UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
We'll cut your aid if you persecute gays, Britain warns African nations

By Simon Walters

Last updated at 11:44 PM on 8th October 2011

Poor African countries which persecute homosexuals will have their aid slashed by the Government in a bid by David Cameron to take his gay rights crusade to the Third World. International Development Secretary Andrew Mitchell has already cut aid to Malawi by £19 million after two gay men were sentenced to 14 years hard labour.

And he has warned the country's leaders to scrap plans to introduce draconian new anti-lesbian laws.


article-2046965-0E4B1EB400000578-791_634x362.jpg

Defiant: Malawi's President Bingu wa Mutharika waves to supporters


Mr Mitchell, one of Mr Cameron's closest allies, is also threatening to impose further aid 'fines' against Uganda and Ghana for hardline anti-gay and lesbian measures. The policy was disclosed after Mr Cameron defended his decision to legalise gay weddings when he addressed last week's Conservative Party conference.

Now he wants to persuade those countries where homosexuality is still taboo to follow his lead – and he is ready to reduce aid to some of the world's poorest people to do so. The cut in aid to Malawi came after two gay men were convicted last year under the country's rigidly imposed ban on homosexuality.

Pop stars Elton John and Madonna joined an international outcry when Tiwonge Chimbalanga, 26, and Steven Monjeza, 20, received a 14-year sentence for getting engaged.


article-2046965-0D2C058700000578-172_306x431.jpg

Aid: Andrew Mitchell meeting Rwandan president Paul Kagame

A judge in Malawi told them: 'I will give you a scaring sentence so that the public will be protected from people like you, so that we
are not tempted to emulate this horrendous example. Malawi is not ready to see its sons getting married to its sons
.'

The British Government described their jailing as 'shocking and disturbing'. The two men were later freed, but Malawi's defiant President Bingu wa Mutharika went ahead with new anti-lesbian laws, prompting a sharp rebuke from Mr Mitchell.

It is not the first time Britain has punished President Mutharika. The Labour Government reduced aid to Malawi by £3 million after he spent £8 million on a presidential jet. However, Malawi has still received more than £200 million from Britain in the past three years.

Uganda faces the threat of an aid 'fine' by the UK unless it abandons plans to extend the death penalty to homosexuality.

Three weeks ago, Mr Mitchell protested to Uganda's President Yoweri Museveni, who has claimed 'European homosexuals are recruiting in Africa' and who believes gay relationships are 'against God's will'.

Uganda is due to receive £70 million from British taxpayers in 2011. During a visit to Ghana earlier this year, Stephen O'Brien – Mr Mitchell's deputy – told President John Evans Atta Mills that Britain would cut its aid unless he stopped persecuting gays.


article-2046965-0E4B1EB000000578-547_634x199.jpg


However, it appeared to have little effect, even though Ghana gets £36 million a year from the UK, as weeks later the president vowed to 'institute measures to check the menace of homosexuality and lesbianism'. And one of his regional ministers called for the 'immediate arrest of all homosexuals'.

A spokesman for Mr Mitchell said: 'The Government is committed to combating violence and discrimination against lesbian, gay, bisexual and transgender people in all circumstances, in this country and abroad. We take action where we have concerns.

'We now allocate funds every three months, rather than every year, so that we can review a country's performance, for example on human rights, and take swift action when governments fall short. We only provide aid directly to governments when we are satisfied that they share our commitments to reduce poverty and respect human rights.'

Mail Online

Jamaa wanaendelea kutubinya pabaya shauri ya kuendekeza 'misaada'
 
Waacheni watu na raga zao ,,,,si wanapumuliana wenyewe? Waacheni wapumuliane sisi tuongezewe mamisaada
 
Jamani............ Hivi tukivunja uhusiano na wazungu tutakufa nchi nzima?
Tuwafukuze kwenye madini na sehemu zote nyeti......
Wacha tufe kwa kukosa dawa na chakula, lakini baadhi watapona na kuokoa kizazi kijacho.
Phuck wazungu na mama zao.
Siwapendi kabisaaaa
 
Ikipigwa Ulaya Vilalahoi sie twacheza tu hata kama ni ngoma ya kutukana Africa na Uafrica wetu

Haki za binadamu bwana, lol..........................
 
Waacheni watu na raga zao ,,,,si wanapumuliana wenyewe? Waacheni wapumuliane sisi tuongezewe mamisaada

Hili suala la ushoga ni la kulikemea kwa nguvu zetu zote.

Kama wewe unaamini kwamba kuna MUNGU na unafata mafundisho yake basi naamini kabisa kuwa hutochekelea kwa sababu ya misaada yao dhalili.

Kumbuka kwamba hapa duniani ni mapito tuu..achana na tamaa za dunia ama kwa hakika zinapita kama upepo.
 
Misaada ilitupönza, inatupönza na itazidi kutuponza.

Hivi bila hawa wazungu hatuwezi kuishi, ina maana rasilimali tulizonazo hazitutoshi hadh tukubali kunyanyaswa na haya manyang'au?.

Hakiki tumelaaniwa!
 
Kujikomboa kutoka ktk ukoloni huu, ni pale tu viongozi wa afrika watakapo ungana pamoja na kukataa mfumo mzima wa mabeberu. Nchi moja moja hatutaweza maana kutakuwa na YUDA wa kusaliti. Lakini nchi zote za afrika zikiamua kwa mkupuo mmoja tutawashinda mabeberu maana hawataweza kudhadili Yudas wengi kwa mkupuo.

After all, tuna hitaji chakula tu kitu tunachoweza kulima na kupata tukitaka, tunahitaji mavazi tunaweza kutengeneza. Hivi nini cha ziada mabeberu wanawatisha viongozi wa afrika na kufuata wanavyotaka? Kwa kweli mie sielewi.
 
African countries which persecute gays will have their aid cut, International Development Secretary Andrew Mitchell has said.

Mr Michael was quoted by the Britain’s Mail on Sunday saying that already his country has cut aid to Malawi by £19million after two gay men were sentenced to 14 years hard labour.

Mr Mitchell, one of Mr Cameron’s closest allies, is also threatening to impose further aid 'fines’ against Uganda and Ghana for hardline anti-gay and lesbian measures.

The policy was disclosed after Mr Cameron defended his decision to legalise gay weddings when he addressed last week’s Conservative Party Conference.

It also comes at a time when the divorce of Kenya gay couple in London, Charles Ng’ang’a Wacera and his civil partner, Daniel Chege Gichia were said to be seeking divorce, two years after their internationally debated wedding.

Mr Wacera had told the Nation in an interview last week that the reason why his marriage to Gichia broke down was a campaign of negative publicity by media houses back home in Kenya and in social forums.

The cut in aid to Malawi came after two gay men were convicted last year under the country’s rigidly imposed ban on homosexuality



Pop stars Elton John and Madonna joined an international outcry when Tiwonge Chimbalanga, 26, and Steven Monjeza, 20, received a 14-year sentence for getting engaged.

But a Judge in Malawi was quoted saying in his judgement: “'Malawi is not ready to see its sons getting married to its sons.”
 
...Hivi nini cha ziada mabeberu wanawatisha viongozi wa afrika na kufuata wanavyotaka? Kwa kweli mie sielewi.
Siku hizi hawana hata haja ya kuwatisha. Viongozi wetu wamekua vimbele-mbele kuwaalika mabeberu wachote wanachotaka!
 
Hatuyataki mashoga huku africa..huo upuuzi wao wa sodoma na gomola wafanyiane huko huko.
 
Jamani............ Hivi tukivunja uhusiano na wazungu tutakufa nchi nzima?
Tuwafukuze kwenye madini na sehemu zote nyeti......
Wacha tufe kwa kukosa dawa na chakula, lakini baadhi watapona na kuokoa kizazi kijacho.
Phuck wazungu na mama zao.
Siwapendi kabisaaaa


Mkuu kwanza pole naamini umerudi toka msibani. Ni sawa usemalo, wachukue hela zao wakae na mambo yao ya kihuni.
Wanatupa hela na interest rates mpaka wajukuu wanakuja kulipa.

Hakuna jambo gumu kama kuona mtoto wako amekuwa gay sijui homosexual. Mtu anayesema maneno kama hiyo ya Mitchel, unaweza kumtemea mate usoni.
 
Jamani............ Hivi tukivunja uhusiano na wazungu tutakufa nchi nzima?
Tuwafukuze kwenye madini na sehemu zote nyeti......
Wacha tufe kwa kukosa dawa na chakula, lakini baadhi watapona na kuokoa kizazi kijacho.
Phuck wazungu na mama zao.
Siwapendi kabisaaaa

Madini utakula? Mimi sijui kwanini waafrika tulinyimwa akili tukapewa MASABURI!
 
Haya majitu yanakera basi tu.......sijui yanachangia kiasi gani katika hityo mijisaada

2312_df03.jpeg
 
haya majamaa yanajua kabisa yanafanya ujinga sasa yameona yatugawie na sisi hv ndivyo alama ya mmanyama inavyoanza kutumika taratibu sasa km option zimewekwa unadhania kip kitafuata na asilimia kubwa ya 3rd world country zinategemea uchumi kutoka kwa hawa mashetwani.
 
Mungu aibariki Tanzania, Mungu aibariki Africa, Mungu tubariki wote. Mungu tuepushe na kizazi ambacho kipo nje ya mafundisho na makatazo yako.
Amin amin amin
 
mungu aibariki tanzania,mungu aibariki africa,mungu tubariki wote
mungu tuepushe na kizazi ambacho kipo nje ya mafundisho na makatazo yako,
amin amin amin
Sidhani kama mungu ataibariki tanzania au africa, sana sana ataipiga laana. Kinachofuatia sasa ni wafadhili kulazimisha serikali za kiafrica lazima ziwe na mawaziri mashoga kabla hawajapata misaada. Huko ndo tunakoelekea, trust me!
 
Back
Top Bottom