UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

kwa udhaifu wa mkuu wa kaya na kwa kupenda kwake kuwafurahisha mabwana wakubwa si ajabu atakubali na ataweka kwenye mchakato wa katiba, kama hii ikitokea naanza utaratibu wa kuhama nchi!
 
Ndio tukome manake tunawategemea wazungu kwa kila kitu. Sasa tuukaribishe ushoga vijana wetu wahemewe!! Aibu gani hii. Wazungu wanatakiwa waheshimu mila na tamaduni za wenzao waaafrika siyo kulazimisha waafrika kufuata mila zao hizo za kishenzi. Wakati wa ukoloni walitunyonya wakawa matajiri na sasa wanatumia utajiri wetu kutuletea utamaduni wao huo wa kuoana wao kwa wao!!

Jamani kuuliza si ujinga: Hivi si nasikia ufalme wa Uingereza ndio unaongoza kanisa la anglikana ina maana na kanisa linabariki ushenzi huu?
 
kwa udhaifu wa mkuu wa kaya na kwa kupenda kwake kuwafurahisha mabwana wakubwa si ajabu atakubali na ataweka kwenye mchakato wa katiba, kama hii ikitokea naanza utaratibu wa kuhama nchi!

Mkuu mimi sitafanya utaratibu bali nitaitelekeza nchi na kwenda kusikojulikana manake ukienda Ulaya haya mambo ndio kwao!!
 
Nafikiri kina ritz, Rejao, mzee, Topical watafurahi sana maana huwa wanapenda kuzungumza habari zake mambo ya kushikishwa ukuta ya kina Nape..
 
MAdini wanchukua, na bado wanaeneza sumu ya USHOGA,jamani Tanzania ni nchi huru na sidhani kama hii misaada mbuzi kutoka uingereza inaweza kutudhuru kama tukikataa.huu.ujinga
 
Heri umasikini wa mali kuliko umasikini wa fikra....Misaada inatusababishia utumwa!
 
ni vizuri tukapata chanzo cha mwanzo wa mtindo huo wa maisha na tusiishie hapo tu tuingie kwenye utafiti wake ili tupate jibu kwani kutoa maoni hasi au chanya kuhusiana na ushoga ina bidi uwe na taarifa, elimu ya kutosha kuhusina na swala hilo.
 
Uk imeitaka Tanzania itambue haki za Mashoga........au watasitisha misaada yao na hasa tukizangatia kuwa Uingereza ndio mchangiaji mkubwa wa
bajeti yetu
source BBC.
Nawasilisha...
 
Dunia sasa inaelekea ukingoni kabisaa na shetani anazidi kutamalaki!!!

Kwa nchi zilizoendelea kama Uingereza ingefaa ziwe mstari wa mbele kujua tatizo hili la ushoga linasababishwa na nini na kwa nini linazidi kuongezeka na hivyo kuhamasisha njia na mikakati ya kuliondoa lakini kinachofanyika ni kinyume chake kabisa-wanalipalilia ili lizidi kuongezeka!!!

Lakini pia kwa Viongozi wajasiri (kama wapo) wa nchi za
dunia ya tatu wanaweza kuzuia hii kitu endapo watakuwa na msimamo mmoja wa kukataa hilo sharti la ushoga kwenye misaada. Vinginevyo hiyo ni njia nzuri ya kuwafanya Viongozi wenye VIHEREHERE vya kwenda Nchi za watu kila kukicha kuombaomba badala ya kusugua ubongo/kutumia akili zao kuziletea maendeleo nchi wanazoziongoza.

Tena ingependeza, ili nchi ipate msaada huo, basi Rais/Kiongozi wake ndo anaanza 'kushikishwa ukuta' kwanza. So kwa upande mwingine ni kama Uingereza anatustua kuwa tuanze kutumia rasilimali zetu kwa manufaa yetu, tusitegemee vya bure kwani BURE NI AGHALI!! Akili kumkichwa.
 
Back
Top Bottom