Ujumbe kama huu umefika??

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,948
710
1.JPG

Ujumbe kama huu unafika sehemu uliyokusudiwa? Kwa nchi za wengine, kiongozi mojawapo wa serikali particularly kutoka idara husika hutoa tamko kuhusu maoni ya wananchi pale wanapokuwa concerned na issue fulani.
Nini kifanyike hasa hapa kwetu Tanzania ili kuzibua masikio ya viongozi wetu kuhusu matatizo ya wananchi?
 
Tuwakatae kwa kura zetu.
Viongozi wetu wa leo ni kama sikio lililokufa, ambalo hata ukiliwekea dawa ya kufukiza na ubani halisikii dawa
 
Tuwakatae kwa kura zetu.
Viongozi wetu wa leo ni kama sikio lililokufa, ambalo hata ukiliwekea dawa ya kufukiza na ubani halisikii dawa

Hapo umenena ukweli. Si kwamba wamesinzia bali wamelala fofo kabisa.
 
Vyama vyote vya siasa ni wanafiki, Ila angalau CCM ni mnafiki anayeweza kuaminika... If you are facing two evils, you chose the lesser one!
 
Back
Top Bottom