Ukibaraka wa Zitto wa jana na unafiki wa Makamba wa leo!

Uko sahihi kabisa...... Binadamu tumezoea kuhukumu Na kusahau kuwa sisi si MUNGU wa kutokosea, ukishakosea basi imetoka hata ifanye zuri vipi hueleweki. Hii yote pia ni kwasababu tunalazimisha mtu mmoja akifikiri hivi basi wote tufikiri vile. Wanasahau kuwa kila mtu anamtazamo wake, maadili yake Na mantiki yake. Basi kwasabu zitto Kafanya hivi basi Na Fulani afanye hivyohivyo.

Hawa Vijana ni wakali Mimi Nawakubali Na ninatambua pia wanamapungufu Kama binadamu mwingine yoyote.
 
Ndg mtoa hoja kuna kitu kimoja umesahau kwamba hii JF ni yana Chadema tu. ukionge ukweli wao kazi yao ni kung'aka. nasikitika JF sikuhizi imepotez mvuto maana imekaa ki Chadema zaidi na sio ki Taifa.

Ombi: wekeni wazi tu kuwa hoja za hapa ni kwaajili ya kusifia CDM na viongozi wao na sio kwa maslahi mapana ya taifa la Tanzania.

ndio JF ni ya chadema. So inabidi uhamie mihuzi.blog kama ww ni gamba, pia kama ww ni CUF inabidi uhamie mzalendo.net"
Safari njema mkuu.
 
Yani humu jf kuna watoto wamekuja kwa ajiri ya kupinga,akianza kupinga mtu wa kwanza katika thread ya mtoa mada basi mingine inafwata kuponda,acheni kufikiria na masaburi...anyways big up kwa wanaoponda na kuonyesha wp mtoa mada amekosea na kumpatia facts mpya huo ndo u-gret thinka
 
Zitto ni noumaaaaaaaa! Kama umesoma nae onesha mchango wako kwa Taifa unaomzid Zitto,wameshindwa watu wenye nguvu zao kumchafua Zitto itakuwa ww mlemavu wa akili!

Songoro nafikiri soma, afu njoo nahoja, Mimi kwa namna yeyote siwezi fanana na zitto wala Makamba. Naleta mabadiliko katikaa afasi niliyo nayo, of course sio ya kisiasa. How about you?
 
nyani.jpg

.....hivi ni kweli?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
.......uko sahihi kulingana na upeo uliojaliwa; lakini kinyume chake ni sahihi zaidi
Yani humu jf kuna watoto wamekuja kwa ajiri ya kupinga,akianza kupinga mtu wa kwanza katika thread ya mtoa mada basi mingine inafwata kuponda,acheni kufikiria na masaburi...anyways big up kwa wanaoponda na kuonyesha wp mtoa mada amekosea na kumpatia facts mpya huo ndo u-gret thinka
 
great post but wrong heading....sorry, utakuwa cursed hapa mpaka ujione choo.
 
Tutamuunga mkono kijana yeyote anayeonekana dhahiri anaumia na umaskini wa watanzania,anaumia na ufisadi,anaumia na uwajibikaji duni wa serikali.Kimsingi na uhalisia wa mambo ni kosa kumlinganisha Zitto na Jamuary kwana wa mwanzo ni jasiri na wa mwisho ni mnafiki kama kabila lake.ZITO aliyatenda mambo kwa manufaa ya taifa kwanza kisha hayo mambo yakawa na impact kwa chama chake.Kwa vijana wa Tz,hakunaga aliyejaliwa kucheza siasa kama Zito,huyo January ni kitukuu cha Zito kwenye medan hizi za siasa.Kwanza January hawezi kulinganishwa hata na Deo Fils ndani ya vijana wa ccm wenye ujasiri,January hampati hata Ester Bulaya.IN GENERAL KIJANA AMEKUMBANA NA UGONJWA'ANGUKO LA KISIASA'.USICHEZEE CHADEMA &ZITO KAMA WEWE NI MWIZI,WATAKAMATA MWIZI MEEEEEEEN!
 
Ndg mtoa hoja kuna kitu kimoja umesahau kwamba hii JF ni yana Chadema tu. ukionge ukweli wao kazi yao ni kung'aka. nasikitika JF sikuhizi imepotez mvuto maana imekaa ki Chadema zaidi na sio ki Taifa.

Ombi: wekeni wazi tu kuwa hoja za hapa ni kwaajili ya kusifia CDM na viongozi wao na sio kwa maslahi mapana ya taifa la Tanzania.

hakuna maslahi mapana ya taifa la tanzania kama hauisifii cdm.msalimie mwigulu na nape
 
Why vijana ,why profiling people..!! how many youth had mess up so far? so did the elders.
Set creteria for a appropriate leader in our situation,and if it happen the person to be kijana good for him.
But do not support anybody simply cause is young you gonna regret.
Once Mwl said "hatuta mchagua kutokana na dini yake,kabila lake,umri wake ......"
Please guys dont profile ni sumu
 
Back
Top Bottom