Ukatiri na unyanyasaji wa mbowe wadhihirika

Status
Not open for further replies.
Mnamo mwaka 1958 ni mwaka wa kihistoriakatika Nchi hii ya Tanzania.Mjadala wa kura tatu ni miongoni mwa matukio hayo ya kihistoria ambapo Mwl.Nyerere alikuwa mzungumzaji mkuu katika mjadala huo.Kutokana na huruma, busara,mvuto na ushawishi mkubwa aliokawanao Mwalimu huo;viongozi wa TANU na watu wengine waTabora walipanga mkakati wa kumnyanyua mwalimu huyo wakati atakapowasili kwenye mjadala huo.
Na tazama jinsi Nyerere alivyoongozwa na busara na huruma kubwa pale alipokataa kunyanyuliwa huku akisisitiza kuwa, hali hiyo ni sawa na ukatiri,unyanyasaji,ubinafsi na utumwa uliopea.Hali ni tofauti kwa Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe,ambaye kutokana na ukatiri, unyanyasaji na ubinafsi wake alionekana kujawa na furaha mithili ya mtu aliyefanikisha kupiga chafya pale aliponyanyuliwa na wafuasi wake wa CHADEMAkule Arusha baada ya kupata dhamana ambao kwa bahati mbaya hawajui kama wamelishwa unga wa ndere na chama hicho na hivyo kushindwa kung'amua baya lolote la viongozi wao wadhalimu.Wafuasi hao walionaswa na sumaku kali ya CHADEMA na hivyo kudumaa kimawazo, wanaonekana kuwaona wajinga wataalamu wa saikolojia ya binadamu wanaozifahamu tabia za binadamu kulingana na muktadha mahsusi huku wakijikakamua kutoa hoja zao zilizoathirika na unga huo wa ndere kama watakavyojitokeza katika hoja hii.
Nilishangawza sana kuona kiongozi huo akifurahia kunyanyuliwa na wafuasi wake ambao kwa bahati mbaya hawakusoma historia ya utumwa nakwamba hiyo waliyoifanya ni 'aspect' yake.

Pep.jpeg pep2.jpeg mourinho.jpeg Abidal.jpeg

hauna hoja wewe mwehu uliyetindiwa na ubongo kwa kupenda chama cha magamba
 
Madaya huu uharo unauleta kwa greatthinkers? Endelea kuzoma response za wadau, mwisho ujitazame mwenyewe kama unastahili kuendelea kuwepo kwenye hili jamvi. Nakushauri mpe PM invizibo omba permanent BAN, cv yako umeichafua kwenye post ya kwanza tu! Maisha yako humu hayatakuwa ya furaha
 
mnamo mwaka 1958 ni mwaka wa kihistoriakatika nchi hii ya tanzania.mjadala wa kura tatu ni miongoni mwa matukio hayo ya kihistoria ambapo mwl.nyerere alikuwa mzungumzaji mkuu katika mjadala huo.kutokana na huruma, busara,mvuto na ushawishi mkubwa aliokawanao mwalimu huo;viongozi wa tanu na watu wengine watabora walipanga mkakati wa kumnyanyua mwalimu huyo wakati atakapowasili kwenye mjadala huo.
Na tazama jinsi nyerere alivyoongozwa na busara na huruma kubwa pale alipokataa kunyanyuliwa huku akisisitiza kuwa, hali hiyo ni sawa na ukatiri,unyanyasaji,ubinafsi na utumwa uliopea.hali ni tofauti kwa mwenyekiti wa chadema,freeman mbowe,ambaye kutokana na ukatiri, unyanyasaji na ubinafsi wake alionekana kujawa na furaha mithili ya mtu aliyefanikisha kupiga chafya pale aliponyanyuliwa na wafuasi wake wa chademakule arusha baada ya kupata dhamana ambao kwa bahati mbaya hawajui kama wamelishwa unga wa ndere na chama hicho na hivyo kushindwa kung'amua baya lolote la viongozi wao wadhalimu.wafuasi hao walionaswa na sumaku kali ya chadema na hivyo kudumaa kimawazo, wanaonekana kuwaona wajinga wataalamu wa saikolojia ya binadamu wanaozifahamu tabia za binadamu kulingana na muktadha mahsusi huku wakijikakamua kutoa hoja zao zilizoathirika na unga huo wa ndere kama watakavyojitokeza katika hoja hii.
Nilishangawza sana kuona kiongozi huo akifurahia kunyanyuliwa na wafuasi wake ambao kwa bahati mbaya hawakusoma historia ya utumwa nakwamba hiyo waliyoifanya ni 'aspect' yake.
niwazi sasa ulinzi pale getini hospitali ya vichaa pale dodoma si wakutosha, naona umefanikiwa kutoroka kuja jf, nitakurudisha!!!
 
