cku watu watamka usingizini ndo cku serikali itajilaumu kwanini aikudeal na haya mambo madogo madogo.. Kuna mambo mengi wananchi wameavumilia, cku hio ndo nchi itawaka moto.
kuna thread ilikuwa posted jana kwenye jukwaa la siasa kuwa kwa uwoga wa wa-tz tusubiri hadi idadi ya watu kama milioni nne wafe kwa njaa na umaskini majumbani mwao ndio wafanye move. Nadhani wa-tz tuamke jamani, namnkuu Kimilidzo 'Inafikia wakati mtu unaona kama kuwa mtanzania ni upumbavu' kauli hii nathubutu kusema ina ukweli fulani, leo hii huwezi kuwa nje ya nchi halafu ukajitambulisha kirahisi kuwa unatokea Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.