UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Lema kilichomampeleka jela ni kukataa uonevu, alikuwa anapigania haki na usawa. J4 kilichompeleka jela tena mara nyingi ni ujambazi sugu wa kutumia silaha. lakini cha ajabu ccm wamemkumbatia ili akaendelee na umafia wake ndani ya ccm

sasa mbona alivyotoka jela huwa hasemi kitu gani alifanyiwa na mijidume ya gerezani? Aseme sasa mbona anaona aibu.
 
Mmmmmh Busara yote hii ni kweli maandishi ya lema haya ?

Wewe humjui Lema. That is real G. Lema

Na shangaa sana magamba huwa wanaanzisha hali tete halafu ikiwaka wanajifanya kukamata hata wasio kuwepo eneo la tukio ili kutisha raia. Haki hunyakuliwa.
 
Wanasiasa wa sasa kama vijana wa BongoFlavour! Kwa mistari na vina ndio wenyewe.
 
Well said Lema. Hakuna nchi duniani ilishawahi kuwa Kisiwa cha Amani kama Siera Lione kabla ya kuvurugwa na Wanasiasa jamii ya wa CCM.

Mkuu Cote, de ivoire ndo nchi iliyo kuwa inaongoza kwa Amani katika Bara la Africa na ilikuwa kila mikutano ya OUA enzi hizo na hata mikutano ya UN walikuwa wanaitumia kama Mfano, Ila leo hii tazama kina cho endelea kule
 
Kuna watu wakisikia Lema kasema kitu wanaweweseka sana,mtakoma kulinga na unafiki wenu huo nyie wana ccm.
 
Sikubaliani na upuuzi huu uliofanywa na wahuni wa CCM.

602509_186090904861251_856235684_n.jpg

Get well soon Kamanda! CCM ndio watakaoleta umwagaji damu nchini!
 
Lazima upate kichefu chefu wewe uliyezoea kulishwa denda na jk.

mmejawa na matusi,chuki na husuda kwenye mitandao,majukwaa ya kisiasa,kwenye nyumba za ibada na majumbani. na wewe unaliwa denda na padre slaa
 
Wewe humjui Lema. That is real G. Lema

Na shangaa sana magamba huwa wanaanzisha hali tete halafu ikiwaka wanajifanya kukamata hata wasio kuwepo eneo la tukio ili kutisha raia. Haki hunyakuliwa.

lema ni mzigo tu hana jipya arudie tu kazi yake ya wizi wa magari
 
Kesho watatuua tu kwani tumejipanga kulinda kura kuanzia alfajiri mpaka majumuisho.
 
Ukweli, ujasiri, uwazi, na kujiamini ni miongoni mwa vigezo vinavyonifanya siku zote nimuone Godbless Lema kuwa tunu na aina ya viongozi tunaowahitaji hivi sasa katika taifa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Lema. Hakika haki na ushindi vitapatikana.
 
sasa mbona alivyotoka jela huwa hasemi kitu gani alifanyiwa na mijidume ya gerezani? Aseme sasa mbona anaona aibu.
Kwakuwa wewe huwa unafanywa hivyo unapelekea fikra zako kudhani kila mwanaume anafanyiwa kama unavyo fanyiwa wewe.....
 
Ukweli, ujasiri, uwazi, na kujiamini ni miongoni mwa vigezo vinavyonifanya siku zote nimuone Godbless Lema kuwa tunu na aina ya viongozi tunaowahitaji hivi sasa katika taifa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Lema. Hakika haki na ushindi vitapatikana.
.......Amen!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom