Ukiambiwa unanuka kikwapa utafanyaje? Utakasirika?

Pape mambo ya kunika kikwapa yamepitwa na wakati... with all these products? mmh

BTW how do u tell a person ananuka kikwapa.. not necessary mpenzi wako... kama mtu kazini au jamaa... harufu inakera lakini mie nahisi atanifahamu vibaya... i donno how to start...
 
nitaendelea kupiga nae story halafu kesho yake nitaoga vizuri na kutia deodorant then namfuata kumuuliza kama bado nanuka

Yes! Unakomalia inshu bana! In the end atatia timu tu unajua waringao ; mtego wao ni mdogo sana! Ilimradi akinipa nafasi ya kuongea tu!
 
sio wote wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa mkuu...

oooppps kweli ehh? samahani... lakini itabidi ujitahidi kuoga vizuri... au tumia ndimu some say shaba inasaidia kupunguza bad odorous.
 
Sitakasirika, ila nita hakikisha deodorant haichezi mbali. Bora kuambiwa unanuka kuliko kuambia hujui ku do!
 
nitaendelea kupiga nae story halafu kesho yake nitaoga vizuri na kutia deodorant then namfuata kumuuliza kama bado nanuka

Te ehetehe e! Safi sana, alafu mwenyewe ataanza kukunusa na mwishowe atapenda harufu yako, na kukosa raha cku akiikosa hiyo harufu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom