UJUMBE katika mavazi ya Waandishi waliomsindikiza MWANGOSI

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,620
4,265
Nikiwa nafuatilia kipindi maalumu hapa IMTV, Nimeguswa sana na hisia za waombolezaji! Kwanza nimeona chama cha waandishi wa habari mko wa Iringa na Mbeya wakiwa wamevalia fulana zinazosomeka "DAUD MWANGOSI, AMEKUFA AKITETEA TAIFA" Sio siri nimeumia sana!
Wakti huohuo, mchungaji aliyeuombea mwili wa marehemu Iringa, amesema "kamwe damu ya Mwangosi haitaenda bure" pia amewataka waandishi wenza waendelee kutoa habari bila woga ili nchi ipate mabadiliko!
Katika muda wote huo, namuona mjane wa Mwangosi akiwa amekumbatia jeneza na kulipapasa kwa uchungu, da, eh mungu okoa Taifa hili!
Pia naona na kuwasikia akina mama wakilia kwa saut zilizokwama kutokana na ku whip kwa muda mrefu!
Sio siri, nimehisi mboni zangu zinaloa machozi.. .. .!
 
eti tume imeundwa ifanye kazi kwa mwezi mmoja,is our govt really serious?

Tume ni moja ya kitega uchumi chao,ndio maana kila kitu kikitokea wanakimbilia kuunda tume zisizo zaa matunda,
RIP MWANGOSI.
 
Nikiwa nafuatilia kipindi maalumu hapa IMTV, Nimeguswa sana na hisia za waombolezaji! Kwanza nimeona chama cha waandishi wa habari mko wa Iringa na Mbeya wakiwa wamevalia fulana zinazosomeka "DAUD MWANGOSI, AMEKUFA AKITETEA TAIFA" Sio siri nimeumia sana!
Wakti huohuo, mchungaji aliyeuombea mwili wa marehemu Iringa, amesema "kamwe damu ya Mwangosi haitaenda bure" pia amewataka waandishi wenza waendelee kutoa habari bila woga ili nchi ipate mabadiliko!
Katika muda wote huo, namuona mjane wa Mwangosi akiwa amekumbatia jeneza na kulipapasa kwa uchungu, da, eh mungu okoa Taifa hili!
Pia naona na kuwasikia akina mama wakilia kwa saut zilizokwama kutokana na ku whip kwa muda mrefu!
Sio siri, nimehisi mboni zangu zinaloa machozi.. .. .!

Hawa polisi wanaujinga usio wa kawaida. Hata kama unatumwa na kiongozi kwenda kumwua raia unaejua hajafanya kosa ni kwa nini usipige hiyo silaha angani ukamwambia nilimkosakosa?
Haya mauwaji yamemwumbua sana Kikwete na jeshi lake la polisi. Looo!
 
JK hata kauli ya kinafiki ameshindwa kutoa,ujuwe jamaa si mtu mzuri kabisa,yani kama vile hata aliyeuwawa si mtanzania,let it alone the fact that ni mwandishi wahabari.
 
Mkuu si JK kajiwekea utaratibu wa KUONGEA na wananchi kila mwisho wa mwezi. Huenda akaligusia hilo suala kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi huu!
 
Nikiwa nafuatilia kipindi maalumu hapa IMTV, Nimeguswa sana na hisia za waombolezaji! Kwanza nimeona chama cha waandishi wa habari mko wa Iringa na Mbeya wakiwa wamevalia fulana zinazosomeka "DAUD MWANGOSI, AMEKUFA AKITETEA TAIFA" Sio siri nimeumia sana!
Wakti huohuo, mchungaji aliyeuombea mwili wa marehemu Iringa, amesema "kamwe damu ya Mwangosi haitaenda bure" pia amewataka waandishi wenza waendelee kutoa habari bila woga ili nchi ipate mabadiliko!
Katika muda wote huo, namuona mjane wa Mwangosi akiwa amekumbatia jeneza na kulipapasa kwa uchungu, da, eh mungu okoa Taifa hili!
Pia naona na kuwasikia akina mama wakilia kwa saut zilizokwama kutokana na ku whip kwa muda mrefu!
Sio siri, nimehisi mboni zangu zinaloa machozi.. .. .!

Kifo chako kime2musha watanzania, nao wameumbuka
 
Mkuu si JK kajiwekea utaratibu wa KUONGEA na wananchi kila mwisho wa mwezi. Huenda akaligusia hilo suala kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi huu!
O!yani hata salamu za kinafiki ama hata kastatement ka kusikitishwa na mauwaji ya mwandishi wa habari yasubiri hotuba ya mwisho wa mwezi?vipi kama angekuwa anaitoa hotuba hiyo kila baada ya miezi sita?tena si kuna wakati aliacha kuzitoa hizo hotuba?it just doesn't make no sense at all!Mbona kwenye misiba inayomsikitisha huwa anawahi fasta?
 
Back
Top Bottom