Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
nadhani sasa Cuf imeshakufa tz bara, nasema hivi baada ya chaguzi ndogo zilizopita kule birahamulo na Busanda kumwagwa Vibaya. kule Busanda mgombea wake kupata aibu ya ushindi na kule Burahumulo mgombea wa Tlp aliemuunga mkono Cuf Kuabika ksawa sawa.HI ni dalili mbaya kwa CU CHAMA Kilichokuwa na Nguvu nadhani imefika hatua ya haraka kwa viongozi wa Cuf akina maaliom seif, Lipumba, Salu Dimani kushirikiana na Uongozi wa Chadema katika siasa badala ya kushirikina na Akina Mrema na NCCR mageuzi ambao ni wafu kwa wafu. najua wapo wataoupinga ushauri huu lakn hiyo ndivyo ilivyo kwani sera ya Chadema kupinga ufisadi ndio nguzo kwa watz . 2000 Chadema iliungana na Cuf katika siasa baad ya kujiona haikubaliki na sasa kwanini Cuf isiungane na Chadema badala ya kuungana na TLP. vYENGINEVYO cUF ITAKUFA BARA NA ZENJ ITAZIKWA.