Ujumbe kwa Rais (Picha)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Wazee wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakidai mafao yao Ikulu leo. (picha kwa hisani ya Michuzi)

pichayawiki.jpg

pichayawiki2.jpg
 
Hao wazee wa watu wapeni chao wakapumzike ili haya mambo ya ufisadi yasiwajie vichwani mwao tukakosa baraka zao, kwanza watu wenyewe sasa wameshafikia magharibi, mnataka wafe halafu hizo hela zao mzipeleke wapi?

Wanafunzi waandamane
Wazee waandamane
Juzi walimu walipanda malori kuja Dar kudai mishahara yao
Aliyebakia ni nani?.

Mungu wabariki watanzania wote.
 
Mpaka mbwa,paka,kuku,simbilisi,mbuzi ngo'mbe na hata nguruwe, pia ,Simba, nyani, nyumbu pundamilia tembo twiga ngiri bila kuwasahau nyati na fisi kutoka Mikumi na Serous waandamane ndiyo serikali ya CCM walau itashtuka kidogo.
 
Wazee wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakidai mafao yao Ikulu leo. (picha kwa hisani ya Michuzi)

pichayawiki.jpg

pichayawiki2.jpg

Unafikiri wazee kama hawa wataipigia kura CCM? , hapa nguvu ndogo tu ya vyama vya upinzani inahitajika kuwang'oa CCM ikulu. Mnachotakiwa vyama vya upinzani ni kuwatumia hawa wazee wawaelimishe wazee wenzao, wanafunzi walioandamana kuwaelimisha wanafunzi wenzao,Walimu na waliopanda malori kufuata mishahara Dar, wakawaelimishe wafanyakazi wengine.Wagonjwa hospitali za mwananyamala na Temeke wakawaeleze wananchi hali za hospitali.Nasema mtumieni Dr.Mvungi wa mlimani-Udsm Aleze watu ukiwa mnafiki kwenye siasa, unapata adhabu ya kupigwa mawe kifuani. Yaani tumieni kila kilicho karibu na wewe ili mradi tuingize mawazo mapya ikulu...,ila zisiwe nguvu za silaha za moto, wala zile za giza.Sera safi, plan za mbali na kujitoa. Huku mkidhamiria na mkiwa na mfano kuwa maneno matupu kama nguvu mpya, kasi mpya hali mpya.... imeshindwa KIKWETE HANA NGUVU TENA KUTAMKA Haya maneno., ATAMKE WAPI?
 
msijidanganye ndugu
hawa wanaitwa pale diamond jubilee, utawaona wote na mashart ya kijani hawa
sio wazee wa Tanzania ndugu yangu, hawa wa Tanzania wao CCM ni kila kitu, sasa wacha waipate kidogo

Kweli acha waone utamu wa CCM.

Waberoya.
 
watanzania hasa wazee wa vijijini ni wanafiki sana, wakirudi vijijini wanaanza kuhongwa mbege, ulanzi, nk wanavaa mashati ya kijani na kufungiwa mahali ili kumpigia kura fala mmoja, hawa hawa ndo walikuwa wanamsimika lowasa juzi huko monduli, ni hawa hawa ndo wanaandamana kusifia hotuba feki ya jk
 
..hivi jamani East Africa community imeisha karibu miaka 30 na hawa wazee bado hawajalipwa chao? hebu wawe na huruma kidogo hizi dhuluma hazifai kwa hawa maskini,wapeni haki yao tuu this is too much...30 yrs?
 
Hawa wazee hawako serious. Just imagine wanapanga move ya kwenda kumuona Rais ili waeleze kinachowasibu, anakuja Kandoro na Kova kuwapa bla! bla! zao kisha wanaridhika na kuondoka. Jaribu kufikiri Kandoro au Kova ana nini cha kufanya juu ya matatizo yanayohusu mafao yao. Hivi kweli Kandoro au Kova ndio wataenda Ikulu kumweleza Mh. awalipe hayo mafao?, kama wanaridhika na uongo wa watu hao, b'se they can't intervene any how, they are just politicians, who will manage to convince them that CCM has its hand on their problems and they need someone to chop it out.
 
Una maana gani? Hawa wazee walikuwepo hapo Ikulu jana mchana.

Wazee wanaweka historia; mpaka kieleweke! Mimi nawapa thumbs up [media]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon14.gif[/media]

.
 
hawa wote wengi wao ni wanaCCM na walipigia kura CCM....cha moto watakiona
 
Waacheni wakome, hawahawa ndo huwa wanasema CCM imewalea tokea TANU. Sasa joto ya jiwe waione.
 
Una maana gani? Hawa wazee walikuwepo hapo Ikulu jana mchana.

Wazee wanaweka historia; mpaka kieleweke! Mimi nawapa thumbs up [media]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon14.gif[/media]

.

I mean they must evaluate the status of those trying/pretending to attend their problem or negotiate ways of tackling their issue. Tatizo lao haliwezi kutatuliwa na watu kama akina Kova na Kandoro, kwa ushauri wangu naona hao wazee wangewatimua ili Ikulu ione jinsi walivyoweka dhamira ya dhati badala ya kuafiki ngonjera zao.
 
Hao wazee wa watu wapeni chao wakapumzike ili haya mambo ya ufisadi yasiwajie vichwani mwao tukakosa baraka zao, kwanza watu wenyewe sasa wameshafikia magharibi, mnataka wafe halafu hizo hela zao mzipeleke wapi?

Wanafunzi waandamane
Wazee waandamane
Juzi walimu walipanda malori kuja Dar kudai mishahara yao
Aliyebakia ni nani?.

Mungu wabariki watanzania wote.

Wanataka wafe ili zikose wenyewe kisha baadae wazi-EPA-ishe. si ndio kamchezo kao!!? Hukumbuki walichozifanye zile za BOT??!
 
..hivi jamani East Africa community imeisha karibu miaka 30 na hawa wazee bado hawajalipwa chao? hebu wawe na huruma kidogo hizi dhuluma hazifai kwa hawa maskini,wapeni haki yao tuu this is too much...30 yrs?

Koba angalia maneno yako!
Kwani nani zinamfaa?!!

Ikishakuwa dhuluma haimfai mtu. Awe tajiri au maskini, mzee au kijana, mweupe au mweusi,.............

Nadhani unaelewa ninachomaanisha hapa.
 
According to the dataz, Muungwana safarini kurudi tena huko huko Ma-US, yaani NY I mean this is incredible!

Si amerudi majuzi tu kutoka DC?
 
Back
Top Bottom