Ukaguzi wa simu unaofanywa na shivacom utakapo huduma ya mpesa

mnozya

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
207
44
Wakuu habari za majukumu?

Leo nimekutana na kali ya mwaka katika duka la Shivacom lilopo Samora Avenue karibu na makutano ya Morogoro road na Samora avenue, wanaopafahamu ni karibu na JJ Restaurant.

Nilikwenda kudeposit hela kwenye MPESA yangu, dada wa kihindi akaniambia lete hiyo handset yako. Nikamuuliza ya nini? Akasema nataka niiangalie kama ya kwako NIKAMWAMBIA hufahamu kuwa hupaswi kukagua simu yangu? Nikamuuliza huoni kuwa unaingilia privacy zangu? Nikamwambia Ok nawasiliana na Vodafone kujua hiyo policy yao kwa undani AKASEMA ni si policy ya vodafone bali ya Shivacom.

Baada ya kumkatalia akaniambia nenda sehemu nyingine.

Nimeandika haya kwa kifupi ili jamii ijue public ijue kuwa ina haki kwa mujibu wa sheria kutoingiliwa haki ya kuwa na usiri kwa mambo binafsi

Aidha nawaomba waandishi wa habari walifanyie utafiti hili ili isaidie kulinda haki na utu wa mteja. Iliniuma maana nilijiuliza watanzania wenzangu wasiojua haki zao za kisheria si wanadhalilishwa na hao wahindi?

Atakayehitaji ushirikiano wangu naomba ani PM

What i know ni kwamba kuna kitu kinaitwa direct deposit yaani wewe uliyeingia kwenye duka la shivacom unataka kumtumia nduguyo pesa huruhusiwi kutoa namba ya nduguyo akatumiwa pesa moja kwa moja na wakala. Unachopaswa kufanya ni ku deposit kwenye simu yako wewe uliyefika pale kwa wakala halafu umtumie huyo ndugu yako.

Ukaguzi si kuangalia nini kilichopo ktk simu, yako unapotuma pesa na kutoa pesa meseji itaingia kwenye simu yako wakala anachofanya kujiridhisha ni kukuomba simu yako ili aone kweli ile sms imeingia kwako?

Kama ulitoa namba ya mtu wa tatu yule wakala ata reverse ile pesa yote irudi kwako na kukushauri u deposit kwako kwanza. ukienda kwa wakala akakubali direct deposit voda wakigundua till inafungiwa. Fraud ni nyingi sana zinazotokana na direct deposit mteja anaweza piga simu voda akasema kaibiwa na wakala.

Kwenye kutoa pesa kuna wizi mkubwa unendelea. so hizo ni mbinu za kujiridhisha kwamba mteja ni yeye aliyepo mbele yako na si mtu nwingine wa tatu, hiki ni kidogo ninachokifahamu.

hata mimi huo mtindo wa vodafone mpesa unaniudhi sana,sihitaji tena kutumia huduma hiyo.wanalazimisha utembee na simu ya vodacom muda wote!TCRA naomba waingilie kati haraka sana ukaguzi huo wa sim card usio rasmi

what i know ni kwamba kuna kitu kinaitwa direct deposit yaani wewe uliyeingia kwenye duka la shivacom unataka kumtumia nduguyo pesa huruhusiwi kutoa namba ya nduguyo akatumiwa pesa moja kwa moja na wakala. Unachopaswa kufanya ni ku deposit kwenye simu yako wewe uliyefika pale kwa wakala halafu umtumie huyo ndugu yako.

Ukaguzi si kuangalia nini kilichopo ktk simu, yako unapotuma pesa na kutoa pesa meseji itaingia kwenye simu yako wakala anachofanya kujiridhisha ni kukuomba simu yako ili aone kweli ile sms imeingia kwako? Km ulitoa namba ya mtu wa tatu yule wakala ata reverse ile pes yote irudi kwako na kukushauri u deposit kwako kwanza.

Ukienda kwa wakala akakubali direct deposit voda wakigundua till inafungiwa. Fraud ni nyingi sana zinazotokana na direct deposit mteja anaweza piga simu voda akasema kaibiwa na wakala. Kwenye kutoa pesa kuna wizi mkubwa unendelea. So hizo ni mbinu za kujiridhisha kwamba mteja ni yeye aliyepo mbele yako na si mtu nwingine wa tatu. Hiki ni kidogo ninachokifahamu.

Mi simu yangu alitaka nimpe hand set approve kama kweli ni simu yangu. Nadhani nimekuwa direct na nimeeleweka

huyo mama/dada wa kihindi kakupenda sasa alitaka akupe simu yake kijanja umtwangie sema tu ww hukuelewa somo....@joke

but pole kwa yaliokukuta

Wakuu habari za majukumu?

Leo nimekutana na kali ya mwaka katika duka la Shivacom lilopo Samora Avenue karibu na makutano ya Morogoro road na Samora avenue, wanaopafahamu ni karibu na JJ Restaurant.

Nilikwenda kudeposit hela kwenye MPESA yangu, dada wa kihindi akaniambia lete hiyo handset yako. Nikamuuliza ya nini? Akasema nataka niiangalie kama ya kwako NIKAMWAMBIA hufahamu kuwa hupaswi kukagua simu yangu? Nikamuuliza huoni kuwa unaingilia privacy zangu? Nikamwambia Ok nawasiliana na Vodafone kujua hiyo policy yao kwa undani AKASEMA ni si policy ya vodafone bali ya Shivacom.

Baada ya kumkatalia akaniambia nenda sehemu nyingine.

Nimeandika haya kwa kifupi ili jamii ijue public ijue kuwa ina haki kwa mujibu wa sheria kutoingiliwa haki ya kuwa na usiri kwa mambo binafsi

Aidha nawaomba waandishi wa habari walifanyie utafiti hili ili isaidie kulinda haki na utu wa mteja. Iliniuma maana nilijiuliza watanzania wenzangu wasiojua haki zao za kisheria si wanadhalilishwa na hao wahindi?

Atakayehitaji ushirikiano wangu naomba ani PM

Lazima wa verify kama kweli ni simu yako, kuna tatizo lipi hapo. Hujasikia wizi na utapeli wa Mpesa kwenye masimu?

Kwani walikuambia wanataka kusoma meseji zako? au walikwambia wanataka kuona namba zako za simu?

Kila simu ina identification kuanzia kiwandani ilipotengenezwa, sasa kwa nini iliwekwa hiyo?

Mambvo mengine msiyachukulie kijuujuu tu, siku hizi kuna wizi aina nyingi na alivyofanya ni sawasawa, kama umeona unaonewa nenda kwingine mbona mawakala ni wengi tu?

what i know ni kwamba kuna kitu kinaitwa direct deposit yaani wewe uliyeingia kwenye duka la shivacom unataka kumtumia nduguyo pesa huruhusiwi kutoa namba ya nduguyo akatumiwa pesa moja kwa moja na wakala. unachopaswa kufanya ni ku deposit kwenye simu yako wewe uliyefika pale kwa wakala halafu umtumie huyo ndugu yako.

Ukaguzi si kuangalia nini kilichopo ktk simu, yako unapotuma pesa na kutoa pesa meseji itaingia kwenye simu yako wakala anachofanya kujiridhisha ni kukuomba simu yako ili aone kweli ile sms imeingia kwako?

Km ulitoa namba ya mtu wa tatu yule wakala ata reverse ile pes yote irudi kwako na kukushauri u deposit kwako kwanza. ukienda kwa wakala akakubali direct deposit voda wakigundua till inafungiwa. Fraud ni nyingi sana zinazotokana na direct deposit mteja anaweza piga simu voda akasema kaibiwa na wakala.

Kwenye kutoa pesa kuna wizi mkubwa unendelea. so hizo ni mbinu za kujiridhisha kwamba mteja ni yeye aliyepo mbele yako na si mtu nwingine wa tatu. hiki ni kidogo ninachokifahamu.

Hiyo ni kweli kabisa hata mimi nimeshafanyiwa na ni kitu cha kawaida kabisa.

hata mimi huo mtindo wa vodafone mpesa unaniudhi sana,sihitaji tena kutumia huduma hiyo.wanalazimisha utembee na simu ya vodacom muda wote!TCRA naomba waingilie kati haraka sana ukaguzi huo wa sim card usio rasmi

Kuna wizi umeingia kama alivyoueleza chimunguru post #3, voda wanafanya hivyo kukulinda wewe na wateja wengine kutokana na utapeli ulioingia kutokana na simu.

Kwa kifupi dada alitaka kuthibitisha kama namba uliyotoa niya kwako au unamtumia ndugu yako via wakala kitu ambacho hakiruusiwi.
Mimi kwa mazingira yangu ni jambo la kawaida nimelizoea labda wewe huo utaratibu umekuwa mgeni kwako. Lengo lao kuu nikuepusha usumbufu kama kutatokea usumbufu wa aina yoyote ile

Hilo balaa nilishakutana nalo hapo hapo samora kwa huyo mdada wa kidosi mwembamba hivi... Mbaya zaidi unaanza kujieleza kwa wale walinzi wao wenye magwanda yakupauka.. Niliondoka bila kinga nikaenda pale kwenye container oposite na exim bank

Kwa kifupi dada alitaka kuthibitisha kama namba uliyotoa niya kwako au unamtumia ndugu yako via wakala kitu ambacho hakiruusiwi.
Lengo lao kuu nikuepusha usumbufu kama kutatokea usumbufu wa aina yoyote ile

Ukweli ni kwamba direct deposit inapunguza faida kwa voda kwani kumtumia mtu pesa kwa kutumia simu yako unakatwa mia mbili na yeye wakati wa kutoa atakatwa pesa kulingana na kiwango anachotoa! kwa maoni yangu kuwe na deposit charge!

Sure,ni swala la kibiashara zaidi kuliko usalama kwa wateja,direct deposit inapunguza Transactional fee!!

Chukua taimu huko!!

Usiogope,ni suala la kibiashara tu kumbuka nao wapo pale kwa faida ukimwekea mtu direct hupunguza faida.Mlichoshindwa kuelewana ni lugha tu nia yake alitaka kuproove kama wewe kweli ni owner wa hiyo simcard,period.

What i know ni kwamba kuna kitu kinaitwa direct deposit yaani wewe uliyeingia kwenye duka la shivacom unataka kumtumia nduguyo pesa huruhusiwi kutoa namba ya nduguyo akatumiwa pesa moja kwa moja na wakala. Unachopaswa kufanya ni ku deposit kwenye simu yako wewe uliyefika pale kwa wakala halafu umtumie huyo ndugu yako.

Ukaguzi si kuangalia nini kilichopo ktk simu, yako unapotuma pesa na kutoa pesa meseji itaingia kwenye simu yako wakala anachofanya kujiridhisha ni kukuomba simu yako ili aone kweli ile sms imeingia kwako?

Kama ulitoa namba ya mtu wa tatu yule wakala ata reverse ile pesa yote irudi kwako na kukushauri u deposit kwako kwanza. ukienda kwa wakala akakubali direct deposit voda wakigundua till inafungiwa. Fraud ni nyingi sana zinazotokana na direct deposit mteja anaweza piga simu voda akasema kaibiwa na wakala.

Kwenye kutoa pesa kuna wizi mkubwa unendelea. so hizo ni mbinu za kujiridhisha kwamba mteja ni yeye aliyepo mbele yako na si mtu nwingine wa tatu, hiki ni kidogo ninachokifahamu.

Kuna wakati msg inachelewa kufika kwa recepient je itabidi asubiri hadi msg itkapoingia ili mhindi ajiridhishe hata kama ni masaa mawili? Nadhani ni vizuri kuomba kitambulisho cha anaye deposit pesa siyo simu yake

Kuna wizi umeingia kama alivyoueleza chimunguru post #3, voda wanafanya hivyo kukulinda wewe na wateja wengine kutokana na utapeli ulioingia kutokana na simu.

kwelı kabısa FF

Lazima wa verify kama kweli ni simu yako, kuna tatizo lipi hapo. Hujasikia wizi na utapeli wa Mpesa kwenye masimu?

Kwani walikuambia wanataka kusoma meseji zako? au walikwambia wanataka kuona namba zako za simu?

Kila simu ina identification kuanzia kiwandani ilipotengenezwa, sasa kwa nini iliwekwa hiyo?

Mambvo mengine msiyachukulie kijuujuu tu, siku hizi kuna wizi aina nyingi na alivyofanya ni sawasawa, kama umeona unaonewa nenda kwingine mbona mawakala ni wengi tu?

Hiyo ni kweli kabisa hata mimi nimeshafanyiwa na ni kitu cha kawaida kabisa.

Kwa kifupi dada alitaka kuthibitisha kama namba uliyotoa niya kwako au unamtumia ndugu yako via wakala kitu ambacho hakiruusiwi.
Mimi kwa mazingira yangu ni jambo la kawaida nimelizoea labda wewe huo utaratibu umekuwa mgeni kwako. Lengo lao kuu nikuepusha usumbufu kama kutatokea usumbufu wa aina yoyote ile

Wakuu si kuna vitambulisho kwa nini wasicheki hivyo?Kwa mfano wakati unataka kutoa pesa mbona wanacheki kitambulisho why not wakati wa kuweka? I suppose watu hutumia vitambulisho kutengenezewa hizo account za mpesa kwa hiyo no way majina yanaweza kusigana.Tumieni vichwa kufikiri!! Kupekua simu za watu ni kuingilia privacy period!

hata mimi huo mtindo wa vodafone mpesa unaniudhi sana,sihitaji tena kutumia huduma hiyo.wanalazimisha utembee na simu ya vodacom muda wote!TCRA naomba waingilie kati haraka sana ukaguzi huo wa sim card usio rasmi

Well said.Soon you'll have to drop your id as it'll no longer be representing your character!Big up Mkuu,baelezee.Kwa hiyo kama mtu ameisahau simu yake nyumbani (majority ya watu wa mijini wana simu zaidi ya moja)asipate huduma?

Nachojua ni kwamba alitakiwa aombe kitambulisho, then amwambie mteja mapema kwamba pesa hazitumwi kwa third party moja kwa moja kutoka kwa agent. Wakikubaliana hapo ndo transaction inakuwa initiated na agent.
Msg ambayo agent ataipata baada ya transaction pia inatosha ku-verify pesa zimekwenda kwa nani.

Back
Top Bottom