Ujumbe Mpya Kuzuia Maambukizi Mapya ya VVU

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
Kutokana na ukindhani kati ya Dini na Serikali za Dunia juu jinsi ya Kuzuia Mambukizi Mapya hasa kwa matumizi ya Kondomu, mtu mmoja amebuni ujumbe ufuatao ili ku-balance

"The Bible/Quran may Save your Soul; BUT Condom Your Life"......

..........WE ARE NOT ALL INFECTED BUT WE ARE ALL AFFECTED...................
 
Ujumbe huo sio mpya! Umekuwepo siku zote tangu ukimwi ulipoanza kushamiri.
 
si haba kuendelea kuukumbushia, unaweza kuwa mpya kwako kwa mwingine mgeni, hata UKIMWI wenyewe umekuwepo kwa muda mrefu.................nashukuru kutukumbusha anyway
Ujumbe huo sio mpya! Umekuwepo siku zote tangu ukimwi ulipoanza kushamiri.
 
Back
Top Bottom