Ujumbe wa wazi kwa Mhe. Edward Lowassa: Uchaguzi ni wako

Tatizo ni kwamba bado anaitumia nafasi yake kuzohofisha utendaji wa serikali , which means hata ukiwaweka hao vijana serikali itakuwa butu[/QUOT

Lowassa alishajulikana kuwa si kiongozi muadilifu toka enzi za Mwalimu; na viongozi waadifu wa chama tawala wanalijua hilo na walimshauri Jakaya juu ya uteuzi wa Waziri mkuu kuwa huyu bwana angelililetea Taifa matatizo na kweli utabili ukadhihilika! Alipopata uwaziri mkuu , mbinu zake zilikuwa kuwaondoa maRC na MaDC wote waadilifu na kuwaweka watu wenye hulka yake kama njia ya kujisafishia kupata Urais;akamuondoa yule mama mkuu wa mkoa wa Iringa na kwateua MaDC na MaDED wakutoka mkoa wa Arusha wengi tu na kuwapeleka wilaya za pembezoni, na Ma RC kama Ole Kone ambao ni puppets wake ndio wakapata upenyo! Unfortunately, Kikwete na waliomzunguka bado hawajagundua kuwa network ya Lowassa bado iko intact ingawa yeye mwenyewe hayumo Serikalini ; hivyo anainfluence kuvuruga utendaji wa serikali by remote control ili Mizengo Pinda aonekane hafai!! Mbinu zake zinafanikiwa kwasababu Kikwete mwenyewe si mtendaji na hana uwezo wa kufanya maamuzi magumu. To solve the Lowassa problem ni kumtosa kutoka katika chama kwani he is a liability, wasipofanya hivyo mtumbwi wao utazama nao wote!!
 
Mzee Mwanakijiji,

Mimi nadhani umetazama sana upande wa pili wa shilingi kufikia hatma ya maelezo yako..Sasa ili kuupandisha nguvu huu mjadala mimi nitatazama upande wa Lowassa kwa nini alifikia maamuzi hayo na kama kweli alifanya MAKOSA..

Ukisikiliza ile hotuba kwa mamkini na hatua aliyoifanya nadhani Lowassa alifanya kitu cha maana sana na chenye kumpa nguvu zaidi ya wengi tunavyofikiria..Nasema hivi ni kutokana na matokeo ya kujiuzuru kwake, nini kimefanyika na amesimama wapi.

Ukichunguza kwa makini swala la Richmond Lowassa alikuwa hana pa kutokea na sidhani kama angeweza kupambana na swala lile akashinda, akiwa bado serikalini kwa sababu majibu yangetakiwa kutoka kwake na report ya Mwakyembe ingebidi ipate majibu bungeni..Mjadala ule usingefungwa kirahisi...Na kutokana na machafu yote yaliyofungamana na report ile, ukweli uliosimama kwa kile alichokifanya, Lowassa angelazimika kustaafishwa kisheria hivyo kukosa kabisa nguvu ya Kiutawala kama yaliyomkuta Mh. Mzee Jumbe..

Hivyo kujiuzuru kwake kumekuwa na sifa nyingi zaidi ya uamuzi wowote wa kupambana wakati unanuka shombo. Kupambana kwa Lowassa kungeleta mzozo zaidi ndani ya chama na ndio maana alisema anakiokoa chama.. Hili neno kukiokoa chama lina maana kubwa sana na zito kwa mtu mwenye kuelewa maana..

Umekiokoa chama kwa sababu, sera za chama na malengo mengi yalikuwa ktk mfumo huo wa KUUZA NCHI..Ukweli ungekuja bainika kwamba hakufanya hayo bila idhini ya chama ktk uuzaji wa nchi, hii ndio tafsiri halisi ya chama ktk uuzaji wa nchi. Richmond sio kampuni ya kwanza kuingia nchini iliyopitia mfumo ule ule wa asilimia 10% au kukatiwa share ya miliki. Viongozi wote wa serikali na chama wana shares ktk mashirika yote ya nje.

Kuna taarifa kwamba Lowassa au mtu mkubwa mwingine alikuwa na shares ktk shirika la maji la Uingereza (CityWater)alilowatoa mkuku baada ya kuona deal limeharibika, Hivyo ukweli ulikuwa karibu kufumka..Lakini hakuwahi ktk swala la Richmond pamoja na kuhamishiwa Dowans kama ilivyotokea kwa Citywater..He was too late on that..

