Ujumbe huu umufikie mwenyekiti wa kambi ya upinzani Mh MBOWE

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Naomba upitishe mchango wawazi kwa wabunge wote waliotayari na walioguswa na kuokoa uhai wa mpendwa wetu, ndugu yetu,mtaalam wetu Dr Ulimboka iliaweze kwenda kupata matibabu! NIOMBI.
 
mkuu hili swala lisigeuzwe kama mtaji wa kisiasa kwa chadema.kwanza ni kutomtendea haki Dr. Ull vilevile ni kuwapa ccm pa kujishikia kwenye tuhuma nzito kama hii maana mpaka sasa hawajui wampakazie nani. Madam mashirika ya haki za binadam yapo nafikiri ndio muda muafaka wa kuonyesha yapo Tanzania kwa ajilili ya kutetea haki za binadam.!
 
Nisahihi mkuu usemalo nachelea kusema nidesturi yetu wa TZ kuto michango kwenye misiba na si matibabu,mm nadhani badala ya hizi brabra za matamko mbalimbali,tuanagalie afya ya ndugu yetu,kwani madaktari washachangishana mill 40 tu.tuwaunge mkono.
 
Ni wazo zuri, lakini Mbowe asithubutu kuchangisha! CCM wataandika bango KUUBWA, Chadema yafadhili mgomo wa MADAKTARI. Waachiwe wanaharakati wafanye kazi yao hawatashindwa, fedha zitapatikana tu.
 
mkuu hili swala lisigeuzwe kama mtaji wa kisiasa kwa chadema.kwanza ni kutomtendea haki Dr. Ull vilevile ni kuwapa ccm pa kujishikia kwenye tuhuma nzito kama hii maana mpaka sasa hawajui wampakazie nani. Madam mashirika ya haki za binadam yapo nafikiri ndio muda muafaka wa kuonyesha yapo Tanzania kwa ajilili ya kutetea haki za binadam.!

Umenena vyema
 
mil 90 zitapatikana na mbowe anaweza kutoa kama watanzania wengine cha msingi hizi habari zi sambazwe kwenye mitandao ukizingatia tarehe ndiyo hizi..tutachanga na dr ulimboka atapona..
 
Dr Kigwangwala ambae ni rafiki mkubwa wa Dr Ulimboka anaweza kulifanya hilo vema zaid huko Bungeni, akishirikiana na Dr Ndugulile, na wakakusanya pesa ya kutosha tu kwa ajili ya Kamanda Ulimboka kutibiwa.
 
Doctor mponda muhamasishaji wa watu kugomea sensa ataliweza hili kwa njia ya sms.
 
Dr Kigwangwala ambae ni rafiki mkubwa wa Dr Ulimboka anaweza kulifanya hilo vema zaid huko Bungeni, akishirikiana na Dr Ndugulile, na wakakusanya pesa ya kutosha tu kwa ajili ya Kamanda Ulimboka kutibiwa.
Akithubutu tu kuchangisha lazima CCM wampige ban maana anataka kuwaharibia "project" yao.
 
Wazo zuri mkuu ila tunataka walitangaze swala hili kitaifa kwa wanamageuzi ili na ss fursa ya kuchangia hata kile kidogo.

" ijapokuwa utapita ktk moto hautaungua na utakapopita ktk maji mengi hayatakugharikisha"( isaya 43:2).

TANGANYIKANS WE LOVE YOU DR. ULIMBOKA.
 
Nashauri suala hili lisipelekwe kisiasa. Tangazo litolewe kwenye vyombo vya habari kama ambavyo tayari imekwisha fanyika. Mchago upatikane katika misingi ya hiari na upendo tu. Watu wasijaribu kujinufaisha kupitia suala hili. Tuepuke agenda za siri.
 
Naomba upitishe mchango wawazi kwa wabunge wote waliotayari na walioguswa na kuokoa uhai wa mpendwa wetu, ndugu yetu,mtaalam wetu Dr Olimboka iliaweze kwenda kupata matibabu! NIOMBI.

ndugu me naheshimu tu mawazo yako ila kiukweli umekurupuka tu kuongeza idadi ya post.......kuna mambo ya msingi ya kujadiliwa bungeni....acha wabunge wajadili njia za kumalizana na mgomo sio kuchangisha pesa kumtibu mtu...ukiendelea na mawazo haya itafikia hatua utamwomba mwenyekiti achangishe pesa ya harusi
 
wazo zuri sana kamanda ila kama unavyofaham tena hk chama mufiris ccm kitashikia bango na kukichafua chadema, mi nafikir huu ndo mda mwafaka kwa wanahakat kuonesha mchango ktk.
 
Nafurahi kusema kwamba,ndugu Dr ul amepelekwa nje kwa matibabu,niliandika tatle hii mnamo saa nane baada ya kujiuliza maswali mengi moja ya swali ni "mchango wa rambirambi kutoka serikalini wa Mahemu Kanumba na umuhimu wake kwa taifa Vs Dr ULIMBOKA alie haii naanatakiwa kuokolewa katika mauti, chakushangaza serikari imetia pamba masikioni mwao. KAKA UL TUNAKUTAKIA KILA LAHERI MUNGU AKUTANGULI.URUDI UKIWA NA AFYA NJEMA.
 
Dr Kigwangwala ambae ni rafiki mkubwa wa Dr Ulimboka anaweza kulifanya hilo vema zaid huko Bungeni, akishirikiana na Dr Ndugulile, na wakakusanya pesa ya kutosha tu kwa ajili ya Kamanda Ulimboka kutibiwa.

Msendekwa,
tatizo hili suala la dr.Uli pamoja na mgomo wa madoc, limekaa pabaya kama ukimwi, wabunge wakilivalia njuga wataonekana wanawafadhili madoc wagome na wanapogoma wanaokufa ni wapiga kura!!! na wapiga kura wanakufa muda huu ni wengi! CDM ikionyesha kuunga mkono mgomo wa madoc wataonekana ndio source ya tatizo and eventually wanaokufa ni kati ya wanachama na wapenzi wa CDM so tactically CDM should use a different option.

Wanaharakati wa haki za binadamu pia haijawakalia vizuri! haki ya msingi kwa binadam ni kuishi, sasa wataandamanaje kwa ajili ya dr. Uli wakati wananchi wengi tu wanakufa? yaani imekaa vibaya! ila lets wait and see ita develop namna gani.
 
Tusi husishe chadema kwenye maswala haya

mbowe nakuomba ukae pembeni kwenye hili kama katoa mchango kama mtu binafsi ni sawa lakin siyo kuhamasisha.

Tusimuhusishe mbowe kwenye hili

ccm watapata ya kusema.
Ni vyema swala hili likaa mbali na siasa.
 
wana JF tunahitaji ulinzi wa kutosha juu ya Dr Ulimboka huko aliko maana kama anawatambua walotaka kumuua nadhani watatumia nafasi hii kutimiza azma yao,kwa kuwa serikali inahusishwa na tukio hili haishindwi kupereka wauaji huko aliko lazwa Dr Ulimboka.
 
Back
Top Bottom