Ukahaba wa 'mwendokasi', mchana mchana!

Unathaminije utu wa malaya, wakati yeye hajithamini? Anachothamini ni pesa kwenda mbele?
Sasa hapo kuna utu kweli, ama ni biashara za kinyama?
Jamani kilakitu kisemwe jinsi kilivyo, ndotutaondokana na tatizo lililopo. Halafu mbona wanawake wazuri wazuri wana hilo pepo sana.
Hiyo clip inaonesha ni mwanamke mzuri sana hata ukifunga ndani unajisikia raha hadi utasahau shida zako zingine kwa kumkalia yeye.
Lkn kumbe ni malaya lililokubuhu. Sasa utu gani unaotaka afanyiwe zaidi ya yale anayoyapenda na kuyafanya yeye?
Mkuu kwani mtu akiwa malaya ndio utu wake haupo!!?
Aliye mchukua video kamuharibia sana
 
huyu jamaa wa hii aliyetoa hii bideo hajui janga linaloweza kumkuta maana hapo ni mambo binafsi ya mtu kayaleta katika hadhala.....hata kama ni malaya angalau angethamini utu wake!!
Mwenyewe hajithamini, mchukua video ndio amthamini?!
Hiyo ilikuwa strictly business.
 
Nataka kamalizia kiwanja changu

Sheeeeeenzy yaani jamaa anaomba discount ya dhambi kweli.amenikumbusha pale sudan, nilikuwa nawakopa mpaka mmoja akasema wee kijana starehe nyengine hazikopeshwi yaani unakopa hata ku***a mimi nikamwambia si nina kura ya VETO ila sasa hivi nishatubu
 
Hatukatai ukahaba ni kitu tunachokipinga kwa nguvu zote, lakini huyo mjinga aliye upload hiyo vid kakosea sana tena sana, kuanika mambo binafsi ya mtu.

Mkuu wala husikasirike sana.....watu nowdayz wanapenda kuigiza mambo tu alafu anayaweka hewani ili apete mashabiki....kwani bongo movie hujawai ona picha kama hii nadhan aliigiza jackilne wolper kama sikosei.....na pia sisi madomo zege tunapata ujuzi.....
 
Kulala elfu 40? ? Iyo pesa kubwa Sanaa asee mwambie apunguze bhana hali mbaya uku kitaa
 
Back
Top Bottom