Kama unakumbuka Sitta na wabunge wengi sana walipinga swala la Richmond kufanyiwa uchunguzi lakini ni nguvu ya wananchi iliyowasukuma CCM kufanya uchunguzi na pengine kama sii Lowassa kujiuzuru basi matokeo ya chaguzi nyingi za leo CCM wasingeshinda.. Mengi yangebainika kinyume kabisa cha matarajio ya chama hivyo wananchi wangewaadhibu wagombea wote wa CCM kutokana na shirika moja lililobainika uchafu wake..

Hivyo binafsi nadhani Lowassa alicheza kama Pele kujiuzuru nahivyo kuanza upya kama mlokole. Hajapoteza nguvu yake, na nadhani leo hii Lowassa ana nguvu na maarufu kuliko alivyokuwa chini ya Mkapa kabla ya kushika madaraka ya Uwaziri mkuu..

Mkuu wangu kumbuka hata Mwinyi alijiuzuru akiwa waziri wa mambo ya ndani kutokana na mauaji ya vizee kule Shinyanga. Kujiuzuru kwake kulimpa sifa na hata wananchi wakashindwa kuhoji uwezo wake wa kuongoza. Kujiuzuru kwake kukawa sifa ya kiongozi anayekubali makosa mahala ambapo hapakuwa makosa ila ni Uzembe. Hivyo tuna tatizo kubwa sana la kutafsiri UZEMBE na MAKOSA..makosa hutokana na mtu kukosea bila kukusudia, lakini kushinikiza act fulani ambayo italeta maafa sii makosa ila ni kuzembea kazi.. Unahitaji kuonywa au fukuzwa kazi hasa pale unapokataa kufanya makosa meaning utarudia yale ulofanya ikiwa hali hiyo itarudi tena..
Lowassa leo hii ni shujaa wa chama.. amekinusuru kutoka katika adha moja kubwa sana na chama kinafahamu. Ndio maana anapigana pembeni, hawezi kukata tamaa ikiwa wana CCM wanaelewa ni kitu gani Lowassa amekinusuru chama..

Tatizo kubwa ni sisi wananchi. tunafikiria kwamba kujiuzuru kwake kunamfanya awe adui wa Kikwete, adui wa chama na pengine adui wa kila Mtanzania.. Maneno haya sii kweli nina hakika leo bungeni zikifanyika Vote of confidence, Lowassa atapita.. Na wapo wananchi wengi watamchagua tena Lowassa kwa ujasiri wake wa kujiuzuru ktk nafasi ambayo angetakiwa kupigana..Tunaishi kwa mifano na sii fikra!
 
kwa mujibu wa mkandara kuiba ni sawa, jiuzulu kukubali kosa uwaokoe wenzako, zunguka rudi tena uibe na mkono mwingine, asante we kweli mwana CCM wa ndani. Lakini ume mention kulikuwa na ripoti in kuja na alitakiwa ajibu masawali bungeni as PM on the issue ndio maana akajiuzulu kukwepa one to one with his fellow MP's. Jamani hivi hawa tunao waongelea ni warithi wa nchi au wananchi wenzetu tulio wachagua waongoze nchi yetu na sio wa ifilisi nchi. Lowassa is not important for Tanzanians matter of fact him being there reminds us how corrupt the current adminstration is. and it would stop at nothing protecting its evil deeds even if it means causing accidents to all those who r thinking of coming up publicly against them, the man should be out of politics for good and nothing less
 
Taratibu mkubwa.
Tutafika tu.
Kumbuka lakini,Mkuu wa Majeshi wa sasa nae ni UWT ila sijui yupo kundi lipi kati ya MANNE yaliyotajwa na wana JF.
 
Juma Contana,
Mkuu unaposema kwa mujibu wa Mkandara, nadhani unapotosha kile nilichokisema.. KUIBA sio sawa isipokuwa kulingana na desturi zetu inakubalika ikiwa utaungama..Na ktk fani ya Uobngozi kuungama ni kujiuzuru kabla kujafukuzwa.. Viongozi wote waliojiuzuru bado wanapeta kwa makosa ambao sii makosa bali Uzembe na makusudi uliosababisha taifa hasara.

