Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
tanzania hakuna uwajibikaji..hakuna ufuatiliaji wa namna kazi imefanyika....viongozi wanatumia vyombo vya habari kufanya kazi....akionekana kwenye tv anamkemea mtu mflani basi huko ndiko kufanya kazi...akionekana anakagua njia ulipowekwa mkongo wa taifa ..basi huko ndiko kufanya kazi....watu wengi ni wavivu na hawafanyi kazi...
serikali nayo ni lege lege...kuanzia rais hadi mtendaji wa kijiji....akili ya rais imejikita katika kuomba..anadhani nchi ikiomba misaada ndo itaendelea...wawekezaji wakija ndo nchi itasonga mbele....rais ni mwepesi wa kudanganywa....siku hizi anafanya biashara na kuacha majukumu yake kama rais...amejikita katika biashara zake....hana maono..haoni mbele...hashugulishi akili...hana maana kabisa...ni kweli tanzania inaomba sana kwa sababu kiongozi mkuu wa nchi anaamini na kuendesha nchi katika kuomba...
wezi hawawajibishwi...anawakumbatia..ni rafiki zake .....akili zake zimejikita zaidi katika kuwapa vyeo wale ambao wananchi wamewakataa...ndio hao amewajaza katika balozi mbali mbali dunian...nchi inayumba na sasa tunashika nafasi ya tatu duniani kwa kuomba....hii ni aibu kubwa sana....na ujinga wa hali ya juu