Ujumbe kwa mashabiki wa Yanga

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Kutokana na dalili za TFF zilizoonekana wazi kuzibeba timu za simba na Azam,na kutuharibia soka letu tunapenda kuwataarifu mashabiki wa Yanga kutoiunga mkono timu ya Taifa starz kwa namna yoyote ile na zaidi ya hapo mnaombwa kujitokeza katika mechi za taifa starz na kuwashangilia wageni mwanzo mwisho hadi kuzimia uwanjani huku tukiwa tumevaa jezi zetu za njano kupinga adhabu za kiuonevu nawaliostahili adhabu kupewa adhabu kubwa kupindukia. kwa kuanzia tutaanza na mechi ya simba na wa algeria.katika mechi hiyo tunatakiwa kujitokeza na kuwashangilia wageni kuliko ile ya simba dhidi ya tp mazembe.Na hata Azama ikifuzu mechi za kimataifa .Pia wanayanga tunatangaza rasmi bifu na jopo la michezo la cloudz ambao ni wanachama wa Simba kutokana na kuwa vinara wa kampeni ya kufungiwa wachezaji wetu .mpango huu unaitwa SOKA ANTIVIRUS
 
Ndio maana naamini soka la Tanzania litakua siku Simba na Yanga zitakapopoteza influence yao
 
Ndio maana naamini soka la Tanzania litakua siku Simba na Yanga zitakapopoteza influence yao
soka litakua kwa kutokuhonga marefa na kufanya vtuo vya habari matawi ya timu fulani huku waandishi wakitoa koments kishabiki i.e watangazaji wa michezo wa clouds wanapogeuza simba kuwa THT yao
 
Duuuuuuuuuuuuuu, Soka AntiVirus...??????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111

mi yangu macho
 
Back
Top Bottom