Leo hii husikii habari zinazomhusu Lowassa na Richmond, imetoka, Mama Meghji na BoT, Karamagi na TISS, Mkapa na rada, Mwnyi na IPTL, Viongozi wote ktk swala la nyumba za serikali na Ubinafsishaji iwe Umeme, mawasiliano, Usafiri, bandari na kadhalika kote kunanuka ufuska..lakini kilichofanyika ni viongozi waliobainika kujiuzuru ndio hatua kubwa iliyofanyika wakati sera na taratibu za utekelezaji wake upo palepale...

Lowassa na wengine wote waliotuweka hapa tulipo hatuwahitaji kabisa! hawatakiwi hao tusiwahitaji wanafanya asilimiaa 80 ya Uongozi wa CCM hivyo kuwaondoa wao ni sawa na kukiondoa chama..

Sasa tukitazama yaliyotokea baada ya Lowassa kujiuzuru, CCM inaendelea kushinda jampo kwa taabu sana lakini taratibu wananchi wanaanza kusahau. tunarudi ktk msemo usemayo yaliyopita sii ndwele tugange yajayo!..Vichwa ni vile vile vilivyofanya uzembe.. Nimewahi kusema kwamba Responsibility bila Accountability ni kujidanganya!..wachafu wote wameachia ngazi ktk mtazamo usiohusisha kipengele cha Accountability maadam wameungama basi imetoka pamoja na kwamba wanaendesha maisha yao kama zamani..
 
Tatizo la siasa wanokupigania ni wale uliowafanyia mazuri na ukabadili mwelekeo wa maisha yao, hata kama unataka uachane nayo always kuna watu ambao wako bega kwa bega kuhakikisha hauuwawi na usiachane na siasa.

Ushauri wako kwa EL ni mzuri lakini sauti yako ni moja ambayo haiwezi kuwa unmatched with Millions ambao wako bega kwa bega kurudisha fadhira kwake.

Mimi ninazani mwache mheshimiwa akae alipokaa, ili tuweze kuandika historia vizuri, ni wachache sana kama nyerere walikuwa na busara ya kusoma nyakati,nyerere alipogundua ujamaa ume fail aling'atuka.

Anguko lake la pili litakuwa zuri zaidi kwasababu litasafisha kabisa, bila kuacha masalia.
 
Kwa kweli mjadala umeenda zaidi ya nilivyotarajia. Wale ambao wamenisoma kwa muda mrefu watajua nimejaribu kusema nini na hasa kuchochea mjadala wa kitu gani. Kimsingi maswali ambayo bado tutakabiriana nayo ni kama Lowassa ana nafasi ya uongozi wa taifa na kama historia yake na rekodi yake inaweza kabisa kumtosha kurudi kwenye uongozi wa taifa. Pia ni lile lililoulizwa "are we better off with Lowassa outside the rim of power"? even more, "is he better off there?"

Maana yake ni kuwa kuelekea 2010 (keep your eyes kwenye Bunge lijalo) tutaona mashujaa wapya na new alignments... sitoshangaa tunaweza kujikuta uchaguzi mkuu unaoitishwa mapema zaidi ili kuliokoa taifa.
 
Maana yake ni kuwa kuelekea 2010 (keep your eyes kwenye Bunge lijalo) tutaona mashujaa wapya na new alignments... sitoshangaa tunaweza kujikuta uchaguzi mkuu unaoitishwa mapema zaidi ili kuliokoa taifa.

Neno nidhamu na utiifu yana maana kubwa sana katika maisha. Lakini maneno haya ni sumu kali usipofahamu unachokitii. Tunahitaji wabunge wanaotii utu, na si pesa.

Kikwete ana Golden opportunity ambayo haijawahi kutokea katika siasa za Tanzania, na hiki si kingine bali anajua watu waliye naye na wasiye naye.
Tatizo hatujui anitii nini? Kama anatii utu hii ninafasi yake pekee ya kufanya maamuzi mazito, na si kingine, Anaweza kuwafuta wote wanaoiangamiza tanzania.

