UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

Hata ukisikia UKOLONI MAMBO LEO,AU UKUWADI WA UTANDAWAZI,naamini kwa hili MEMBE ATASIMAMA KIDETE KUPINGA UFEDHULI HUU!!!
 
Utawala wa shetani unazidi kuimarishwa kwa njia mbalimbali tuikumbuke SODOMA NA GOMORA iliangamizwa kwa sababu hiyo . sasa sijui sisi ni nini kitatukuta. Kwa ufupi tumuombe sana mola wetu , na tufanyekazi kwa bidii na tuache kuendekeza vya bure maana vinaponza.
 
Nchi zote za Africa zingepaswa kuprotest kwa kutangaza kujitoa kwenye common wealth tuone jeuri ya uingereza, bahati mbaya kidume mmoja tu ndiye anaweza kufanya hivyo - Bob M.
 
Tunapaswa kuogopa hasira za Mungu katika hili...Hii misaada inakuja na masharti magumu mno yenye kutudhalilisha mbele ya watoto wetu na jamii kwa ujumla.
 
PERTH, Australia UINGEREZA imetoa shinikizo la kutambua haki za mashoga kwa nchi zinazoendelea na kutishia kusitisha misaada yake kwa nchi zinazokiuka agizo hilo. Waziri Mkuu David Cameron amesema Uingereza ina mpango ya kusitisha misaada yake kwa nchi ambazo sheria zake hazitambui ndoa za jinsia moja na mashoga.

"Nimeshawajulisha baadhi ya wakuu wa nchi kuhusu suala hilo kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Perth, Australia," alisema Cameron kupitia BBC.Nchi 41 kati ya nchi 54 wanachama wa Jumuiya ya Madola, zina sheria zinazopinga ndoa za jinsia moja.

Suala la haki za binadamu ni moja ya agenda ambazo viongozi kadhaa walishindwa kuafikiana katika mkutano huo ambao rais Kikwete pia alihudhuria. Cameron alisema: "Tunasema hii ni moja ya vitu vinavyoongoza sera yetu ya misaada kwa mataifa mbalimbali na tayari tumeanza kuitekeleza katika maeneo kadhaa," alisema.

Aliendelea: "Nchi zote zinazopata misaada kutoka kwetu (Uingereza), zinapaswa kukubaliana kikamilifu na sera hii ya haki za binadamu," alisema. Cameron alisema ameshazungumza na nchi mbalimbali za Afrika kuhusu suala hilo na utekelezaji wake utafanywa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo, William Hague.
Kukomesha vizuizi vya ndoa ya jinsia moja, ilikuwa moja ya mapendekezo yaliyomo katika ripoti ya ndani ya matarajio ya baadaye ya Jumuiya za Madola. Katika mkakati huo, Uingereza imetishia kusitisha sehemu ya misaada ya bajeti kuu kwa nchi zisizokubaliana na msimamo huo lakini imeahidi kwamba haitaondoa bajeti yote.

Nchi ya Malawi imeshaathirika na mpango huo wa Uingereza kwa sehemu ya misaada yake kusitishwa kutokana na misimamo yake kuhusu haki za mashoga. Nchi ambazo huenda zikafuatia hivi karibuni ni Uganda na Ghana. Cameron ameieleza BBC kuwa nchi zinazopokea misaada kutoka Uingereza zinapaswa kuachana na sheria kandamizi. Lakini akaeleza kuwa ingawa sio rahisi nchi kubadilika ghafla, ni bora zikaanza sasa mchakato wa mabadiliko hayo kuliko kuendelea kubweteka.

"Hili ni suala ambalo tunaendelea kulisukuma ili lifanikiwe na tumejiandaa kuwekeza hela pia katika kuhakikisha tunafanikiwa lakini ninashaka kwamba hatuwezi kutegemea mabadiliko hayo kuja mara moja," alisema. Mjadala mzito ulioibuka katika bunge la Uganda mwaka 2009 kuhusu ndoa za mashoga, ni sehemu ya utekelezaji wa sera hiyo ya Uingereza.

Mwaka huu mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga nchini Uganda David Kato alipigwa hadi kifo kutokana na kuongoza kampeni hizo. Bunge la Nigeria sasa linaendelea kujadili Muswada wa kuzuia ndoa ya jinsia moja ikiwamo kuweka adhabu kali kwa watu wanaosadia au kuhamishwa kufungwa kwa ndoa hiyo.
 
