Ujumbe kuhusu mionzi ni upotoshaji mkubwa.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu ! Ule ujumbe unao sambazwa kwenye mitandao ya simu kwa njia ya message kuwa ifikapo saa 6 usiku ni hatari kufungua simu si kweli,ni uongo na upotoshaji mkuu. Wananchi wanapaswa waupuuze. Hii ni taarifa ya Afisa habar- TCRC. : Source.- breakng newz- cloudz.
 
Back
Top Bottom