Kwasasa ana credibility ya kufanya hivyo because he is sitting on the future of Tanzania and all people will look back and they wont think of EL but kikwete which take us to the key question Kama usipojitii mwenyewe una tii nini? na Utawezaje kuwatii Watanzania.

Please usiwatii kina EL , itii nafsi yako kwa madaraka na dhamana kubwa tuliyokupatia and use it once again kututii by sweeping all of those MAFIAS
 
dah thread hii imenikumbusha jana nilikuwa naangalia movie moja iliyohusu kujiuzulu kwa Rais wa Marekani Richard Nixon, na yeye aliamua kukaa kimya baada ya kujiuzulu na Rais aliyemfuata akampa msamaha kwa makosa yote aliyoyafanya. Kilichowaudhi wamarekani (raia) ni kitendo cha Rais huyo kutoomba msahama akiamini hakutenda kosa bali amewajibika kwa maslahi ya taifa.

Baadae mtangazaji mmoja alimuomba afanye nae interview kwa donge nono. Kipindi wamarekani wote walimchukia wakiamini Rais huyo ametumia vibaya mamlaka yake. Hata hivyo alikubali kufanya mahojiano ambayo yalipelekea kwa yeye kukubali makosa na kuonyesha kujutia kwani alionyeshwa kuwa mwenye upweke mkubwa. Kwa Lowasa hakuwahi kusema wazi kuwa ametenda kosa na wala kuomba radhi kwa kilichotokea. Nakubaliana nawe mwanakijiji, Nixon alikili kwenye interview "My political carier has ended" na akaishi kwa amani japo upweke haukuondoka. Lowasa still has time to ask for our forgiveness and formal apologie.

Hiyo filamu inatwa Frost/nixon kama sijakosea.
 
Lowassa hawezi kuomba msamaha; vinginevyo utaanza na "kama"...

Ataombaje msamaha wakati Viongozi watakatifu wote wa dini wanamwona ni mtakatifu na hajafanya kosa lolote, wanaketi naye kwenye kiti kimoja. Pesa mbaya inabadilisha hata ukweli wa neno la Mungu.
 
Fiksiman,
Umemzungumzia Nixon na kitendo chake cha kuomba msamaha kama ni sifa kubwa ya kiongozi..well tazama matokeo ya kukubali makosa yale na kikubwa zaidi kukubali kunyang'anywa madaraka kwa kashfa. Nixon hana tofauti na Mzee Jumbe wanaishi wapweke na wamepoteza heshma zote.
Sasa Mtazame Bush na Chenney hawa jamaa wamekataa kabisa kuomba msamaha wala kukubali makosa...Chenney bado anatamba na wapo Republican kibao wanamuunga mkono ktk msimamo wake. Na bado ana nafasi kubwa ndani ya chama tofauti na viongozi wengi waliomtangulia ktk kiti cha makamu wa Rais..
Lowassa kachza kama Pele nakwambia. Tunayajua machafu yake lakini hatutakoma kumsikiliza kwa sababu hajapoteza nguvu ya hoja zake. Unapokubali kufanya machafu ndipo watu huunganisha na uwezo wako ktk Utawala. Usipokubali ni vigumu watu kutoa hukumu ya uchafu wako..Lowassa hataweza kuomba msamaha anajua fika kwamba kufanya hivyo kutamwondoa kabisa ktk kurasa za siasa..
 
katika pita pita yangu nimekumbana na open letter myingine aliandikiwa Lowassa na Rafiki yake? Mzee Mwanakijiji wewe huyu au mwingine?

An Open Letter to Edward Lowassa: Silence can never be misquoted - a true friend

To my friend, Mr. Edward Lowassa,

Here's a memo to you regarding the recent historic event of our nation. It's meant to reassure you that no matter what happens I'll remain your friend. True friends are those who can hang on even when the situation allows them to quit.
I'm among the people who think so highly of you, Mr. Lowassa. I was among those who favoured your ambition for CCM candidacy nomination in '95 preparing to navigate your way to the nation's highest office.
I was among those who were reluctant to accept Nyerere's idea to remove your name from the list of the aspirants for allegations of wealth accumulation that didn't match your income as a poor-turned-rich government official. Nyerere said we weren't nominating people based on looks!
When you were out of Mkapa's first-term cabinet I felt like you were victimized for no good reason. I was astonished that Mkapa didn't think you could hit the ground-running.
In December '05, Kikwete appointed you his PM and the Parliament endorsed you by over 99 per cent. Today, just a couple of years after what seemed like a huge come-back, you are no longer a premier! What's wrong my friend? "Come now, let's reason together": don't you think Nyerere was right that "looks can be deceiving"?
I commit to memory the speech you gave in Parliament with high discontent - I'll discuss it later.
At this point I could definitely no longer be silent. Remember again: Friends tell each other truths, and the greatest truths are the simplest. So this is a moment of truth for you, my friend.
I must first admit that I, just like most Tanzanians, may have regarded you too highly. So much so, that I feel like I have been offending you for expecting too much from you, and for that I say I'm sorry.
I've discovered that what I really had in mind was an image of my own "Lowassa" and wanted you to be him. I admit that was wrong!
My "Lowassa" was a very hard working, honest guy, a down-to-earth, Sokoine-like guy who would serve this nation with a perfect combination of high integrity, patriotism, and loyalty. I had a "Lowassa" who would use his charisma for the good of his party and our nation.
Ooh poor me, I had a "Lowassa" who would sacrifice a lot for this rich-turned-poor nation whose citizens have wrongly placed their trust on an imaginary "Lowassa". I've no clue where the hell I got this "Lowassa" from, but he made me become so demanding on the real Lowassa.
Thursday, Feb 7th 2008 will remain a pivotal moment of our nation's political history. On this day I got my head out of the ditch I had kept for years and for once I actually used my brain to think straight after many years of living in a state of denial. I then shifted from an imaginary "Lowassa" to a real Lowassa.
Mr. Lowassa (real), there's no vocabulary that can capture the magnitude of the shock of realization of how far apart the two Lowassas could actually be. They're opposite in character and in conduct.
On the day in question I saw a manipulative and insensitive Lowassa. This was manifest even in the speech you gave, my friend. Tell me if I'm wrong, but on this day I saw a cold-blooded opportunist, a person who cares nothing but his quest for personal glory.
I listened to a very unprofessional individual that day. I saw a man who all he knows is himself and his immediate family. A man who doesn't care for any other Tanzanian child although he's, for a long time, pretended to! But one can only fool some people for sometime.
Unfortunately, there're hypocrites everywhere, my friend; and there were many behind you in parliament that day too. Some of them applauded you and called you wise, hero! They lied to you, my friend. Heroes don't do such things.
Heroes don't give such speeches, full of me, mine, and I. Heroes have the ability to look beyond themselves. And wise people don't complain in their resignation speeches while trying to demonstrate their readiness to take accountability.
Wise people don't down play others for them to rise. Wise people don't lie. Wise people don't try to manipulate the Parliament to despise such an excellent report so the Parliament can sympathize with them.
These people lied to you big time and laughed at you on your back - they really aren't very good. I, at least, tell you my honest truth though painful.
Mr. Lowassa, you surprised me beyond imagination when you kept complaining of the commission's unwillingness to summon you while forgetting the mess you have caused to our nation. Remember, this wasn't a court of law.
The commission's task was to find out what really happened with Richmond! If they got sufficient information without you, there was no need of you. At least that's my opinion. Otherwise it was just a fair game.
I don't mean two wrongs make it right, but my friend, what goes around comes around! The billions of tax-payers' money that you and your company threw away are much more than you not being interrogated - after all that's as tragic as it gets.
So where do you even get the guts to complain? Why didn't you talk of work ethics before talking of "natural justice"? I know you'll definitely miss this because of your apparent handicap of seeing none else, but yourself.
Mr. Lowassa, you know that I'm better qualified and was capable of becoming the PM after the president has lost confidence in you and your friendship almost gone ablaze. How did you think I, your friend, would restore such a torn-apart economy because of such irresponsible and unprofessional misconduct?
More astonishing was your complete inability to recognize such an excellent task accomplished by Dr Mwakyembe's commission. You instead became sarcastic on only the fashion with which the report was submitted.
How blind could one be to not see the critical content of such a well-documented 165-page report and just end up with ridicule? Lowassa what happened to you/me?
Lastly, and I promise to leave you alone once and for all, Mr. Lowassa. There's something almost incomprehensible to me, my friend. And I would highly appreciate if you could kindly afford me an explanation. Here is the thing: Were your post-resignation remarks necessary?
Wouldn't it be necessary and more understandable for you to maintain a low profile at this point in time, at least for a while? You know as well as I do that "silence can always be misunderstood, but it can never be misquoted". One of the things that may be misquoted is your statement that the PM-elect is just like you!! I've no clue what in the world were you referring to here, my friend?
Make no mistakes Mr. Lowassa, these other people (even those who applauded you) are trying to make a big deal out of this. To them you're a criminal. Whatever you say can and will be used against you. Why then not zip-up your mouth for a while, my friend.
I'm saying this because you and the others who pretended to resign that day looked like big jokes. Your demeanor was just not right. You were all very unapologetic. Of course to you, it was politics as usual; but you know what that means; it indicates that you are so well capable of massive scandals that you were actually surprised how an adult person in her right state of mind could make such a big deal out of almost nothing.
You said you were humiliated and disgraced! Who did it more than yourself? One of your friends said he deserves a compliment! For what? The other said he is ready to help Dr. Mwakyembe to put together a better report. Give me a break!

However, I remain yours
True friend!

Open Letter to Lowassa
 
Katika hotuba yake kwa Bunge hakuwasiliana na Rais juu ya yeye kujiuzulu. Na believe me, JK hakumtaka ajiuzulu; JK kama wabunge wengine hawakujua Lowassa atajiuzulu vile vinginevyo Spika Sitta angejua juu ya hilo vile vile. Ninachojua ni kuwa JK alikataa kuiona ripoti ya Mwakyembe kabla.

JK alikuwa Dodoma kwa ajili ya mkutano wa baraza la Mawaziri (soma maelezo yake mweenyewe kwa wazee wa Dar wiki chache baadaye; suala la Waziri Mkuu kujiuzulu halikuwepo). EL alifanya vile wakijua watu kama wanne tu. Yeye, mkewe na wabunge angalau wawili (Hawa nina uhakika walijua).


ziko tatu; ya Mwang'onda (loyal to Mkapa, EL na RA), ya RO (loyal to JK), na Patriots (loyal to the standard of professionalism ya kazi ya intelligence). Njia pekee ni kuhakikisha TISS inaundwa upya baada ya mabadiliko ya sheria.

c) Uchambuzi wa Mwanakijiji, unaonyesha kuwa Lowassa anamhitaji sana JK kuliko kinyume chake. Ukweli uliopo, unaosema, unaoonekana ni kuwa JK anamhitaji sana Lowassa na watu ili awe salama katika nafasi na kazi zake.

Naamini JK hamuitaji Lowassa at all, hakuna lolote ambalo EL anaweza kufanya dhidi ya JK. Hakuna. Lakini JK akiamua kumfanyizia anaweza to extreme measures. Hili ndilo the message behind mada yangu. EL na RA bado hawaliamini hili. It'll be too late when they grasp its eventual implications.



Nadhani hapa uko sahihi sana; tulishadokeza huko nyuma juu ya suala la afya yake. Watu wengi wamekuwa wakizungumzia gonjwa lile lakini kwa karibu mwaka mzima baadhi yetu tunajua juu ya hali yake ya kiafya. Siyo blood clot. It is something more serious. I won't get into that.[/QUOTE]

Katika hotuba yake kwa Bunge hakuwasiliana na Rais juu ya yeye kujiuzulu. Na believe me, JK hakumtaka ajiuzulu; JK kama wabunge wengine hawakujua Lowassa atajiuzulu vile vinginevyo Spika Sitta angejua juu ya hilo vile vile. Ninachojua ni kuwa JK alikataa kuiona ripoti ya Mwakyembe kabla.
=============

MwKjj nami nasema believe me waliwasiliana. EL alitaka JK aitishe kamati ya wabunge wa CCM ili kuzima maasi. JK akasema anaogopa asishtakiwe kwa kuingilia uhuru wa bunge. Ndipo akapendekeza EL aandike barua, na yeye JK atadelay jibu ili mkakati mpya utafutwe.

