UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Lowasa ameapa kulirudisha jimbo la Arusha mjini.Akifanikiwa hapo Urais anajisafishia njia

Not in Arusha! Ataishia Monduli, akijitahidi sana mwisho ni Arumeru Magharibi, tena ni kwa kuwa amewaweka Malaigwanan kiganjani.
 
Aliiba magari ya mama yako...mbona hamfungui kesi mahakamani, wakati serikali iko chini yenu mna mwogopa....

Na kesi ya jinai huwa haifi, kuna mifano ya Auguto Pinnochet, Hissene Habre, Carlos the Jackal nk.
Kama alikuwa mwizi kweli, Serikali ya CCM jinsi inavyomuwinda, ingemuachia kweli!
 
wakuu wa wilaya na mkoa ni wakufuta hawana kazi ya maana kwa kusaidia maendeleoa kwa wananchi
 
Hoja ya msingi hapa ni je Lema alifanyiwa kitu mbaya gerezani au hakufanyiwa?
Kama wewe ndio unayetegemewa na Magamba tawini kwenu kama mj
enzi makini wa hoja basi wamekwisha.
Soma kichwa cha habari ndipo utajua hoja iliyopo mezani.
 
why al this???? tujiulize kuna biashara gani yenye faida hivyo ccm haitak kuipoteza? amazing kwa kwel
 
Ndg. Mkuu wa Mkoa,
Watu wanapigwa na kuonewa sana Daraja Mbili, na huku wakijigamba kuwa wewe na Mkuu wa Wilaya umewahakikishia usalama wao hawa wahuni, jambo ambalo nisingependa kuamini mapema, ila ujasiri wao na ukaidi wao unaweza kuleta hakika kidogo.
Nelson Mandela alisema, kumnyanyasa mtu hakumfanyi mtu kuwa dhaifu bali humfanya mtu kutafuta njia za kujitetea, hivyo basi tazama uchaguzi kwa jicho la haki na Mungu ndipo amani itakapostawi katika taifa letu, ni hatari kuwajengea watu hofu na mashaka eti dola inaweza kuiba kura na kuonea watu wakati wa uchaguzi.
Hekima ya uongozi ni kupigania haki, usawa na utu.
Tumejipanga kulinda utu wetu na haki zetu na Mungu atusaidie.
Tutakuwa tayari hata kufa kwa ajili ya haki. Ushauri wangu kwako siyo CCM kushinda uchaguzi, bali haki kushinda katika Uchaguzi.

Godbless Lema

mane machache yenye kilo 2015......ambayo ukichukua viongozi wote wa serikali na CCM ukawaunganisha utapata kilo 5 tu
 
Lema kilichomampeleka jela ni kukataa uonevu, alikuwa anapigania haki na usawa. J4 kilichompeleka jela tena mara nyingi ni ujambazi sugu wa kutumia silaha. lakini cha ajabu ccm wamemkumbatia ili akaendelee na umafia wake ndani ya ccm

Kwa hiyo Lema alikwenda kugombania maslahi ya J4 huko jela? au sio?
 
Mmmmmh Busara yote hii ni kweli maandishi ya lema haya ?

Sidhani kama lema ana IQ ya kuandika maneno haya
Mie namfahamu Lema vizuri na si mtu wa kutumia ubongo kiasi hiki, labda ni Dr Slaa kamuandikia. Chadema ni slaa, lisu na may be Mnyika wengine bado sana wana kazi kubwa ya kujisafisha na kujijenga kisiasa. kuna mmoja sijamtaja lakini wengi mnamjua kuwa ni kada wetu ZZK
 
Chadema wana nguvu sana na wanaweza kuzoa viti vingi vya ubunge lakini ???// kuna wengi njaa kali wanaingia chadema kwa manufaa yao
 
Jamaa ni mwana-falsafa anayechipukia, sijui kama huyo mkuu wa mkoa atamuelewa?
 
message hii imetupatia kata ya daraja mbili la sivyo tungelemaa tu....!
heko kamanda Lema
 
Kinachowavuruga wakuu wa Mikoa na wilaya ni kuwa
1. Kazi yao hawasomei popote ha hakuna qualification
2. Hawagombei kuwa wakuu bali hupewa kwa sababu zingine
3. Ni cheo ambacho kipo tu na inabidi mtu awepo
4. Matakwa yanayotimizwa na ya watu waliokuteua ndiyo maana SEKRETARY wa TAMISEMI ni bosi wa DC na RC
5. Hawajui nini maana ya ukuu!
Kuwa mkuu wa Mkoa au Wilaya ni Utumwa kuliko KUTUMIKISHWA kwene MADANGURO YA NGONO!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom