Ukabila ktk mapenzi

You lizzy lazima utakuwa among them the chagaz,, me ni thumu uko bora nikae na wasukuma wenzangu

Hilo nililiweka wazi kwenye post yangu ya kwanza. . .wala sio siri!!!

Alafu kama ni sumu ushauri unaomba wa kazi gani? Wachagga umewaweka kwenye list ili iweje? Au hii ni zile mada zenye malengo ya kusambaza uzushi tu na sio zaidi?
 
Hakuna uzushi lizzy, I had one chaga mwenye sir name la swai I used to love her so much at the time nikiwa chuo nikitegemea ela ya bodi bt alichokifanya for me iz wat made me to put the chagaz ktk list yangu ila to be honest nilimpenda before cjampata huyu mnyakyusa
 
Makabila ni vibandiko ambavyo mwanadamu amejiwekea ili kutofautisha baina ya watu wa sehemu moja na nyingine na kwa bahati mbaya vinasababisha kuibuka kwa dhana za kibaguzi.
Maamuzi mazito kama ya kuoa/kuolewa yanahitaji kutilia maanani mambo mengi zaidi ya kuangalia vibandiko,vinginevyo utafanya maamuzi ambayo si sahihi kutokana na kuiogopa hiyo familia yako na mwisho wa siku ni wewe utakayeishi na huyo mke on day to day basis na wala sio familia yako.
 
Kwahiyo sasa ushauri unaotaka hapa kuhusiana na Wachagga ni upi haswa?
 
Suala la kuchagua mke ni very wide coz ukikosea hapo ndo umeharibu ua life forever ingawa utakuwa umependa kwa dhati so take it into consideration pliiiz,,

najua hilo ila kama umepata mtu na ukaona mnaelewana vizuri iweje tena uanze kufikiria habari za makabila? Kuna watu wanajijua ni wa makabila flani lakini hajui mila wala tamaduni zake, wazazi walishaloea sehemu zingine na mazingira mapya aliyokulia yalishambadilisha kwa kiasi kikubwa; kwa case hiyo ukabila bado utakuwa na nafasi?
 
Makabila ni vibandiko ambavyo mwanadamu amejiwekea ili kutofautisha baina ya watu wa sehemu moja na nyingine na kwa bahati mbaya vinasababisha kuibuka kwa dhana za kibaguzi.
Maamuzi mazito kama ya kuoa/kuolewa yanahitaji kutilia maanani mambo mengi zaidi ya kuangalia vibandiko,vinginevyo utafanya maamuzi ambayo si sahihi kutokana na kuiogopa hiyo familia yako na mwisho wa siku ni wewe utakayeishi na huyo mke on day to day basis na wala sio familia yako.

Thank for that bt kumbuka makabila ndo utamaduni ambao mtu analelewa nao so mtu anakuwa kitabia kutokana na mazingira yanayomzunguka, nadhan kwa nam moja au nyingne kabila la mtu linachangia kumshape behavior
 
Mambo ya mapenzi hata siku moja usiwe na akili za kushikiwa..Fuata msimamo wako....
 
Thank for that bt kumbuka makabila ndo utamaduni ambao mtu analelewa nao so mtu anakuwa kitabia kutokana na mazingira yanayomzunguka, nadhan kwa nam moja au nyingne kabila la mtu linachangia kumshape behavior

Ndio maana sijataka kukupa jibu ni kabila lipi baya au bora zaidi ya lingine nikitambua kwamba mpaka umefikia hatua ya kutaka kuoa basi una uwezo wa kuchanganua mambo na kujua kipi kinakufaa na kipi hakikufai.
Maoni niliyokupa ni kama angalizo la kukusaidia tu.Jambo la msingi ni kwa wewe kujiuliza kama utaweza kuendana na utu na tabia binafsi za yule unayetaka kumuoa au la.Ukitumia kabila kama sifa kuu ya kufanya maamuzi utaishia kuridhika/kuridhisha wengine na chaguo la kabila halafu usiridhike na chaguo lako la mke.
 
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua utafutaji kujishugulisha kiuchumi,,, wat can I do!!! Coz am in love wit one among them

If you are waiting for your family's consent of who to fall in love with, then you are not yet ready for a relationship. Think of what is important to you then make a mature decision. Listen if learn to accept yourself then others will learn to accept you, it is your choice not theirs

Don't let your family's insecurities come between you and your happiness.

Love is an experience to go through it to apriciate it
 
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua utafutaji kujishugulisha kiuchumi,,, wat can I do!!! Coz am in love wit one among them

Tatizo lako kuwa muwazi na kuanza kutaja makabila! Ama kwangu mimi Wazee huenda wakawa na busara hao1 Huku kwetu kusiko na chgas, nyakusa, Waha na wengine mara nyingi vijana hupigika kwa kukaidi ushauri kama huo!
 
Hivi ni lini watu mtaelewa kuwa hata ndani ya kabila kuna magroup yanayotofautiana??
Unaposema mchaga jua kuna wa Marangu, Machame, Rombo, Old Moshi nk nk hayo makundi yote yanatofauti sana tabia bila kusahau koo za makabila hayo, pia ukija kwa wanyakyusa mambo ni hayo kuna wa Rungwe Mashariki, Rungwe Magharibi na Kyela na huko nako vivyo hvyo utofauti unaanzia kwenye hayo maeneo mpaka koo zao.
Jamani tatizo halipo kwenye kabila, dini wala rangi ya mtu au jinsia yake tatizo ni "UTATA WA BINADAMU" unaotokana na uasilia wake tu ndio maana hzo formular za kibinadamu za kutuelezea au kutujudge huwa zinashindwa kwa baadhi ya watu na maeneo hvyo inaondoa uhalali wa kutumika kama kanuni mjumuisho ya kuelezea UTU!
 
[h=2][/h]
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua utafutaji kujishugulisha kiuchumi,,, wat can I do!!! Coz am in love wit one among them

which tribe have you fallen 4 so far?
You said one of them.....................which is it?
 
He!!! kwani huyo mke wanaenda kuishi nao wao au wewe!! makabila mengine bwana! na kwa taarifa yako badilisha eti ka saabu ya ukabila uone utakavyojuta maisha yako yote.
 
Mi nadhani bado hujafikia wakati wa kutaka kuona yaani kifupi hujakuwa kwani bado unaamuliwa maamuzi yako....pole ila achana na hayo mawazo ya makabila...mi mchaga ndi maana nimekwazika...lol
 
Back
Top Bottom