Ujumbe wa mapenzi - love message

Wadau nimeshikwa na binti m1 wa kimbulu. Ananitesa kishenzi nampenda cwezi kueleza tatizo ni kwamba hataki kueleza ukweli kama ana mwingine.mara kadhaa amekua akinikatia cmu akidai kwamba kwao wanamkataza kuwa na cmu. Mbaya zaid ninapokua nae hayupo huru kunieleza ukweli kama ana mtu mwingine. Nimejaribu kumshawishi aniambie ukweli kwani ntaumia lakini ntamsahau, Wakati mwingine huwa anazima cmu siku tatu akidai yuko busy sa cjui. Tulishawah kuwa mbali kwa muda kama miezi 6.nimeambiwa alikua na mtu lakini hataki kuniambia ukweli.cjui ni kwanini. Nimekua nikimwuliza kama ananipenda anadai bado ananipenda. naomben ushauri. wadau

Wanawake wa Kimbulu ni weupe na wazuri sana! Ndio maana wanaume wakikaika wanakuwa kama vichaa, hawashauriki. Kama pamoja na matatizo yote hayo kwenye uhusuiano wenu bado uko naye, basi ina maana wewe hushauriki kwa sasa. Anafanya anachotaka kwa kuwa hakupendi...''the feeling is not mutual''.

Anza kufanya mazoezi ya kuzoea kutokuwa naye! Huo uhusiano wenu hautadumu. Take my words!
 
'if I was a rainbow could show my colours for you and if I was a song could sing my love song for you'...I love you Jb...
 
Mwenzenu nilishasahau kabisa maneno ya kutongozea wanawake kama hayo! Kwani siku hizi bado yanahitajika tena?
 
Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not delight in evil but rejoices with the truth. It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres.
<br />
<br />
 
thats true best,first of all GOD is love,thus when ever there is love GOD is between.
 
Love only exist when the two who claim to be in love are close 2gether...... i ll give true love to ma wife only
 
Back
Top Bottom