Ukaidi wa waandaji Miss Tanzania

Amavulandlela

New Member
Jul 6, 2009
2
0
Ndugu zangu, naomba kutoa angalizo kuhusu haya mashindano ya Miss Tanzania. Ikumbukwe kuwa hayo mashindano yameendeshwa wakati wenzetu Wazanzibari wamekumbwa na msiba uliotamkwa kuwa wa kitaifa na viongozi wa nchi hii kutangaza siku tatu za maombolezo. Kwa kuwa waandaji wakiongozwa na Hashim Lundenga na timu yake ya Mafia na wadhamini wakiongozwa na Vodacom wamepuuzia haya yaliyojiri, naomba kutoa hoja kuwa Watanzania wayalaani haya mashindano na kuyasusia mpaka atakapopatikana mtu mwingine wa kuyaandaa. Aidha BASATA waone busara kumsimamisha Lundenga kuanzia sasa. Vilevile huyo mrembo aliyepatikana jana asitishwe kuhudhuria hayo mashindano ya Miss World kama mfano kwa wakaidi wanaopuuzia maswala nyeti ya kitaifa!! Naomba kuwasilisha!!
 
We ndio hamnazo kabisa yaani mtu na NGO yake halafu wewe umpangie masharti? Na wewe anzisha ngo yako kama unataka. Lundega ile taasisi ni yake milele BASATA hawawezi mtoa
 
Nawewe na hicho kinyungu chako we endelea tu...dawa yako inachemka !
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG

IMG_6995.JPG

IMG_6926.JPG

IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg

DSC_0522.JPG
 
Back
Top Bottom