Ukiipata LIKE ya mtu huyu niambie!!!!

Si nasikia hiyo ina-boost kinadada..........Halafu mambo gani ya kutaja vinywaji digitali asubuhi hii, wengine mate yashaanza kucheza

wenzako huwa wanatumia vile vikombe vya aluminium kuweka vodka halafu ajitia anakunywa chai/juice aliyotoka nayo home tartiiibu utaskia lugha inaanza kubadilika... tunae dada mmoja hapo ofcn kwetu ana tabia hiyo au anakumbatia chupa kubwa la maji kumbe nusu konyagi.....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom