Ujumbe wa leo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,422
BARIKI WALA USILAANI! (Warumi 12:14; Luka 6:28, I kor 4:12,13)
"Wabariki wanaowaudhi, barikini, wala msilaani pia, wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi’’.
Mtume Paulo akiwaandikia Wakorintho jinsi wao walivyofanya anasema; “tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twastahimili; tukisingiziwa twasihi’’.
Na wewe fanya kama Mtume Paulo ukitukanwa kwa sababu ya kuokoka bariki, ukiudhiwa kwa sababu ya wokovu stahimili au vumilia, ukisingiziwa uongo, jifunze kujibu kwa hekima!
 
na akikutemea mate mshukuru..,shukuru kwa kila jambo ka CHADEMA
 
BARIKI WALA USILAANI! (Warumi 12:14; Luka 6:28, I kor 4:12,13)
"Wabariki wanaowaudhi, barikini, wala msilaani pia, wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi''.
Mtume Paulo akiwaandikia Wakorintho jinsi wao walivyofanya anasema; "tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twastahimili; tukisingiziwa twasihi''.
Na wewe fanya kama Mtume Paulo ukitukanwa kwa sababu ya kuokoka bariki, ukiudhiwa kwa sababu ya wokovu stahimili au vumilia, ukisingiziwa uongo, jifunze kujibu kwa hekima!

Ujumbe mzuri Mungu akubariki, wakati mwingine wakikusingizia uongo wala hata usitafute maneno ya hekima, nyamaza unamwacha mtetezi wako akutetee maana mtetezi wako yu hai.
 
Back
Top Bottom