Pia, JK aliona ripoti ya Mwakyembe kabla ya kwenda Dodoma. Sitta asingefanya kosa la kwenda Dodoma na Ripoti bila kumshirikisha Mkuu wa Nchi.
===============

JK alikuwa Dodoma kwa ajili ya mkutano wa baraza la Mawaziri (soma maelezo yake mweenyewe kwa wazee wa Dar wiki chache baadaye; suala la Waziri Mkuu kujiuzulu halikuwepo). EL alifanya vile wakijua watu kama wanne tu. Yeye, mkewe na wabunge angalau wawili (Hawa nina uhakika walijua).
===============
Ni kweli hawa wabunge walijua na waliambiwa na EL baada ya kutoka Chamwino usiku ule.

ziko tatu; ya Mwang'onda (loyal to Mkapa, EL na RA), ya RO (loyal to JK), na Patriots (loyal to the standard of professionalism ya kazi ya intelligence). Njia pekee ni kuhakikisha TISS inaundwa upya baada ya mabadiliko ya sheria.
===========
Mimi nadhani zaidi ya mabadiliko ya sheria, kuna suala la mafunzo yanayoendana na wakati tulio nao. Hii habari ya kuhesabu vizibo vya bia imepitwa na wakati.
===========
Naamini JK hamuitaji Lowassa at all, hakuna lolote ambalo EL anaweza kufanya dhidi ya JK. Hakuna. Lakini JK akiamua kumfanyizia anaweza to extreme measures. Hili ndilo the message behind mada yangu. EL na RA bado hawaliamini hili. It'll be too late when they grasp its eventual implications.
============

Conventionally, unachosema ni sawa, kwamba JK kashika mpini na EL makali. Lakini mimi nadhani kuna kushika mpini lakini ukawa na phobia ya kuona damu, matokeo yake ukakata vidole na kisu kikapitiliza na kukukata wewe. Scenario tuliyo nayo, JK hawezi kuwagusa akina RA na EL akawa salama. Mizengo aliwahi kulisema, akakemewa kesho yake asubuhi kwenye security briefing.
======

Mwisho, tueleze uswahiba wa EL na BWM umetoka wapi na umeanza lini? Au Mwang'onda kawapatanisha!


Hapa kila mtu atasema anavyojua au kutufanya tuamini yuko KARIBU na JIKO, hizo zote ni fikra naamini hata Lowassa akija hapa akatuambia kwanini kafuata mlango ambao MWANAKIJIJI anasema unampeleka pabaya anaweza akatoconvince............................
 
jamani sasa tumefika pabaya, Dini na siasa lazima zitenganishwe. Zichorewe mistari kabisa. Huyu lowassa kila 01.january anatoaga shukurani ya kushukuru kwa mema mengi aliyotendewa na Mungu. Mbona ajawai kukusanya watu na kuomba radhi? mmmmhhh! kwa kiburi chake hapo awezi omba radhi. Vimemo vya Richmond kwa mawaziri aliviandika mwenyewe, na kama alikuwa msafi angesubiri asijiuzulu kwani wabunge wasingepiga vote of no confidence kama angekuwa sahihi, lakini alinusa akaona harufu ya vote of no confidence. Huyu bwana awezi achana na rostam aziz kwani ndio washirika wenzie kwenye mitandao ya wizi wa raslimali za nchi hii. Lowassa ni mbia mkubwa Tanzanite One, Kiburi cha fedha za madini akiwezi kumfanya aombe radhi, ila yote ni mapito tu. Akiwa waziri mkuu alisimamia kwa nguvu zake zote Mmeru mwenzake Nyitti Akawaamisha wanakijiji kule mahenge(kilombero) na kufanya kijiji kuwa machimbo ya madini. Sasa busara anazo wapi za kuachana na mafisadi, Kiburi hicho hana.
Cha msingi aite press conference awaombe watanzania Msamaha na kujiunga na kambi ya JK ili kuleta tija kwa wananchi. Kama shida yake ilikuwa kuwapatia watanzania uongozi makini na mahiri kama alivyosmaga, sasa mbona yupo porini kupigana badala ya kuendeleza ahadi yake? au uongozi safi hadi uwe waziri mkuuu???
nasimamia hapo kwa leo.
 
Kumshauri Lowasa kuachana na Rostam ni kama kumzuia tai kwenye mzoga. Acha walio wafu wawazike walio wafu wenzao.
 
Back
Top Bottom