Ukifa tukukumbuke kwa lipi?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kama leo Roho yako itazimika na kifo kuchukua nafasi yake. Unataka wana JF wenzako tukukumbuke kwa lipi? Funguka ndugu yangu!!
 
Na watajuaje kama umekufa?
Hata kama wao wasipojua kama umekufa unataka watu waku-miss kwa lipi? kwa mfano mbali ya kupigwa BAN FaizaFoxy watu wanamkumbuka kwa michango yake ya kibishi bishi. Hata tusipojua kama umekufa lakini watu waseme "angekuwepo MANI" hii ishu ingeelewa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom