Ukiambiwa Unaakili Kama Nyumbu! Ni Tusi Kubwa Sana

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
21176.gif
 
aisee, wana akili sema kwenye mtihani wowote lazima atokee mwenye maksi za juu
 
Kuna akili za mitihani na akili za kawaida....uwezo kufikiri sio kukariri na kutoa kama kilivyo..ambacho naona bado Mulugo anapata shida nacho. Howezi kuniambaia muungano wa Tanzania bara, Pemba na Zanzibar nikakuelewa achilia mbali huo wa Zimbabwe na Pemba
 
akili za ccm bwana... Zipo za Mwigulu Nchemba, zipo za Mlugo, zipo za LIVINGSTONE LUSINDE haha hah haaa
 
Back
Top Bottom