Ukikosa post ya wizara ya afya zinazototoka kuanzia tar 05-10 oct' mbinu hii hapa.

KISUNZU

Member
Sep 12, 2013
43
5
NITAFUTE HAPA mryusuph@gmail.com au NIIBOX NIKUPE MBINU AMBAYO WENGI HATIMAYE WALIFANIKIWA.
 
utakuwa umelogwa wewe nani kakuambia wizara ya afya kuna rushwa au unataka utukanwe bure.

bila shaka wewe ndiyo umelogwa mkuu, hamna sehemu ambayo rushwa haipo!! Labda kurudisha UHAI wa mtu hapo ndipo rushwa ilipogonga mwamba!!! Ni mbinu gani hiyo ya siri namna hiyo mkuu unataka kuwapa vijana au unataka kuwabebesha vijana sembe maana hamchelewi nyie,.
 
Back
Top Bottom