..."kila wakiishinda Man U"....kiongozi hapa utawafanya baadhi ya watu 'wagonjweke' cku ya leo maana hata 40 hawajamaliza.

Mkuu sikuwa na maana mbaya au kuwaudhi watu. Nilikuwa nataka kuonyesha tu level ya unyanyasaji duniani.
 
hahahah jamani mmemshambulia mpaka naona aibu. Huyu kaamka akaanza kutengeneza hii thread yake bila kuangalia anaandika nini.
 
Kwa ujinga kama huu daima watabak kusema JF imejaa Chadema kumbe wana CCM wanao kuja hapa hawako makini . Mtu una post 2 unaanza ujinga baada ya miezi 6 utakuwa kama FFox. Poleni sana.
 
Maskini CCM wamefilisika vibaya mnooo khaaaaaaaaaaaaaa, mbona mnaongea utumbo namna hii KILIMO KWANZA kimewashinda nini hahahahahah
 
Mnamo mwaka 1958 ni mwaka wa kihistoriakatika Nchi hii ya Tanzania.Mjadala wa kura tatu ni miongoni mwa matukio hayo ya kihistoria ambapo Mwl.Nyerere alikuwa mzungumzaji mkuu katika mjadala huo.Kutokana na huruma, busara,mvuto na ushawishi mkubwa aliokawanao Mwalimu huo;viongozi wa TANU na watu wengine waTabora walipanga mkakati wa kumnyanyua mwalimu huyo wakati atakapowasili kwenye mjadala huo.
Na tazama jinsi Nyerere alivyoongozwa na busara na huruma kubwa pale alipokataa kunyanyuliwa huku akisisitiza kuwa, hali hiyo ni sawa na ukatiri,unyanyasaji,ubinafsi na utumwa uliopea.Hali ni tofauti kwa Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe,ambaye kutokana na ukatiri, unyanyasaji na ubinafsi wake alionekana kujawa na furaha mithili ya mtu aliyefanikisha kupiga chafya pale aliponyanyuliwa na wafuasi wake wa CHADEMAkule Arusha baada ya kupata dhamana ambao kwa bahati mbaya hawajui kama wamelishwa unga wa ndere na chama hicho na hivyo kushindwa kung'amua baya lolote la viongozi wao wadhalimu.Wafuasi hao walionaswa na sumaku kali ya CHADEMA na hivyo kudumaa kimawazo, wanaonekana kuwaona wajinga wataalamu wa saikolojia ya binadamu wanaozifahamu tabia za binadamu kulingana na muktadha mahsusi huku wakijikakamua kutoa hoja zao zilizoathirika na unga huo wa ndere kama watakavyojitokeza katika hoja hii.
Nilishangawza sana kuona kiongozi huo akifurahia kunyanyuliwa na wafuasi wake ambao kwa bahati mbaya hawakusoma historia ya utumwa nakwamba hiyo waliyoifanya ni 'aspect' yake.

Hapo kwenye RED hebu rekebisha halafu ndio nichangie, huo mwaka 1958 sijui kama kulikuwa na nchi inaitwa TANZANIA
 
Ni nani aliye na Ng'ombe mia elfu asiyeweza kufurahi baada ya kuokoa ng'ombe m1 aliyekuwa akinyimelewa na simba?
 
Your so stupid ,this isnt your place , better post that wind above somewhere else,very shamefully that u might be leader poor Madaya,
 
Kumbeba mtu juu juu kufurahia ushindi = Ukatili na Unyanyasaji!This is Great thinker's argument!

Definition ya kitu chochote haiwezi kutokana na upumbafu na umbumbumbu wa mtu bali ina base kwenye universally accepted principals. Wewe madaya kanawe uso kwanza ndo uje utusikilize sisi kwanza kabla ya kujitapikia dengerua hapa hatusikilizi walevi, wabuya unga na mbumbumbu . Sisi tunakunywa chai kwanza usitake kutuharibia appetite yetu saa hizi.

UKATIRI NI UTITIRI AU NINI una maanisha hapa? sijajua kwa nini akili zenu zote zinafanana na NAPE mtafikiri mzazi wenu mmoja yaani CC-Magamba!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom