Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Mimi ningemwuliza kwa nn mama yangu alizaliwa na ww babu ambaye
unapenda kukagua kagua.
 
mh...! hivi tulitakiwa tuhuzunike pamoja na rafiki wa babu ODM? coz rafiki wa babu naye ni either babu or bibi. Ila hapo kwenye maswali...dah! ngoja nkatunge swali langu, ntarudi kuliweka hadharani
 
Ahsante Rafiki. Na Huyu Mungu mwacheni tu akae huko aliko, tumwone siku ya kiama..... vinginevyo, angekuwa na maswali mengi sana ya kujibu....

Lakini rafiki, kuna swali napata hapa, hivi Mungu ndo muuaji au ni shetani???!!!!
 
Mimi ningemwuliza kwa nn mama yangu alizaliwa na ww babu ambaye
unapenda kukagua kagua.
Angekunasa kibao kwa kumsingizia uongo kwakuwa mimi ni baba yake baba yako.....Mi ni wa upande wa kiumeni

mh...! hivi tulitakiwa tuhuzunike pamoja na rafiki wa babu ODM? coz rafiki wa babu naye ni either babu or bibi. Ila hapo kwenye maswali...dah! ngoja nkatunge swali langu, ntarudi kuliweka hadharani
Hujambo Bombu mpenzi? Mwache Mungu aitwe Mungu, na aendelee kukaa hukohuko aliko.
 
Lakini rafiki, kuna swali napata hapa, hivi Mungu ndo muuaji au ni shetani???!!!!
Kama Shetani ndo Muuaji na Mungu ana nguvu kuliko Shetani...........Ningemuuliza Mungu, kwanini anamuachia shetani atuue viumbe vyake?.....Rafiki swali lako tete LOL
 
Aisee taratibu utamwamsha Mungu hasira zake akutie makonde....

hahahahah amelala bana
naona anatutia kizuizi tuu hapa
Tungekuwa tunaona kila kitu wazi wazi na unapima mwenyewe kuwa hii inanifaa au hainifai
na upande wa pili wanajipimia tuu size wanajua hapa hii inanitosha
 
God, You are more friend to me than I am to myself, I will no longer dwell on unpleasant things of the earth, nor will I let trouble harrass me....

Iribini, tunapitia mengi, na ukisikia ya mwenzio unahisi angalau wewe Mungu alikupendelea kuliko yule na yule na yule. Yote afanyayo ana sababu Yake, japo kwa uelewa wetu wa kibinadamu wakati mwingine ni ngumu sana kukubali.

He knows what is the best for everyone of us!
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, na mapenzi yake yatimizwe mbinguni kama duniani.

Mi ntaogopa kumuuliza swali, ntaendelea kujiuliza kimoyo moyo tu, nikikutana naye nakimya!
 
Hahhahaa Mamushka umenichekesha LOL.... Unaogopa kuuliza wakati amekupa nafasi?
 
Ila tunasema tuu
Mwacheni akae huko huko aliko maana nafikiri ingekuwa ni enzio zile za zamani anaonekana onekana humu duniani angekuwa ashatumaliza siku nyingi kwa hasira
Maana tunayoyafanya yanazidi hata wakati ule wa gharika na sodoma na ghomora
Mwacheni akae huko huko aliko wala asionyeshe sura yake humu duniani
Maana nahisi akionekana tuu hakuna ywyote wa kusimama mbele yake awe padri au mchungaji au shekhe au askofu au sijui mtakatifu gani sijjui nabii wote tutakuwa kama visisimizi
 
Rafiki, haya mambo magumu sana! Hilo nalo ni swali ngumu sana....mhhhh!!!!
Ndio maana nasema, ni afadhali Mungu aendelee kukaa huko mbinguni aliko....Angekuwa anaonekana kama kina Kikwete, angeulizwa maswali mengi sana....Acheni aitwe Mungu, na akae hukohuko aliko....
 
Ila tunasema tuu
Mwacheni akae huko huko aliko maana nafikiri ingekuwa ni enzio zile za zamani anaonekana onekana humu duniani angekuwa ashatumaliza siku nyingi kwa hasira
Maana tunayoyafanya yanazidi hata wakati ule wa gharika na sodoma na ghomora
Mwacheni akae huko huko aliko wala asionyeshe sura yake humu duniani
Maana nahisi akionekana tuu hakuna ywyote wa kusimama mbele yake awe padri au mchungaji au shekhe au askofu au sijui mtakatifu gani sijjui nabii wote tutakuwa kama visisimizi
Akae hukohuko aisee...maana hata wewe angekuwa ashakutia makonde....unataka tutembee uchi mbele ya watoto wetu hahahahaaaaaaaaa.... afu atuletee na dawa ya Ukimwi ili tuendelee kula dry.......... duh angekutia makwenzi aisee...
 
Na hao watoto si wanatembea uchi so wanaona dudu ya dingi na mammy
Hahahaha hiyo dawa muhimu aise maana tumezidi kuwa waoga
 
Hahhahaa Mamushka umenichekesha LOL.... Unaogopa kuuliza wakati amekupa nafasi?

Yeye si ana uwezo, anayajua hata yale yaliyo sirini? basi acha tu alisome hilo swali ntakalo kuwa nalo....
 
Sasa Mamushka.......kama anayajua kwanini anatuacha tunataabika hivi?.......... Sisi si ni viumbe vyake katuumba mwenyewe?........ Mi ningemuuliza bana....
 
Yaani kwanza Aprin ukikutana nae utakavyotetemeka sidhani kama utakuwa na huo uwezo wa kuuliza swali lolote sana sana utaishia kuomba radhi kw auliyoyafanya ikiwemo hilo la kuwa una ndoa ila uunahangaika na visichana mtaani
 
Sasa Mamushka.......kama anayajua kwanini anatuacha tunataabika hivi?.......... Sisi si ni viumbe vyake katuumba mwenyewe?........ Mi ningemuuliza bana....

tukitaabika ndo tunamkumbuka ....lol!!

akitupa raha tunasahau hata kama yupo, hadi tena atukumbusheee...

ni sehemu ya maisha bana, shida kidogo raha kidogo, wengine shida kwa kwenda mbele basi alimradi vururuvururu...

wee biggy hebu mwache Mungu bana! humuwezi

"with fire we test gold, with gold we test our servants"....(usiniulize nimemkoti nani...ni maneno ya Mungu hayo)
 
Back
Top Bottom