UKIGUNDUA unasalitiwa utafanyaje?

Huyo tupa kule! Mbona warembo kibao, maisha yenyewe yanavyotupeleka mbio unaruhusuje tena kuishi kwa stress za mpenzi. Ukimpata mwingine naye akakuzingua unaacha kabisa kuwa na permanent relation maana utakuwa huna bahati nazo hivyo unajisajiri kwa wale wasio rasmi maana hao hutakaa upate presha ni mfuko wako tu na ukiwa mzuri katika kazi na ukawa mwaminifu wa kulipa kwa mujibu wa makubaliani kuna siku utapewa na offer!
 
chanzo cha mwenzio kukusariti ni wazi kuwa haumridhishi kunako samweli sita..waingereza waliwai kusema kuwa.. Your greatest enemy is yourself...jiulize kwanza kwa nini mwenzio anatoka nje? Ni wanawake wachache ambao wanaweza kuthubutu kumwambia mpenzi wake kuwa haridhiki.. Unatakiwa kufikiri utafanyaje kuzuia hii hali na sio utafanyaje ukigundua unasalitiwa..
 
Inategeme kuna wakati mwenza wako anakusaliti kutokana na makosa ya mwenzake kutokumjali, kutokumlidhisha ila kuna wengine ni tabia tu ..NI bora hujue undani uliosababisha mpaka akakusaliti na ukigundua ni tabia yake tu au tamaa za kimwili huyo hachana nae hakufai kabisa
 
Itategemea bt probably nitamsamehe!
Kama atapima kiafya mzma!
 
chanzo cha mwenzio kukusariti ni wazi kuwa haumridhishi kunako samweli sita..waingereza waliwai kusema kuwa.. Your greatest enemy is yourself...jiulize kwanza kwa nini mwenzio anatoka nje? Ni wanawake wachache ambao wanaweza kuthubutu kumwambia mpenzi wake kuwa haridhiki.. Unatakiwa kufikiri utafanyaje kuzuia hii hali na sio utafanyaje ukigundua unasalitiwa..

Excuse me? Ukisalitiwa wewe ndie umekosea? Sijaelewa vizuri hapa.
 
Only two things involve: msamehe au achana naye, na hamna jambo lolote linaloweza badilisha kilichoishatokea....lakini pia hii inaweza kumtokea mtu yeyote kwani sio wote wanaolewa au kuoa watu ambao ni wa ndoto zao (woman/man of your dream)...kwa hiyo it is very possible kwa mtu akiwa ndani ya ndoa na siku moja akaona/kupata type ya mtu aliyekuwa ana-dream kuwa naye before...kitakachofuata wewe mwenyewe unajua.
 
chanzo cha mwenzio kukusariti ni wazi kuwa haumridhishi kunako samweli sita..waingereza waliwai kusema kuwa.. Your greatest enemy is yourself...jiulize kwanza kwa nini mwenzio anatoka nje? Ni wanawake wachache ambao wanaweza kuthubutu kumwambia mpenzi wake kuwa haridhiki.. Unatakiwa kufikiri utafanyaje kuzuia hii hali na sio utafanyaje ukigundua unasalitiwa..

Wanaosaliti wote hawaridhishwi??
 
ah bado sina jibu ila i think i will do sommething unpredictable and unbeliaveble
 
Back
Top Bottom