Ujumbe kwa waziri Mulugo

Ze mimi

Senior Member
Oct 13, 2013
127
16
Ndg.Mulugo ni muda mrefu sasa umekuwa ukinukuliwa mara kadhaa ukitoa maagizo au matamshi ambayo kiukweli yanadhalilisha nafasi uliyopewa na mh Dr.Jakaya Kikwete rais wetu mpendwa,sasa tunaomba utuambie tatizo ni nini?
Pili,acha tabia ya kuficha udhaifu wako kwa kuwatisha watendaji walio chini yako,mf waalimu maana wengi wao kiukweli ni wanyonge. ya bwatta 2.jpg
 
Ndg.Mulugo ni muda mrefu sasa umekuwa ukinukuliwa mara kadhaa ukitoa maagizo au matamshi ambayo kiukweli yanadhalilisha nafasi uliyopewa na mh Dr.Jakaya Kikwete rais wetu mpendwa,sasa tunaomba utuambie tatizo ni nini?
Pili,acha tabia ya kuficha udhaifu wako kwa kuwatisha watendaji walio chini yako,mf waalimu maana wengi wao kiukweli ni wanyonge.View attachment 117343

Mkuu asante kwa taarifa,lakini ingependeza zaidi kama unge site specifically hayo matamshi na udhaifu then ndo ingekua rahisi kuyajadili masuala hayo kuliko kumjadili Mtu.(NOTE:SIMAANISHI KUA NAMTETEA)
 
Kaka, mrusha thread Hana jipya, zaidi naona ni chuki binafsi. Amezoea mawaziri wanaobweteka tu maofisini bila ufuatiliaji ndio maana anaona jamaa hafai. Jamaa kakaba mpaka kona, si mchezo
 
Back
Top Bottom