Ukiachika, nijulishe..

jamani hapo kwenye bluu napata tabu kidogo,
kati ya mpwa Nguli na binamu Masanilo nani ni mmiliki halali wa BHT na nani ni mshika pembe??, msaada kwenye tuta plz.

Jamani Lily!!! Porjie dont bother am sure with time utapata jibu(moments by the way)

Nguli hiyo mijino kaitoa ya nini?
 
Yani wifi nilishamsamehe lakini kalitibua limeanza upyaaaaaaaaa.Mwaka huu kweli kazi ipo.Mie naona unamtetea bure ,hebu kaangalie ile thread ya ukaribisho kule ndio utahakikisha.Ngoja niondoke kwanza nikajifungie home kama ulivyoshauri.

Kaangalie nilivyomuonya, dont worry Xpin ni wako 2 atapita kote mwisho patakuwa nyumbani kwenu, we nenda 2 nyumbani mambo madogo 2 haya.
 
Watu wanataka kunivunjia ndoa yangu mpwa. Lakini wanashindwa. Dada anafanya vitu vyake.

dah...ZD uko wapi mamii? ni nini hii? washindwe na walegee, sasa apo tangu lini kichwa cha nyoka kikabeba mtungi?
 
dah...ZD uko wapi mamii? ni nini hii? washindwe na walegee, sasa apo tangu lini kichwa cha nyoka kikabeba mtungi?

Ungekuwepo muda wote dada yangu Lily Flower wala asingepoteza energy yake kivile.
 
Kaizer nipo, afadhali umekuja kariba maji yazidi unga mtanage ulikuwa mgumu, lakini matokeo mazuri sisi 3 wao bila.
 
Back
Top Bottom