Uganda fury at David Cameron aid threat over gay rights

_56355540_56355526.jpg

Human rights should be respected, David Cameron says

The UK is showing a "bullying mentality" by threatening to cut aid to countries where homosexuality is illegal, a Ugandan official says. UK Prime Minister David Cameron said at the weekend that those receiving British aid should respect gay rights.

But Ugandan presidential adviser John Nagenda told the BBC Ugandans were "tired of these lectures" and should not be treated like "children". Homosexual acts are illegal in Uganda and most other African countries. Many people see it as violating religious and cultural beliefs.

In Nigeria, the government has unveiled a draft law which makes it an offence for anyone to support gay marriages. Mr Cameron told the BBC he had raised the issue of gay rights at the Commonwealth Heads of Government Meeting, in Perth, Australia, last week.

'Natural death' Mr Cameron said those receiving UK aid should "adhere to proper human rights".
Ending the bans on homosexuality was one of the recommendations of an internal report into the future relevance of the Commonwealth.

Continue reading the main story "Start Quote

Those who have more should give to those who have less. It's as simple as that"
End Quote John Nagenda Ugandan presidential adviser Mr Nagenda accused Mr Cameron of showing an "ex-colonial mentality" and of treating Ugandans "like children".

"Uganda is, if you remember, a sovereign state and we are tired of being given these lectures by people," he told the BBC's Newshour programme. "If they must take their money, so be it."
Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country.

Malawi has already had some of its budget support suspended over concerns about its attitude to gay rights. Mr Nagenda said the UK's "bullying mentality" was "very wrong". "Those who have more should give to those who have less. It's as simple as that," he said. Mr Nagenda said he doubted that the Ugandan parliament would ever approve a bill which proposed the death penalty for some homosexual acts.

"I believe it will die a natural death. But this kind of ex-colonial mentality of saying: 'You do this or I withdraw my aid' will definitely make people extremely uncomfortable with being treated like children," Mr Nagenda said. The bill - tabled by MP David Bahati - sparked widespread international condemnation earlier this year.

Meanwhile, a Senate committee in Nigeria is holding public hearings into a proposed new law on same sex marriages. Homosexual acts and gay marriages are already illegal in Nigeria but the draft law would also punish those who aid or abet such marriages, reports say.

Mr Cameron said he had spoken with "a number of African countries" and that more pressure had been applied by Foreign Secretary William Hague, who deputised for him during parts of the Commonwealth summit. Some 41 nations within the 54-member Commonwealth have laws banning homosexual acts.

Many of these laws are a legacy of British rule.
 
Dah! Hata kulawiti imeshakuwa ni haki ya binadamu!!!!! Si ajabu miaka michache ijayo kutakuwa na "haki za binadamu" pia za wanaotaka kujamiiana na watoto/wanyama. Msitushinikize kuukubali uhayawani ambao unaruhusiwa katika nchi zenu.
 
unajua hawa jamaa wameishiwa kwahiyo wanatafuta pa kupunguzia garama na wanajua kalcha yetu

kuna siku tutaambiwa tutambue haki za wanga, kwani kuwanga walipangiwa na mungu

fooking hell
 
Dah! Hata kulawiti imeshakuwa ni haki ya binadamu!!!!! Si ajabu miaka michache ijayo kutakuwa na "haki za binadamu" pia za wanaotaka kujamiiana na watoto/wanyama. Msitushinikize kuukubali uhayawani ambao unaruhusiwa katika nchi zenu.
BAK hujasikia society moja ya wamarekani inatumia ammendment (13 au 14 kama sikosei) iliyotumika kudai haki za Negros kudai wale sharks wa kwenye aquariums wapewe uhuru wa kurudi baharini??

Insult zilezile
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani mimi katika vitu vinavyosumbua akili yangu ni hii habari ya mashoga na 'gay rights'

Kwa sasa niko kwenye mji wa San Diego, California. Kila unapoenda hawa watu wamejaa, ndio wanaofanya kazi kwenye mabenki, mahoteli na kila mahali, kiasi kwamba unaweza kudhani kuwa idadi yao ni kubwa kuliko watu wa kawaida...tena na hivi leo ni ile sikukuu ya Halloween basi wamevaa vitu vya ajabu huko mjini.

Kama vipi tuachane na hizi nchi za Ulaya tuambatane na China, after all it is said, " The last decade was a decade of 'Made in China'" the next decade will be one of 'Bought by China'
 
usishangae sana bak,hiyo ni mipango ambayo ilishapangwa tangu mda sana na mda huu ndo wanaangaika kuitimiliza kwa mda mchache uliobaki ndo maana ukifikilia sana utagundua kua si kitu cha kawaida wanaume kuoana bali ni upumbavu na udhalilishaji thats why kuna wanawake na hiyo ni laana cse hata mvua inaweza isinyeshe tena na uskute hata huyo waziri mkuu wa uingeleza nae pia shoga.
 
niukweli usiopingika tatizo la mashoga kubwa kuliko tunavyofikri kuna watu wengi sana wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja haijalishi ameoa au la..na mbaya zaidi wengine wanafamilia na wanafanya kazi nzuri sana lakini wanafanya kwa siri kubwa sana..sasa sijui tufanyaje?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Waziri mkuu wa Uingereza amesema kwamba imefika wakati nchi zinazoendelea (afrika) zinapaswa zikubali na kutambua NDOA ZA JINSIA 1,amesema hayo kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola huko Australia,bwana mkubwa huyo amesema vingnevyo Uingereza itakata misaada!
SWALI:jaman,umaskin wetu ndiyo unatufanya tuwe watumwa kias hiki?
 
BAK hujasikia society moja ya wamarekani inatumia ammendment (13 au 14 kama sikosei) iliyotumika kudai haki za Negros kudai wale sharks wa kwenye aquariums wapewe uhuru wa kurudi baharini??

Insult zilezile

hello: bado kidogo majambazi, wauwaji wa albino wataanza kutetewa kwa kisingizio cha haki za binadamu. suluhisho hapa ni watanzania wote pamoja naviongozi wa nchi kuwa fikra za kujitegemea badala ya kuwa na utamaduni wa kuombaomba.
 
Malcom X aliwasema hivi 'WHITES ARE EVILS' then hapa kuna ukweli ndani yake.Wako tayari kushinikiza watu wa mataifa mengine kufuata dhambi zao wanazofanya.

Lakini pia Afrika au waafrika inabidi mjue kuwa ata siku moja hatujawai kuwa huru na awa tunaowaita viongozi wetu ni kwamba tunawachagua tu kutuwakirisha kwa wazungu then these are just agents and stakeholders of Imperialism.

Ukiangalia mfumo mzima wa CW Afrika hiko chini ya Waingereza lakini ni itikadi iliyo anza zamani wakati CW inaanza aliyewai kuwa PM wa Uingereza Benjamin Disrael alisema hivi 'a worth-while imperialist policy for Britain would accomplish two things: expansion of the empire and integration of its parts into a single organisation and integrating the self-governing colonies and the mother country.

Je viongozi wetu hawajui hayo au kwasababu they have no way out. Kuna kitu haka za binadam ... ambazo wao wanataka kulazimisha kuwa HR should be Universal bila kujari Cultural diversity zilizopo hapa Duniani.

Siamini kama kweli haki hizo lazima ziwe agaist the ways of live of some societies.
 
Mugabe ameweza kukataa suala ushoga,nafikiria na najiuliza itakuaje hapa nyumbani?
 
U.K are just gays,sasa wakati wanafikiria kukata misaada sisi tufikirie jinsi ya kutumia resources zetu ili kucover hilo eneo au kuachana na misaada yao
 
misaada itatumaliza,mda si mrefu Tanzania tutalazimishwa kutembea uchi na familia zetu kulazimishwa kufanya ngono na wanyama na tukikataa misaada itakatwa

hii ni hatari sana kwa utamaduni,mila na desturi za nchi yetu

tumekuwa ni nchi ya misaada sana kwa hiyo hawa jamaa wanatuletea hata mambo tusiyo yahitaji

kwa nini tusitumia mali asili zetu vyema na tukaepuka misaada ya suti?

Jamani tuwaangalie china,no face book,no youtube,na maisha yanakwenda hakuna nchi iliiambia china kuwa kwa kuwa watu wako hawaruhusiwi kuona mitandao ya facebook na youtube basi hatukupi msaada,wenzetu wanatumia rasilimali walizonazo vyema na wanadhamini vyao zaidi

sasa tutalazimishwa kula hata mavi kwa aili ya misaada
 
Back
Top Bottom