Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Lema ndio alimfata huyo jela alipojipeleka mwenyewe? au umesahau?
Ndio na Mjusi ndio alikuwa Nyapara mkuu na inasemekana Lema alitoka Jela kanenepa
Lema ndio alimfata huyo jela alipojipeleka mwenyewe? au umesahau?
Aliiba magari ya mama yako...mbona hamfungui kesi mahakamani, wakati serikali iko chini yenu mna mwogopa....
Haya maneno kaa na mama yako mjadiliane kama ni kweli ama laah...Na si alikuwa Jela na Mjusi ndio Nyapara mkuu ila Lema alitoka kanenepa sana....Shavu hihaaa na ile sehemu ya Kamerun ilifutuka zaidi sasa hatujui nn kilichotokea huko
Kuna msemo usemao kuwa " ushikwapo shikamana". Wananchi wa daraja mbili wanatakiwa kuwapa kichapo hao magamba wachache iwapo magamba wamewachokoza. Aluta continua...
Kuna msemo usemao kuwa " ushikwapo shikamana". Wananchi wa daraja mbili wanatakiwa kuwapa kichapo hao magamba wachache iwapo magamba wamewachokoza. Aluta continua...
Mke wangu akiwa na mimba changa huwa kichefuchefu hakimwishi nenda kapime mkojo aunt..Huyu Lema kila siku kujifanya anajilinganisha na Mandela ananipa kichefuchefu kinoma yaani huyu.
Lema ni mwanafalsa aliyehai na anaetembelea falsafa yake leo!
Hongera kamanda, kama muhusika hata sikia na kuelewa basi ghadhabu ya Jah ijuu yao ccm
mmejawa na matusi,chuki na husuda kwenye mitandao,majukwaa ya kisiasa,kwenye nyumba za ibada na majumbani. na wewe unaliwa denda na padre slaa
Huyu Lema kila siku kujifanya anajilinganisha na Mandela ananipa kichefuchefu kinoma yaani huyu.
Wewe pimbi ongea ueleweke...halafu ukome kuwafananiasha CHADEMA na Mkwe wenu CCMabwepandeAnaongea ki CUF au anadandia siasa za CUF ki aina?
CCM ilee na CCM hii zinafanana majina tuu.CCM ya Nyerere eti kwenye uchaguzi utoe rushwa?hata ukimnunulia mtu karanga ili kumshawishi unapigwa chini. Hii ya sasa mpaka mawaziri wanaenda kuhongea vyooni mikutano ya vijana na wanawake,aibu gani hiyo. Na lakushangaza unaambiwa source ya fedha hizo ni wagombea Urais toka CCM. Hicho ndio chama ambacho mpo watu mnajionea fahari kuwa humo! Kama wataka urais wanamwaga rushwa hivyo na hawakanushi,NAWAHAKIKISHIA WATZ KUWA 2015 kama CCM itapewa madaraka NCHI ITAKUWA MBAYA KULIKO HATA SASAccm ilikuwepo tangu uhuru huyu mtu hajafanyiwa haya.tatizo ni chadema,ndio wenye fujo na wanaleta mauaji
Haya maneno kaa na mama yako mjadiliane kama ni kweli ama laah...
mkuu tumia limao au zaa kabisa na Lema atakusaidia kubeba mtoto.
Hawa sio subsidiary group la sheikh Ponda?Ni wahuni wanaofadhiliwa na Mkuu wa mkoa kwa hisani ya ikulu