Ukatili wa Police

step

Senior Member
Jun 4, 2011
190
75
Wana JF salaam
Siku zote huwa ninawaza nafikiri pengine ni sahihi panahitaji utafiti tu mwepesi kupata takwimu muhimu. Inasemekana kuwa kadri jinsi polisi anavyokuwa katili (inhuman) na ndivyo elimu yake (Highest level of education ) inapumngua kwamfano ukifanya ranking ya ukatili kwa level Nne (Siyo katili, katili kidogo, Katili wa wastani na Katili sana) utapata uhusiano gani ? labda tuanze na wachache tunaowafahamu
1. Katili sana
2.katili wa wastani
3. Katili kidogo
4. Siyo katili
Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom