Ukifurahi huwa unafanya kitu gani?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Leo mama yangu mzazi kaniletea zawadi nzuri na ya thamani, nikaipokea na kufurahi, nikamwambia asante.
Nikaipeleka ndani.
Nilpo rudi nikakuta sura yake kaikunja na anasema sijaipenda.
Hivi kila ukifurahishwa ni lazima umwage chozi kuonyesha furaha yako?
 
hukufurahi kwa kiwango ambacho kilimridhisha...labda ulitabatasamu tuu kidogo halafu basi.
 
Leo mama yangu mzazi kaniletea zawadi nzuri na ya thamani, nikaipokea na kufurahi, nikamwambia asante.
Nikaipeleka ndani.
Nilpo rudi nikakuta sura yake kaikunja na anasema sijaipenda.
Hivi kila ukifurahishwa ni lazima umwage chozi kuonyesha furaha yako?

Wakat mwingine inabid uendane na matakwa yake as ni mtu muhimu kwako,like alitaka uisifie hiyo zawad,ummshukuru kwa kuwa yako tena mama mzuri anayejali na ...
 
Back
Top Bottom