Ukiachika, nijulishe..

KATT WILLIAMS, Uliachika juzi juzi changamkia hii maneno...infact pole man I know how u feel.
 
Asante sana bwana Nguli. Huu mzigo mbona unakimbiza kimya kimya
 
Attachments

  • hahah.jpg
    hahah.jpg
    4.6 KB · Views: 42
Sasa mbona hunipigii debe kwa mchumba?

Ngoja nipige debe, ZD nyumbani fasta, siuliapa til deth do u apart na Xpin, ok hold on, haya na wewe BHT msubiri MASANILO arudi kutoka visiwani, yale ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.
 
KATT WILLIAMS, Uliachika juzi juzi changamkia hii maneno...infact pole man I know how u feel.
Join Date: Mon Mar 2008
Location: HOME
Posts: 1,477
Thanks: 111
Thanked 303 Times in 195 Posts
Rep Power: 24
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Join Date: Mon Nov 2009
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Hii relation hii ya mpwa nguli na mwachikaji kati Williams! Hahaha LOL!
 
Lily flower siwezi kumsubiri Masa, mi sina hata kafling nae mbona?? we wamtetea tu jana hukuyaona sio....afu unasema ni maneno tu.....si maneno huumba!!!???
 
KATT WILLIAMS, Uliachika juzi juzi changamkia hii maneno...infact pole man I know how u feel.
Join Date: Mon Mar 2008
Location: HOME
Posts: 1,477
Thanks: 111
Thanked 303 Times in 195 Posts
Rep Power: 24
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Join Date: Mon Nov 2009
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Hii relation hii ya mpwa nguli na mwachikaji kati Williams! Hahaha LOL!

Mkuu huyu jamaa ni mshikaji wangu sana sema kachelewa kujiunga humu jamvini na get together ya 1 alikuwepo na GEOF pamoja na FIDEL80 wanamfahamu, wewe ulikuwa na pikapu lako ukigonga watu.
 
Ngoja nipige debe, ZD nyumbani fasta, siuliapa til deth do u apart na Xpin, ok hold on, haya na wewe BHT msubiri MASANILO arudi kutoka visiwani, yale ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.

Si umeona bana. Ungeanza tangu mapema mchumba asingeondoka. Kashasepa we ndio unafanya vitu vyako. Enewei umekula senksi. Kakague kama huamini.
 
Ngoja nipige debe, ZD nyumbani fasta, siuliapa til deth do u apart na Xpin, ok hold on, haya na wewe BHT msubiri MASANILO arudi kutoka visiwani, yale ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.
jamani hapo kwenye bluu napata tabu kidogo,
kati ya mpwa Nguli na binamu Masanilo nani ni mmiliki halali wa BHT na nani ni mshika pembe??, msaada kwenye tuta plz.
 
Mkuu huyu jamaa ni mshikaji wangu sana sema kachelewa kujiunga humu jamvini na get together ya 1 alikuwepo na GEOF pamoja na FIDEL80 wanamfahamu, wewe ulikuwa na pikapu lako ukigonga watu.

Hahaha! Li-Stout ntalipeleka Moshi disemba hii likabebe mbege kidogo ili kuondoa nuksi. Poa mpwa! Nilifikiri kuna Lijendi anaingia kimagirini.
 
Ngoja nipige debe, ZD nyumbani fasta, siuliapa til deth do u apart na Xpin, ok hold on, haya na wewe BHT msubiri MASANILO arudi kutoka visiwani, yale ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.

Wifi Lily!Niende nyumbani tena ilia azidi kuharibu,haendi mtu leo mpaka kieleweke kwanza
 
akuuuuuuu!,
nani huyo kasema?. mi nilikua naweka mambo sawa mara hii naonekana mbaya tena, Loh.

Nisamehe shem,si unajua tena mwenzio naweka mambo sawa kenye huu uchumba.Tunasubiria tu amalizie mahari ili tutangaze wedingi bells hapa jeiefu,hivo ndio maana ulinzi unatakiwa uwe mkali.
 
jamani hapo kwenye bluu napata tabu kidogo,
kati ya mpwa Nguli na binamu Masanilo nani ni mmiliki halali wa BHT na nani ni mshika pembe??, msaada kwenye tuta plz.

Nguli na bht ndio wasimamizi wa harusi ya chris na ZD. I think this clarifies.
 
Wifi Lily!Niende nyumbani tena ilia azidi kuharibu,haendi mtu leo mpaka kieleweke kwanza

Punguza hasira wifi, unajua alikuwa anajifurahisha 2 maana ulikuwa hauko karibu, he wil neva du zat 2 u Wifi, Xpin mambo yameisha sasa ukifika nyumbani kajiovadozi kesho hakuna kutoka nyumbani fulstop
 
Yani wifi nilishamsamehe lakini kalitibua limeanza upyaaaaaaaaa.Mwaka huu kweli kazi ipo.Mie naona unamtetea bure ,hebu kaangalie ile thread ya ukaribisho kule ndio utahakikisha.Ngoja niondoke kwanza nikajifungie home kama ulivyoshauri.
 
Back
Top Bottom