa na mkeo/mmeo!
 
CERTAINLY,u r the one going wrong!
kama upo timamu na una afya yako nzuri UTAOA TU,no matter how long will it take.
.............and finally dear,by the time u get married,TUNAMLA MKEO INSTANTLY
duh, hii hatari. WHAT GOES AROUND COMES AROUND!
mke wa mtu mtamu bana,asikuambie mtu,
jaribu halafu ubambwe ndo utajua mtamu au mcchungu.
mke wa mtu raha sana full maufundi, ila hatari kiaina
watch out wa-jina!, sio hatari kiaina, NI HATARI SANAAA, don try.
 
Back
Top Bottom