Ukerewe ya chadema yasifiwa kwa maendeleo

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Ni kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC1 kimetoa makala inayosifia halmashauri ya wilaya ya Ukerewe inayoongozwa na CHADEMA kwa maendelea katika nyanja zote na usimamizi mzuri wa raslimali. HONGERA WANACHI WA UKEREWE.
 
Na mwanza jiji waache malumbano.....wapige kazi kama ukerewe na musoma....hapo CCM watalilia chooni 2015 na watakosa cha kusema majukwaani...watabaki kurusha u-lusinde.
 
Ni kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC1 kimetoa makala inayosifia halmashauri ya wilaya ya Ukerewe inayoongozwa na CHADEMA kwa maendelea katika nyanja zote na usimamizi mzuri wa raslimali. HONGERA WANACHI WA UKEREWE.
Kudos kamanda Machemli, VIVA M4C
 
Back
Top Bottom