Ukifumaniwa nguvu zinakwisha?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Wazee wenyewe, katika stori wengi tunaamini kwamba ukimfumania mtu anachukua mali zako nguvu zinamwishia. Hata kama ni Sylvester Stallone (Rambo) unaweza kumkaba koo na ukampa vibao vya kutosha asikufanye kitu.

Nakumbuka stori ya jamaa mmoja huko katika kijiji fulani mkoani Kigoma ambaye alipewa ishu waifu wake yuko na jamaa gheto. Mshikaji huyo akaenda kichwa kichwa huku amekunja mikono ya shati na kugonga mlango hapo gheto. Yule mwizi wake alifungua mlango akampa kichapo na kurudi ndani akajifungia. Jamaa kuona vile akakusanya wapambe wake wakamsaidie lakini walipofika yule mgoni kwa kujiamini kabisa akawetembezea mkono wote na akarudi kujifungia ndani. Kilichofuata yule mke alijiua kwa soo iliyotokea na mwizi akapotea jumla.

Je ni kweli kwamba ukifumaniwa nguvu zinakwisha na network inapotea au inategemea kujiamini kwako? Leteni ishu....
 
What is the motive of this story? Naona kama jibu unalo mwenyewe!!
Nataka tu kufahamu maana inaonyesha huyo jamaa wa Kigoma aliweza kujisimamia. Nimekukumbusha mbali nini mkuu? Isijekuwa ulishakula kichapo!
 
inategemea na jinsi unavyompenda huyo mwanamke anayemegwa humo ndani.

yaani kama unampenda sana lazima utatoa kichapo kikali kwa wote wawili kisha unamchukua mkeo na kwenda kumsakata wewe mwenyewe
 
kama ujajippanga kumega mke wa mtu ukifumaniwa utaishiwa nguvu lakini kama upo fiti unatembeza mkono unaendelea na uroda labda demu mwenyewe asiwe bomba
 
Wazee wenyewe, katika stori wengi tunaamini kwamba ukimfumania mtu anachukua mali zako nguvu zinamwishia. Hata kama ni Sylvester Stallone (Rambo) unaweza kumkaba koo na ukampa vibao vya kutosha asikufanye kitu.

Nakumbuka stori ya jamaa mmoja huko katika kijiji fulani mkoani Kigoma ambaye alipewa ishu waifu wake yuko na jamaa gheto. Mshikaji huyo akaenda kichwa kichwa huku amekunja mikono ya shati na kugonga mlango hapo gheto. Yule mwizi wake alifungua mlango akampa kichapo na kurudi ndani akajifungia. Jamaa kuona vile akakusanya wapambe wake wakamsaidie lakini walipofika yule mgoni kwa kujiamini kabisa akawetembezea mkono wote na akarudi kujifungia ndani. Kilichofuata yule mke alijiua kwa soo iliyotokea na mwizi akapotea jumla.

Je ni kweli kwamba ukifumaniwa nguvu zinakwisha na network inapotea au inategemea kujiamini kwako? Leteni ishu....

Nimeshawahi kushuhudia hii shughuli live ya mtu kufumaniwa. Yaani unaweza kumuonea huruma jinsi anavyoishiwa nguvu na kutetemeka kupita kiasi. We acha tu.
 
Kwa kawaida, ukiwa unafanya tendo lolote ambalo si halali mtu akitokea una gwaya hata kusema huwezi. Na pengine hata ukiwa kwako unakula uroda na mkeo, wezi wakitokea usiku uwezi tena kupigana, nguvu zote na maaarifa vinakuwa vimetoweka kupitia tendo la ndoa.

Na hata ukishtuliwa na mgeni wakati wa mchana ulikuwa kwenye tendo la ndoa, uwezi kutoka ukawa "stable", nguvu zinakuwa zimeisha na uchangamfu wako unakuwa wa kujivuta vuta. Kwa sie wa Madina tunasema ukiwa kwenye hilo tendo Malaika wako mlinzi huwa anakuwa amesogea pembeni ili asishuhudie hilo tendo.
 
Ukiwa na wako wa halali si inahesabiwa kama ibada Ngoshwe?
 
Back
Top Bottom