Ukahaba wa 'mwendokasi', mchana mchana!

Amekosea nini??dada yako nini kwenye video???me naona hajakosea chochote na ndo tujue dada zetu au wake zetu wanafanya kaz gani Kaka

Hakukuwa kuna haja ya kuweka hiyo video ili hali kila mtu anajua wazi dada zetu na wake zetu wanafanya nini mitaani.

Au wewe ulikuwa hujui?
 
Bosi hii ndio biashara ya muda mrefu kuliko zote dunainai
Haiwezi isha
Sawa mkuu haiwezi kuisha lakini tunaweza kuidhibiti kwa kuiwekea mazingira magumu na sheria kali ili kunusuru wapya wanaotaka kujiingiza katika biashara hii haramu kama wanaouza madawa ya kulevya
 
Huyu dada nimempata yuko Fb ana group la whatsapp.. Akikuunga kwenye gruop lake jnalipa elfu 5...
Huyu dada ana nia ya kumalizia mjengo wake kweli hatakangi ujinga..
 
Sheeeeeenzy yaani jamaa anaomba discount ya dhambi kweli.amenikumbusha pale sudan, nilikuwa nawakopa mpaka mmoja akasema wee kijana starehe nyengine hazikopeshwi yaani unakopa hata ku***a mimi nikamwambia si nina kura ya VETO ila sasa hivi nishatubu
h hahaha hiyo haikopeshwi aisee
 
Sawa mkuu haiwezi kuisha lakini tunaweza kuidhibiti kwa kuiwekea mazingira magumu na sheria kali ili kunusuru wapya wanaotaka kujiingiza katika biashara hii haramu kama wanaouza madawa ya kulevya
Mi natofautiana na wewe hapo, naona ihalalishwe, watu wapewe work permit ili serikali ichukue kodi na watu wapige job kwa uhuru. Madawa ya kulevya hayo ndio tu deal nayo kivingine
 
Mi natofautiana na wewe hapo, naona ihalalishwe, watu wapewe work permit ili serikali ichukue kodi na watu wapige job kwa uhuru. Madawa ya kulevya hayo ndio tu deal nayo kivingine
Siku hizi tunakuja kukamata mpaka gesti kupata maelezo ya kutosha kama wewe ni kibaka au? Tumegundua wahalifu wengi wanajificha kwenye gest
 
Ha yaani mdada anajiamin sii kidogo asee hawa wadada wapewe tu TIN wanaonekana wanajenga mpunga kweli fursa ni nyingi
 
Back
Top Bottom